TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

Moja ya Vifo vilivyoniumiza sana ni pamoja na hiki cha Professor Baregu.Nilikuwa nafutahia sana michango yake ktk Malumbano ya Hoja,This week in perspective,na mahojiano ya redio na Television za nje...(Idhaa za Kiswahili).MUNGU AMLAZE MAHALI PANAPO MSTAHILI GWIJI HUYU.AMEN
 
Kwann covid 19 wasingekufa wao ,pimzika prof baregu,mwl,mzazi ,mlezi.pumzika kesho yangu
 
Poleni sana wanachadema na familia nzima, jamaa, na marafiki wa Prof. Baregu. Mungu aipumzishe roho ya marehemu pema peponi. Aminah.
 
Impact yake katika siasa angalia humu wanavyomlilia kila thread. Hakuna atakayekamtwa kwa kushangilia kifo chake.
Sijui wewe unaongea nini kwani hata mimi namlilia lakini siyo kwa sababu ya alikuwa na political impact yoyote kwangu.

Labda hujui maana ya political impacts
 
Mungu anasamehe watu wanaotubu wakiwa wazima (kabla ya kifo). Mungu hatumii middlemen. Kwamba watu wengine watakuombea toba baada ya kufa na Mungu akakusamehe ni ubatili. Mend your ways before you die.


Wewe unadhani Mungu ni kama wewe usiweza kusamehe kwa kuombwa Msamaha kupitia watu wengine???!!.

Wapo watu wanaoweza kumuombea mtu Msamaha kwa Mungu na Mungu akawakubalia, sisemi kwamba ni lazima apokee maombi ya msamaha bali anayo hiyari ya kupokea au kutopokea tunachofanya sisi ni kumuombea tu kama binadamu mwenzetu kwani sisi sote kifo ni unavoidable isitoshe pia watu tujifunze kuombeana katika jambo la aina hii licha ya kwamba kujitahidi katika mema ndiyo the most Paramount thing.
 
That does not make sense. Kwa nini utende mema duniani sasa? Fanya ukatili kama Magufuli halafu omba ndugu wakuombee ukishakufa. Ingekuwa ni kweli unachokisema, then kusingekuwa na motivation ya kutenda mema ukiwa hai.

Angalau imani yangu inasema ukishakufa, hauwezi kubadilisha kitabu ulichokiandika wakati ukiwa hai. Najitahidi kukiandika kitabu changu sasa wakati nikiwa hai. Hakuna mtu atakaibadilisha baada ya mimi kutoweka. Kama ni maombi, najiombea sasa hivi.
 
Kwa heri Mwamba

Huyu Gwiji ndie alikuwa Mmoja wa Supervisor wa PhD ya Dr Kondilize Rice (1982) baadae alikuja kuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani
Hiyo si kweli. Baregu alikuwa Stanford akiwa mwanafunzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…