Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

We Ku.ma endelea kuhangaika na mitandao mi nilikua sitegemei Mtu mzee Salary yangu inangia kila mwezi na enjoy maisha hii nafasi niliopo hata aje Rais gani nitaendelea ku enjoy na kula bata
kumbe unategemea salary na wewe ni mnyonge tu pole kwa kufiwa umbwa yoyote anayemshabikia Jiwe ni Opium tu hamna kitu
 
Siku zote nasema huyu Profesa ana elimu lakini hana maarifa
 
Mh hebu kuwa na hofu ya Mungu! Unamuita Mzoga alieoZa, hata wewe ni Mzoga mtarajiwa! Unajua umebakisha mda gani wa Kuringa hapa Duniani? Have some Respect yule ni Baba wa mtu na wanaumia kuona such Comments kwa Mpendwa wao.
Na familia ya Azory Gwanda, na ya Ben Saanane aliwaambia nini......
Na watu waliokufa na tetemeko la Kagera, alisema nini.....
Akafe mbele tu
Mimi siogopi kufa wala kuoza, ni lifecycle ya binadamu...
 
Ila naanza kunusa harufu ya kuondoka kwa utawala wa kidikteta na kurudi kwa utawala wa mlegezo. Kikwete yupo active sana na kila kinachosemwa sasa hivi ni calculated movie yake. Huu mradi wa Bagamoyo unapigiwa debe sana na pro Kikwete na haikuna wa kuuzuia. Ni mkataba mbovu wa kuiuza nchi yetu. Wananchi tusidhani kina Ndugai wanatupenda sana kiasi ambacho wanapenda kutuletea vitu vyenye faida.
 

Tulia mzee bashiruu
 
Ikulu haikaguliwa wee MZEE,kama Kuna watu waoga nawe ni mmoja wao,mnapambana na aliyetangulia mbele ya haki siku zote ulikua wapi? Bagamoyo Kuna bandari?
 
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine

Ukisoma historia yake huko nyuma alikuwa kwenye syndicate iliyoifilisi NSSF!!! Je mlimsikia anafoka hivyo enzi ya Kikwete? Ameanza kusikika zaidi baada ya ile syndicate yao ya NSSF kubomolewa na Kikwete kuondoka madarakani. Unajua kwanini? Utamaduni wa kiafrika unapokula hufunui mdomo wako.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…