Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If you are a real man with responsibilities your safety is more important not only to yourself but for the sake of your dependants!Nimejikuta mamdharau tu ghalfa Assad kumbe he was also scared
Kwa hiyo Nyerere na Mandela walikuwa B/S?If you are a real man with responsibilities your safety is more important not only to yourself but for the sake of your dependants!
Assad is an intellectual and also a family man! Intellectuals are great assets to the government but their integrity in perfoming their assigned tasks can also be lethal to coward leaders like the late President! Someone who never wanted to be challenged with a strong brain.
Hekima kubwa ndio imenfanya aendelee kuwepo
Kwani Nyerere alikataza watu wasitoe maoni yao? Did Mandela did so?Kwa hiyo Nyerere na Mandela walikuwa B/S?
Wajerumani na dunia nzima wanaendelea kumlaani Adof Hitler pamoja na kutangulia mbele ya haki zaidi ya miaka sabini iliyopita!Katika miaka mitano ya Magufuli, Tanzania kama taifa iliendelea sana kimaono na kiuchumi, ila baadhi ya raia wa Tanzania mmoja mmoja walirudi nyuma sana kimaono na kiuchumi pia. Blend ya Tanzania kama taifa na Tanzania ya raia mmoja mmoja ndiyo inayotakiwa sasa. Lawama za kunyimwa ulaji na Magufuli kwa sababu ya yeye kutaka kuendeleza Tanzania kama taifa siyo hoja tena, Magufuli keshatangulia mbele ya haki, na sisi tutafuata huko huko.
They stood up against powers that did not represent interests of the mass. Assad was for his own core family and they were for their people. That is where the difference between selfishness and service to the people becomes clear.Kwani Nyerere alikataza watu wasitoe maoni yao? Did Mandela did so?
So are trying to say that Assad was selfish to not take the bullet for you hypocrite Tanzanians? Man up bro!They stood up against powers that did not represent interests of the mass. Assad was for his own core family and they were for their people. That is where the difference between selfishness and service to the people becomes clear.
Kwa hiyo wewe unaamini kuwa ufufuaji wa meli ziwa Victroria, ufufuaji wa ATCL, ufufuaji wa TRLC, ufufuaji wa meli za Ziwa Tanganyika, ujenzi wa meli mpya za Ziwa nyansa, ujenzi wa madaraja na barabara mbalimbali ndani ya nchi kwa kiwango cha lami na kusambaza umeme vijiji vyote Tanzania ni laana? Kwa lugha rahisi ni kuwa ulikuwa hupendi mambo hayo yafanyike?Wajerumani na dunia nzima wanaendelea kumlaani Adof Hitler pamoja na kutangulia mbele ya haki zaidi ya miaka sabini iliyopita!
Ni kweli nimeamini Mataga Ni wajinga.Humjui Assad wewe
1. I worked with Assad while still teaching at UDSM, so I know him though not that much thoroughly, since we were stationed in different faculty units.So are trying to say that Assad was selfish to not take the bullet for you hypocrite Tanzanians? Man up bro!
Afadhali umemweleza wewe kilaza huyo.hajui kitu anajifanya kujuaMkuu wewe huna exposure yeyote kaa kimya
uwezo wako wa kufikiri unaishia mlangoni kwako...
Ukiwa kiongozi wa nchi ukatumia madaraka yako vibaya 'utasutwa' mpaka hata mifupa yako ikiwa udongo.Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Mwache aongee. Waache Na wengine waongee.1. I worked with Assad while still teaching at UDSM, so I know him though not that much thoroughly, since we were stationed in different faculty units...
Thats why i told you that, if you have responsibilities and you account for them then you won’t allow any vulnerabilities regarding your state of well being!1. I worked with Assad while still teaching at UDSM, so I know him though not that much thoroughly, since we were stationed in different faculty units...
Mkuu, Jiwe akatunga na sheria za kumlinda spika na mwanasheria mkuu ili wakiondoka madarakani wasishitakiwe kwa kutumia madaraka vibaya.Tunahitaji katiba mpya. Katiba ya 1977 ishachakaa, inampa mamlaka makubwa Sana rais kiasi Cha Kuvunja katiba makusudi huku akijua hamna wa kumshitaki
Huyo jamaa yenu hasafishiki hata kwa dodoki la chuma. Alifanya uhuni mwingi sana ofisini.
Usichokielewa wewe ni kuwa ATCL hawaiwezi biashara ya ndege! Fastjet alibeba watu kwa 70,000-200,000 daily ila for some unknown reasons ATCL anacharge 260,000-400,000K kwa safari za ndani tu! Ni watu wangapi wata afford hizo bei katika uchumi mmbovu namna hii?Pumbavu kabisa, ATCL ivunjwe?
Halafu zije kampuni binafsi zijipangie nauli zitakavyo, huo ni ubazazi, hizo kampuni ndio zinaweza kupata faida? Kama jibu ni ndio, kwa nini asishauri namna bira ya uendeshaji ili kupata faida.