Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja



Ujinga ukiongezea na ukatili, mbona balaa...kwa kweli Mungu ametunusuru!
 
Nimejikuta mamdharau tu ghalfa Assad kumbe he was also scared
If you are a real man with responsibilities your safety is more important not only to yourself but for the sake of your dependants!

Assad is an intellectual and also a family man! Intellectuals are great assets to the government but their integrity in perfoming their assigned tasks can also be lethal to coward leaders like the late President! Someone who never wanted to be challenged with any strong brain instead he enjoyed being praised!

Hekima kubwa ndio imenfanya Assad aendelee kuwepo sio kwamba alishindwa ongea ila his safety after saying the truth is what mattered!
 
Katika miaka mitano ya Magufuli, Tanzania kama taifa iliendelea sana kimaono na kiuchumi, ila baadhi ya raia wa Tanzania mmoja mmoja walirudi nyuma sana kimaono na kiuchumi pia.

Blend ya Tanzania kama taifa na Tanzania ya raia mmoja mmoja ndiyo inayotakiwa sasa. Lawama za kunyimwa ulaji na Magufuli kwa sababu ya yeye kutaka kuendeleza Tanzania kama taifa siyo hoja tena, Magufuli keshatangulia mbele ya haki, na sisi tutafuata huko huko.
 
If you are a real man with responsibilities your safety is more important not only to yourself but for the sake of your dependants!

Assad is an intellectual and also a family man! Intellectuals are great assets to the government but their integrity in perfoming their assigned tasks can also be lethal to coward leaders like the late President! Someone who never wanted to be challenged with a strong brain.

Hekima kubwa ndio imenfanya aendelee kuwepo
Kwa hiyo Nyerere na Mandela walikuwa B/S?
 
Katika miaka mitano ya Magufuli, Tanzania kama taifa iliendelea sana kimaono na kiuchumi, ila baadhi ya raia wa Tanzania mmoja mmoja walirudi nyuma sana kimaono na kiuchumi pia. Blend ya Tanzania kama taifa na Tanzania ya raia mmoja mmoja ndiyo inayotakiwa sasa. Lawama za kunyimwa ulaji na Magufuli kwa sababu ya yeye kutaka kuendeleza Tanzania kama taifa siyo hoja tena, Magufuli keshatangulia mbele ya haki, na sisi tutafuata huko huko.
Wajerumani na dunia nzima wanaendelea kumlaani Adof Hitler pamoja na kutangulia mbele ya haki zaidi ya miaka sabini iliyopita!
 
Kwani Nyerere alikataza watu wasitoe maoni yao? Did Mandela did so?
They stood up against powers that did not represent interests of the mass. Assad was for his own core family and they were for their people. That is where the difference between selfishness and service to the people becomes clear.
 
They stood up against powers that did not represent interests of the mass. Assad was for his own core family and they were for their people. That is where the difference between selfishness and service to the people becomes clear.
So are trying to say that Assad was selfish to not take the bullet for you hypocrite Tanzanians? Man up bro!
 
Wajerumani na dunia nzima wanaendelea kumlaani Adof Hitler pamoja na kutangulia mbele ya haki zaidi ya miaka sabini iliyopita!
Kwa hiyo wewe unaamini kuwa ufufuaji wa meli ziwa Victroria, ufufuaji wa ATCL, ufufuaji wa TRLC, ufufuaji wa meli za Ziwa Tanganyika, ujenzi wa meli mpya za Ziwa nyansa, ujenzi wa madaraja na barabara mbalimbali ndani ya nchi kwa kiwango cha lami na kusambaza umeme vijiji vyote Tanzania ni laana? Kwa lugha rahisi ni kuwa ulikuwa hupendi mambo hayo yafanyike?
 
So are trying to say that Assad was selfish to not take the bullet for you hypocrite Tanzanians? Man up bro!
1. I worked with Assad while still teaching at UDSM, so I know him though not that much thoroughly, since we were stationed in different faculty units.

2. Assad needs to keep shutting up his mouth as he did after leaving office. Making noise now after the demise of Magufuli is a sign of his not only moral weakness but also egotistic character.

3. Great leaders stand for what they believe not for what their own core family wants. Leaders who make decisions because of the interests of their families are known as corrupt leaders.
 
Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.

Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Ukiwa kiongozi wa nchi ukatumia madaraka yako vibaya 'utasutwa' mpaka hata mifupa yako ikiwa udongo.

Na ukifanya mazuri utapongezwa mpaka mifupa yako ikiwa ilishakuwa udongo.
 
Watanzania wengi hatujielewi...mnakuwa na mahaba ya kijinga...Prf Assad kipindi anatolewa Ofisini wengi tulihamaki na wengi walisema hakupaswa kutolewa ofisini kwani muda ilikuwa bado...tulitia shaka sana juu ya maamuzi ya Rais ya kumuengua Assad....zaidi vilijitokeza vitimbwi vya kutishia kumshitaki Assad kisa tu kasema kuwa Bunge ni dhaifu...

Ndugai alimyanyasa sana huyu mzee na sote tuliona...isitoshe Watanzania wenye akili timamu tulijua fika utawala wa JPM ambavyo haukupenda kukosolewa hata chembe ilikuwa ni rahisi sana mtu kuondolewa uhai,,kupewa kesi za uhujumu uchumi,,kufilisiwa na kufanyiwa vitimbwi vya kila aina...

kwa mwanadamu wa kawaida kama Asad, kama mimi au na mtu yeyote kuna wakati ungelazimika kunyamaza tu...leo aliyekuwa anahofiwa na kuogopwa hayupo...lazima mtu akipata nafasi afunguke tuuu... hivyo kwa vyovyote vile Assad anachokisema kiko sahihi...hata kingekuwa si sahihi lazima tungekiamini tuu kutokana na asili ya utawala uliokuwepo.
 
1. I worked with Assad while still teaching at UDSM, so I know him though not that much thoroughly, since we were stationed in different faculty units...
Mwache aongee. Waache Na wengine waongee.

Bila kujua matatizo tutakujaje Na njia za kuyatatua?

Mfano, SAA hizi ilipasa upendekeze kwamba ili Rais atakayekuwa anafanya mabaya kama ya Mwendazake tuwe Na njia zipi za kumdhibiti

Kuficha mauchafu ya viongozi au waliokuwa viongozi hakutusaidii kama nchi
 
Pumbavu kabisa, ATCL ivunjwe?

Halafu zije kampuni binafsi zijipangie nauli zitakavyo, huo ni ubazazi, hizo kampuni ndio zinaweza kupata faida? Kama jibu ni ndio, kwa nini asishauri namna bira ya uendeshaji ili kupata faida.
 
1. I worked with Assad while still teaching at UDSM, so I know him though not that much thoroughly, since we were stationed in different faculty units...
Thats why i told you that, if you have responsibilities and you account for them then you won’t allow any vulnerabilities regarding your state of well being!

You work to feed your family and provide security for them. Why would you do something that would risk your life? Jiwe was an autocratic leader, never gave shit of anybody who messed with his ways and denied the right to expressions on all his subordinates! He even was ready to kill anything that caused him some hinderances during his regime!
 
Tunahitaji katiba mpya. Katiba ya 1977 ishachakaa, inampa mamlaka makubwa Sana rais kiasi Cha Kuvunja katiba makusudi huku akijua hamna wa kumshitaki
Mkuu, Jiwe akatunga na sheria za kumlinda spika na mwanasheria mkuu ili wakiondoka madarakani wasishitakiwe kwa kutumia madaraka vibaya.
 
Huyo jamaa yenu hasafishiki hata kwa dodoki la chuma. Alifanya uhuni mwingi sana ofisini.

Upigaji wa pesa ya umma ukishamiri huhitaji hata auditor akuambie watu wanapiga pesa. Kipimo rahisi ni wingi wa hela mitaani, urahisi wa kupata pesa na mfumuko wa bei. Watu wenye pesa iliyotokana na upigaji hawaoni shida kumwaga pesa kwa vimada na malaya. Bei ya vitu inaongezeka kirahisi sana when there’s too much money in circulation!
 
Pumbavu kabisa, ATCL ivunjwe?
Halafu zije kampuni binafsi zijipangie nauli zitakavyo, huo ni ubazazi, hizo kampuni ndio zinaweza kupata faida? Kama jibu ni ndio, kwa nini asishauri namna bira ya uendeshaji ili kupata faida.
Usichokielewa wewe ni kuwa ATCL hawaiwezi biashara ya ndege! Fastjet alibeba watu kwa 70,000-200,000 daily ila for some unknown reasons ATCL anacharge 260,000-400,000K kwa safari za ndani tu! Ni watu wangapi wata afford hizo bei katika uchumi mmbovu namna hii?
 
Back
Top Bottom