kandamatope
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 589
- 628
mpuuzi mkubwa wewe bintiCAG amestaafu kwa mujibu wa sheria
Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
Prof Mussa Assad atakumbukwa na vizazi vijavyo kama Mtanzania pekee kwenye awamu ya 5 aliyebakia amesimama dhidi ya ya utawala dhalimu, usioheshimu misingi ya Katiba, utawala wa sheria na utawala bora.Mkuu, sheria gani hiyo, Prof Assad ana umri wa miaka 58, kwa hiyo kumstaafisha kabla ya kutimiza umri wa miaka 60 ni kuvuja sheria ya nchi.
Bila shaka ww ndio yule kiazi ambae umepewa mamlaka kuongoza jiji fulani ndani ya tz. Bahati mbaya hujielewi na hujitambui"-in ndugai voiceMkataba wa CAG ni wa miaka mitano we kiazi
Endelea kubweka Kwasababu hujui kitu
Nakushauri fanya toba ya maombi kwa Mola akujaalie hekima na busara ktk miaka yako iliyosalia hapa duniani. Unaonekana uu punguani wa akili na busara. shame!CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria
Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria
Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake
Huyu mzee anazeeka vibaya
Anaweza akawa mkaguzi wa ndani wa ile Sacco's yao yakichaga
Kuna sehemu Prof. Assad anakwama!!!! Alitakiwa kutojibu lolote kipindi hiki ( kama kweli ametoa maneno hayo)!
Miaka yake mitano teyari anaweza kwenda kulea wajukuu zake. Na kwa mujibu wa sheria ukishakuwa CAG haruhusiwi kujiunga na chama cha siasa
Musa Asad alitaka awe kama Mbowe, muda umekwisha mzee. Ukiona CAG anakalia kiti hapo kwa muda mrefu ni matakwa ya mtawala tu lakini kisheria ni miaka 5 au utumbuliwe kwa maslahi ya umma
Katiba ajatunga Mungu, kifungu 1 kinakulinda kifungu 1 kinakutumbua..
itakuwa alikuwa anakwenda kukagua ununuzi wa ndegeaisee kumbe ememfuta kazi CAG Assad akiwa njiani kikazi kwenda kukagua hesabu ambazo hakupaswa kuzigusa.
Mtumishi yeyote unapoajiriwa lazima ufahamu na kuheshimu Mkataba wako na kwa kawaida unapaswa kumtaarifu mwajiri wako miezi 6 kabla ya kipindi chako kwisha hivyo Prof. Assad alipaswa kuomba kutayarishiwa stahili zake tangu mwezi Mei '19;UTEUZI wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), umefanyika huku, Prof. Mussa Assad akiwa hajui lolote.
Prof. Assad, aliyekuwa CAG kabla ya utenguzi uliofanywa na Rais John Magufuli jana tarehe 3 Novemba 2019, ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya
BBC.
Prof. Assad ameeleza kuwa, alipoteuliwa mwaka 2014 kuwa CAG alipewa barua ya uteuzi, na kwamba alitegemea angepewa barua ya utenguzi wa nafasi hiyo.
“Mimi niliteuliwa mwaka 2014, na nilipoteuliwa barua yangu ilisema kutokana na vifungu kadhaa kadhaa rais ameniteua. Sasa kwa tafsiri yangu nilitaraji barua ya kutokana na vifungu kadhaa rais ametengua uteuzi wangu.
Hilo halijafanyika sababu leo (jana) Jumapili, lakini kesho (leo) Jumatatu barua itakuja. Nitaisoma, tutaona jambo gani nilifanye. Option zote ziko available, hivyo nitajua la kufanya,” amesema Prof. Assad.
Aidha, Prof. Assad amesema kutokana na mazingira yaliyopo, alijua hilo suala ni lazima kutokea.
“Ukitazama mazingira, nilijua hiki kitu ni lazima, lakini nikasema riziki anatoa Mwenyezi Mungu na kwake haiishi. Ikiisha kazi hii ziko kazi chungu mzima za kufanya,” amesema Prof. Assad.
View attachment 1253767
Mtumishi yeyote unapoajiriwa lazima ufahamu na kuheshimu Mkataba wako na kwa kawaida unapaswa kumtaarifu mwajiri wako miezi 6 kabla ya kipindi chako kwisha hivyo Prof. Assad alipaswa kuomba kutayarishiwa stahili zake tangu mwezi Mei '19;
Mwajiri kama atakuhitaji uendelee ndipo utaendelea na kipindi kingine kwa maelezo mengine Prof. Assad hana busara na hafai kuwa kiongozi!
Ndio maana unaitwa "KIGURUWE", maana akili yako inaendana na jina.Mtumishi yeyote unapoajiriwa lazima ufahamu na kuheshimu Mkataba wako na kwa kawaida unapaswa kumtaarifu mwajiri wako miezi 6 kabla ya kipindi chako kwisha hivyo Prof. Assad alipaswa kuomba kutayarishiwa stahili zake tangu mwezi Mei '19;
Mwajiri kama atakuhitaji uendelee ndipo utaendelea na kipindi kingine kwa maelezo mengine Prof. Assad hana busara na hafai kuwa kiongozi!
Ni mtumishi "PEKEE" serikalini aliekua anasimamia maslahi ya taifa na alieondolowe kwa zengwe zengwe kwenye uongozi na bado "AMEONGEA UKWELI ANAO AMINI" kua hilo swala la yeye kuondolewa "LILIKUA WAZI KABISA LITAFANYIKA KWAKE" kutokana na yanaoendelea sasa hivi nchini Tanzania.Arudi UDSM au agombee urais kwaka kupitia chama ........kama mgombea huru angeruhusiwa TZ watu kama hawa wangepata uungwaji mkono mkubwa japo sio wanasiasa ila wanaweza kusimamia majukumu yao wanayokabidhiwa.Mimi binafsi ananiinspire sana huyu mweshimiwa
Ni kweli hafai alijua Ana contract ya miaka mitano Wala hakutakiwa hata kusema Sijui alitarajia Sijui mambo yalivyoenda huo ni uswahili sio professionalism.Legally you when you have a five year contract unatakiwa uishi na ujue una five year contract.,Full stop.Mtumishi yeyote unapoajiriwa lazima ufahamu na kuheshimu Mkataba wako na kwa kawaida unapaswa kumtaarifu mwajiri wako miezi 6 kabla ya kipindi chako kwisha hivyo Prof. Assad alipaswa kuomba kutayarishiwa stahili zake tangu mwezi Mei '19;
Mwajiri kama atakuhitaji uendelee ndipo utaendelea na kipindi kingine kwa maelezo mengine Prof. Assad hana busara na hafai kuwa kiongozi!
Ni mtumishi "PEKEE" serikalini aliekua anasimamia maslahi ya taifa na alieondolowe kwa zengwe zengwe kwenye uongozi na bado "AMEONGEA UKWELI ANAO AMINI" kua hilo swala la yeye kuondolewa "LILIKUA WAZI KABISA LITAFANYIKA KWAKE" kutokana na yanaoendelea sasa hivi nchini Tanzania.
Wengine wakitumbuliwa wana fyata mikia yao kama mbwa koko alikoswa na rungu.