Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Unafiki gani wakati alipishana na mkuu alipotaka kuanza kukagua ndegeNamfahamu alikuwa mwl wangu.. ILA KWENYE HILI NIMEMSHUSHA KWA UNAFIKI WAKE
Boss, shujaa alikaba kote kote.Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Mkuu wewe huna exposure yeyote kaa kimyaKuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
NaelewaATCL ilikuwa na madeni makubwa ya huko nyuma pesa zingeingia akaunti ya ATCL zingelambwa zote na wadai wengine wakiwa hewa.Serikali ndio.ikazinunua na kuzikodisha kwa ATCL
Umeongea kinafiki au kwa mkumbo.Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Unataka kutuaminisha unajua Ukaguzi kuliko CAG?.Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
Eti niliomba nyaraka nikanyimwa,Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
Tuwe wakweli huyu Assad naye alikuwa na matatizo mfano nyaraka za bandari ya bagamoyo alizitaka za nini wakati ilikuwa watendaji wako tu kwenye hatua za majadiliano ambayo.hata hayajafikia muafaka wowote? Alitaka za nini kama sio umbeya tu? Alitaka apewe minute za vikao ambazo havijamua chochote? Alizitaka za nini? Chukulia hata CAG wa sasa aombe nyaraka za bandari hewa ya bagamoyo .Kichwani kwake zitakuwa zimo kweli?Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisin
Nyaraka za manunuzi ya ndege labda tuzipate kwa hisani ya kampuni ya ndege za bombardier, na boing.Usilolijua ni usiku wa giza
Air Tanzania ina lease ndege...manunuzi yake hayapo ATCL..
Ss sijui km ht unaelewa ku'lease ni nini
Sio kila jambo ni kwa ajili ya kusutana, bali mambo mengine ni kwa ajili ya kujifunza sehemu tulizokosea ili kutupa muongozo kwa maamuzi yetu ya kesho.Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Very incompetent CAG ndio maana wakamtimua anabaki kutafuta huruma tu kwenye media.Huyu alitumbuliwa kwa kutoa siri za report za ukaguzi za serikali, ni msomi mzuri lakini mwenye negative minds kichwani, mkipa shirika mtu kama huyu linakufa within one week, too much theories kichwani, ATCL hataki, stieglers hataki, SGR hataki, sasa anataka nini? turudi enzi za Tanesco kutumia capacity charges na generators?
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Uongo ukiachwa ukawa mkubwa, watu watauamin .Kawaida ukishastaafu au kuondoka kwenye nafasi yako usipende kuongelea mambo ya ofisi uliyokuwa
Ulishamalizana nao basi.sababu wakikubana ukasema una ushahidi ukienda ofisini kuomba hata barua labda hawakupi.Si sahihi sana ukishatoka kuongelea mambo ya ofisi ulikokuwa achana nayo endelea na maisha mengine
Tafakari kwanza, ukiijiwa na hekima, huwezi kutoa comment kama hiyo.Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Kawaida ukishastaafu au kuondoka kwenye nafasi yako usipende kuongelea mambo ya ofisi uliyokuwa
Ulishamalizana nao basi.sababu wakikubana ukasema una ushahidi ukienda ofisini kuomba hata barua labda hawakupi.Si sahihi sana ukishatoka kuongelea mambo ya ofisi ulikokuwa achana nayo endelea na maisha mengine