Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla


WEWE UNGEFICHA UMBUMBU WAKO. KAMA SUALA LIPO MAHAKAMANI SASA ANALIA LIA NINI? SI AKIULIZWA ASEME KIPO MAHAKAMANI. ANANUNG'UNIKA KAMA MWANAMKE ASO NA MWANA. MAISHA LAZIMA YAENDELEE DOGO.
 
Hujui ulichoandika. Ukiteuliwa kuwa CAG haina kuondolewa mpaka miaka 60. Rais akipenda anaweza kuongeza miaka 5, baada ya miaka 60.
 
Mnaotoa maneno ya shombo amjielewi hapo anafanyiwa mahojiano na yeye anajibu maswali kulingana na kinachoulizwa .Pia maeneo ya kazi mizengwe kama hii ni sehemu ya maisha na waliofanya haya wengine awapo kwenye uso wa Dunia jambo la muhimu ni kuwa viongozi wengi hawapendi kukosolewa kiufupi awajakomaa katika uongozi wanachukulia kila kitu kama wamesemwa wao.
 
Hivi unajielewa wewe? anazungumzia kuondolewa kinyume na Katiba
Kwa hiyo kila siku tumsikilize yeye tu, kuondolewa kwa mjibu wa katiba? Toka 2021 alipokufa JPM jamaa anaongelea UCAG.Unajua ndugu yangu, kusoma nakupata Uprofesa sio kuwa ndio umemaliza. Hata kuwa na uwezo wa kumwelewa bosi wako kazini na kuishi kwa Amani pia ni elimu kubwa. Assad ni Prof lakin hakuwa na elimu ya kuelewa namna ya kuishi na ma bosi wake ndio maana anatapatapa tu. Prof anzisha project kubwa pata pesa na saidia vijana ajira.Prof Assad yeye Analilia UCAG. Hao ndio maprofesa wa bongo.
 
Huyu kichaa Bado tu anaumia kutumbuliwa nafasi yake?kwani alizaliwa kuwa CAG milele?kweli tuna mapropesa njaa
Kichaa chake ni kuelezea kadhia iliyomkumba wakati wa utumishi wake kwa hii nchi?
 
ANA HOJA KUU, ASIKILIZWE
 
Aliitwa na marehemu nani?
 
Hujui ulichoandika. Ukiteuliwa kuwa CAG haina kuondolewa mpaka miaka 60. Rais akipenda anaweza kuongeza miaka 5, baada ya miaka 60.
Wewe unaongelea kilichopo kwenye katiba. Public Audit Act ilishafuta hicho kipengele
 
CAG Assad aliondolewa kwenye nafasi hiyo kabla ya wakati. Inasemwa kwamba rais akishateua CAG hatakiwiki kumuingilia kwenye kazi zake wala kumtengua hadi atakapostaafu kwa taratibu za kiutumishi. Au wakati anaondolewa kazini hukuwa na smartphone?
hicho unachoongelea hakipo ktk Public Audit Act 2008
 
Wewe unaongelea kilichopo kwenye katiba. Public Audit Act ilishafuta hicho kipengele
Loh! Yaani Public Audit Act ifute kilichopo kwenye katiba!

Anyway sijaona hiyo, ila kwa vyovyote sheria yeyote haiwezi kufuta au hata kuwa kinyume na kifungu chochote cha katiba.

That law is unconstitutional and of no legal force.
 
Unafikiri kwanini hadi leo kwenye mahojiano bado anaulizwa jambo hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…