Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

Mod pls rekebisha kichwa hicho weka waziri wa Sasa au mh rais mama samia
 
Umbea looo! Ifungeni kanga hiyo midume. You don't sound like educated people. Chunguzeni uandishi wenu. Kama nyie ndiyo waalimi basi elimu yetu iko kaburini!
 
bea looo! Ifungeni kanga hiyo midume. You don't sound like educated people. Chunguzeni uandishi wenu. Kama nyie ndiyo waalimi basi elim

Umbea looo! Ifungeni kanga hiyo midume. You don't sound like educated people. Chunguzeni uandishi wenu. Kama nyie ndiyo waalimi basi elimu yetu iko kaburini!
Mkuu nenda kwenye mada hapa sio bar
 
Umbea looo! Ifungeni kanga hiyo midume. You don't sound like educated people. Chunguzeni uandishi wenu. Kama nyie ndiyo waalimi basi elimu yetu iko kaburini!
Sasa mbona wewe mwenye elimu ya kyupi umeshangia utumbo
 
Mod tafadhari badili kichwa wawekwe WAZIRI wa tamisemi na WAZIRI wa elimu wa Sasa huyu Kuna skendo zake mpya nyingi baada ya kupanchi uhamisho
 
Mod tafadhari badili kichwa wawekwe WAZIRI wa tamisemi na WAZIRI wa elimu wa Sasa huyu Kuna skendo zake mpya nyingi baada ya kupanchi uhamisho
Fanya kazi wewe,majungu si mtaji...au VIPINDI havitoshi uongezewe,maana unaonekana huko busy
 
Chonde chonde mod badilisha kichwa hapo juu
 
Nimefanyanae kazi vizuri tu hapa Kongwa, na kaenda huko chamwino akitokea hapa.
Kwa ninavyomfahamu, hayuko hivyo anavyoandikwa!
Kwahiyo wewe kufanya naye kazi kuna justify kuwa hawezi kufanya upuuzi??? Mshauri kama mnafahamiana aheshimu watumishi wenzake, kwani yeye still ni mwalimu japo amevalishwa koti la uafisa elimu ( wengi wao wakisha pewa cheo cha uafisa elimu) hawataki tena kuitwa walimu sujui tatizo ninini??
 
Mkuu umemjibu VEMA Sana huyu chawa hawa bumbavu wanamtukuza mtu mjinga tu anawafanya walimu wenzie kama ma house boy& ma house girl Kuna mkasa nimeukuta sehemu ukisimulia unajiuliza hivi mamlaka za juu zinajua kama Kuna kiongozi katili kama ZAINABU kishegwe ambaye anaweza kumtukana mwalimu barabani kama mtoto aliye mzaa huyu dada anatia kinyaa
 
Huyu ni mshenzi aliyeshindikana alishahamishiwa chemba akapanchi uhamisho Bado yupo anatamba
Ni kweli alihamishiwa chemba 2021 akapiga madili akabaki mpaka leo ofisini kwani alituaga kabisa na Mimi nilisepa mwaka huo nafikiri yule bwana ake meya wa DODOMA mjini anamkono wake na kwa tetesi ule uhamisho ilikuwa wa adhabu
 
Kwahiyo wewe kufanya naye kazi kuna justify kuwa hawezi kufanya upuuzi??? Mshauri kama mnafahamiana aheshimu watumishi wenzake, kwani yeye still ni mwalimu japo amevalishwa koti la uafisa elimu ( wengi wao wakisha pewa cheo cha uafisa elimu) hawataki tena kuitwa walimu sujui tatizo ninini??
Huyo mjinga anaweza kuwa yeye au mpambe wake kuna wapambe wake anapiga nao dili za kupiga pesa
 
Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa, nikupongeze pia kwa kuimudu vema wizara yako kwani unamsaidia vema mh Rais wetu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli.

Niende sasa kwenye mada yangu lengo kubwa ni kutaka kujua hivi unajua kwamba Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili hata dakika moja nafasi hiyo kwenye wilaya ambapo ndio Makao ya Ikulu ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania?

Mbali na kashfa kubwa ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2020 iliyopelekea baadhi ya wenzake kubebeshwa msalaba wakati yeye ndie muhusika wa hiyo michezo miaka yote, tunajiuliza ni nani anamlinda Dada huyu?

Dada anaamini walimu wake ni kama mbwa tu! Mama Ndalichako kwa unyenyekevu fanya uchunguzi wa kina, mchunguze huyu Dada ni jeuri nani anamlinda huyu (japo kuna tetesi kwamba kuna kigogo pale Manisipaa Dodoma) huyu mama akiharibu anapenyapenya juu kuzima kashfa zake.

Binafsi najua hajaingia kwenye kumi na nane za Rais Magufuli lakini nakushauri mchunguze ikiwezekana Fanya ziara ongea na walimu wa Wilaya ya Chamwino, wanalilia mioyoni.

Tafadhali Mama wilaya yetu ilipo Ikulu yetu pendwa weka MTU muwajibikaji Wa aina yako kwa ufupi afisa elimu huyu haendani na kasi ya Rais Magufuli. Naomba nikusisitize mchunguze kwa manufaa ya wilaya ya Chamwino ikulu.
Mtoa post hili halimhusu Ndalichako maana uteuzi wa viongozi hawa unafanywa na TAMISEMI .Hao ndo wahusika waje hapa wakujibu
 
Back
Top Bottom