Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

Namkumbuka sana huyu CAG he was a good man. Nilifanya Naye kazi kwa namna tofauti not direct.

Fikiria mtu msomi anatutuswa hivyo, only for what ?

Aise, sasa kumbe hana mke😎😎 but he gains weight a lot.
 
Akaushe sasa, story ile ile miaka na miaka. Wangapi wametumbuliwa kwa taratibu na bila taratibu? Mwele Malecela? Si alienda kufanya kazi WHO baada ya kutumbuliwa.
 
Huyu mzee ancheza n vichwa vya watu, anadhani kuwa kila mtu ni mjinga, Yeye aliewa ajira ya mkataba wa miaka 5 na uwezekano wa kupewa mkataba mwingine. Mkataaba mwingune ilikuwa ni uwezekano na wala sio lazima. Sasa mkataba wa kwanza unaisha yeye anadanganywa na watu fulani kuwa mkataba mwingine upo kumbe haupo. Hakufukuzwa kazi, na seme hivyo. Ni kwamba mkataba mwinggine hakupewa. Mbona anasema aliondolewwa kazini? Anadhani wote waTZ ni mbumbumbu?
 
Hizi nyuzi zinavutia ushetani (evil) unaweza fikiri ni mtu mmoja anabadili akaunti. Au mnaitana? Kwenye mazingira ambayo there is so much darkness kwenye national discourse, story kama za Prof ni nuru njema kutukumbusha kwamba bado tuna watu wema.
 
PROF ASSAD MPAKA LEO ANATESEKA SANA NA UCAG . MBONA WENZAKE WALISHANYAMAZA? INAONEKANA AMEATHIRIKA SANA KISAIKOLOJIA ZAIDI YA MIAKA 3 WIMBO NI ULE ULE. ALITAKA AWE CAG MILELE? INAONEKANA ANAPENDA SANA VYEO.

Kikatiba ni position ambayo ukiteuliwa kuondoka kwake ni hadi either wewe mwenyewe uamue kuretire kwa hiyari au hadi utimize miaka 60 au hadi labda kifo kikuchukue before hiyo 60 yrs,hoja yake ni kwamba yeye hakustaafu kwa hiyari na alipoondolewa bado miaka 60 ilikuwa haijatimia kikatiba,uwe unaelewa hoja kwanza kabla ya kuongea ujinga.
 
Huyu Bado analalamika au? 🤪🤪
 
Kwani Ndugai aliondoshwa vipi ofisini? Hizi serikali zetu, ukienda kinyume na mhimili uliojichimbia chini zaidi lazima uumie, iwe unafuata haki au umezingua....
Au mnadhani Lowasa alikuwa na makosa kuliko Kikwete, anatafutwa scapegoat mambo yanaisha.
 
Nafasi hii inamuuma sana. Ni kawaida maofisi ya umma kutumbuliwa.
Hao wawili walikuwa na tofauti zao toka zamani, Assad alikuwa anatumia hiyo nafasi yake kama silaha ya mashambulizi na ndio maana ilimuuma sana mwenzake alipommaliza kwa kumtoa kwenye hiyo nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…