Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Namfahamu alikuwa mwl wangu.. ILA KWENYE HILI NIMEMSHUSHA KWA UNAFIKI WAKE
Unafiki gani wakati alipishana na mkuu alipotaka kuanza kukagua ndege

Bunge lilimuomba akakague ndege, Huko ndiko nyaraka watu wakaficha

Ni mwalimu wako Yes lakini wewe ni kilaza na mpumbavu ulifaulu kwa kujaza makaratasi lakini hukuelewa kitu
 
Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
Mkuu wewe huna exposure yeyote kaa kimya

uwezo wako wa kufikiri unaishia mlangoni kwako

Hapa sio darasani utakapofundishwa maana ya nyaraka

Hapa wamejaa Manguli na wataalamu wa mambo

Kama hujaelewa uzi Nenda jukwaa la mapenzi
 
Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
Unataka kutuaminisha unajua Ukaguzi kuliko CAG?.
 
Usizungushe maneno mengi, pumba tupu
Kenge Mfu alikuwa anasikiliza simu za mawaziri wote
Atashindwaje kuficha hizo nyaraka kulinda wizi wake
Prof Assad alijua kuna vitu vimemiss kwenye auditing
 
Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
Eti niliomba nyaraka nikanyimwa,

Itakua walishazifahamu tabia zake za kupenda kufanya yasiyomhusu ndio maana wakamnyima ,

Ingawa hajasema ni nyaraka zipi ili tujue kama alikua anastahili kupewa ama la.
 
Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.

Poor reasoning
 
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisin
Tuwe wakweli huyu Assad naye alikuwa na matatizo mfano nyaraka za bandari ya bagamoyo alizitaka za nini wakati ilikuwa watendaji wako tu kwenye hatua za majadiliano ambayo.hata hayajafikia muafaka wowote? Alitaka za nini kama sio umbeya tu? Alitaka apewe minute za vikao ambazo havijamua chochote? Alizitaka za nini? Chukulia hata CAG wa sasa aombe nyaraka za bandari hewa ya bagamoyo .Kichwani kwake zitakuwa zimo kweli?

Akinyimwa aseme Raisi anataka kunitoa.Huo utoto
 
Huyu alitumbuliwa kwa kutoa siri za report za ukaguzi za serikali, ni msomi mzuri lakini mwenye negative minds kichwani, mkipa shirika mtu kama huyu linakufa within one week, too much theories kichwani, ATCL hataki, stieglers hataki, SGR hataki, sasa anataka nini? turudi enzi za Tanesco kutumia capacity charges na generators?
 
Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.

Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Sio kila jambo ni kwa ajili ya kusutana, bali mambo mengine ni kwa ajili ya kujifunza sehemu tulizokosea ili kutupa muongozo kwa maamuzi yetu ya kesho.
 
Huyu alitumbuliwa kwa kutoa siri za report za ukaguzi za serikali, ni msomi mzuri lakini mwenye negative minds kichwani, mkipa shirika mtu kama huyu linakufa within one week, too much theories kichwani, ATCL hataki, stieglers hataki, SGR hataki, sasa anataka nini? turudi enzi za Tanesco kutumia capacity charges na generators?
Very incompetent CAG ndio maana wakamtimua anabaki kutafuta huruma tu kwenye media.
 
Kawaida ukishastaafu au kuondoka kwenye nafasi yako usipende kuongelea mambo ya ofisi uliyokuwa

Ulishamalizana nao basi.sababu wakikubana ukasema una ushahidi ukienda ofisini kuomba hata barua labda hawakupi.Si sahihi sana ukishatoka kuongelea mambo ya ofisi ulikokuwa achana nayo endelea na maisha mengine
Uongo ukiachwa ukawa mkubwa, watu watauamin .

Assad yuko sahihi, nasasa anawafumbua macho watu sababu za yeye kutolewa nje ya ofisi

Mwacheni asemeeeee,
 
Kukabidhi ofisi ya CAG hakukuvui Utanzania, hakumvui Taaluma yake, hakumvui ulipaji kodi, sababu zote hizo zinamfanya awe na haki ya kuhoji

Anataka Nyaraka ziwekwe wazi ili tuone hoja alizotoa hayati kukataa Bandari ya Bagamoyo ni hoja za kweli au za 'kizalendo'?

Back
Top Bottom