Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

Wewe umeamua kuona ukaribu wa watu, Bado upo kwenye mjadala ule ule... Kujadili watuv vivyo hivyo unahukumu ubaya wa mtu kwa kusoma comments za "watu kadhaa".

Maswali nliyouliza hapo yangefaa kujiuliza na kutafakari vya kutosha.
kwa wanaoifahamu Chamwino, ni dhahiri huyu Mwandishi sio kwamba hajui tatizo, tatizo analijua!

Ingekuwa vyema aandike kwa ufasaha matatizo ya kiutendaji ya hiyo halmashauri bila biasness!
 
Mkuu, kama unaujua ukweli eleza basi, siyo kulalama tuu
Mkuu sijalaumu, ila nashauri mjadala ungekuwa bora kama ungejikita katika utendaji wa HM husika, kuliko kupoint out watu wa kafara.
UZEMBE UPO, ILA HAUCHUNGUZWI. UBOVU WA HUDUMA UPO ILA HAUSEMWI. NA HUYU MWANDISHI PROBABLY KABISA ANAJUA
LAKINI ANAKWEPA KUSEMA 😆😆😅
 
Mlizoea kufanya kazi kwa mazoea na nafasi zenu za vyupi awamu hii ya jmp mtaenda kuuza bar,watabaki wenye nafasi zao.
 
Hapo Tamisemi ndio inahusika na si Ndalichako.

Hao Maafisa Elimu wanapatikanaje? Huku kwetu Singida kuna wilaya moja mwanadada naye ni shida tupu!
Kasome ibara ya 77 ya katiba ya nchi
Tafuta kuna kifungu kitakutoa tongotongo.
 
Mlizoea kufanya kazi kwa mazoea na nafasi zenu za vyupi awamu hii ya jmp mtaenda kuuza bar,watabaki wenye nafasi zao.
Teh, Tulizoea na nani?
Nakukumbusha tu, Wapumbavu na Wafitini wa aina yako hawana nafasi katika awamu hii ya Dr. JPM!
 
Majungu tupu, nyie waalimu chapeni kazi, CCM ipo kikazi zaidi, muachane na matumizi mabaya ya mtandao. Huyo dada anatekeleza ipasavyo sera na ilani ya chama kikamilifu. Muda wa kupiga majungu haupo, kama hauna maslahi na kazi yako, tupishe, waingie watu wenye wito; nyie mnaonekana mmeingia katika fani hii kwa bahati mbaya, nendeni mkapige majungu kwenye vijiwe vya AL-KASUSU
 
Namfahamu vema huyu Dada nilihama wilaya ya Chamwino kwa ajili yake,nakumbuka kuna siku kulikuwa na kikao nafikiri cha walimu wakuu kuna mwalimu alitoka kilometa zaidi ya 120 ilipo shule yake alimfukuza kama mbwa na alichelewa dakika 20 tu na changàmoto za Barbara za vijijini zinajulikana.
KWA nini Sasa ,mwl mkuu nae mpole angemcharaza makofi ndo kesi ianzie hapo ,nakumbuka dada mmoja 2012 wilaya moja alikua ananyanyaswa mwenye kituo Cha kazi,kila akipeleka malalamiko KWA mkuu wa idara yake ,hasikilizwi,akienda KWA mahafisa utumishi hamna kitu, siku akapanda KWA mkurugenzi,nae alikua jeuri kweli Sasa katika kumuekea sijui mkurugenzi alimjibu nini, humo humo akamkwida mkurugenzi, na bahada ya pale akakimbia kituo Cha police, huku amechana blauzi akafungua kesi ya kutaka kubakwa na mkurugenzi, yaliisha, lakini sidhani Kama huyu mgurugenzi atakuja sahau ,na sijui Kama huyu mwanamama bado yupo
 
Dada anaamini walimu wake ni kama mbwa tu! Mama Ndalichako kwa unyenyekevu fanya uchunguzi wa kina, mchunguze huyu Dada ni jeuri nani anamlinda huyu (japo kuna tetesi kwamba kuna kigogo pale Manisipaa Dodoma) huyu mama akiharibu anapenyapenya juu kuzima kashfa zake.

Binafsi najua hajaingia kwenye kumi na nane za Rais Magufuli lakini nakushauri mchunguze ikiwezekana Fanya ziara ongea na walimu wa Wilaya ya Chamwino, wanalilia mioyoni.
Hivi tutaendelea kumsubiri JPM afanye kila kitu ? We need systems to get rid of this shit
 
KWA nini Sasa ,mwl mkuu nae mpole angemcharaza makofi ndo kesi ianzie hapo ,nakumbuka dada mmoja 2012 wilaya moja alikua ananyanyaswa mwenye kituo Cha kazi,kila akipeleka malalamiko KWA mkuu wa idara yake ,hasikilizwi,akienda KWA mahafisa utumishi hamna kitu, siku akapanda KWA mkurugenzi,nae alikua jeuri kweli Sasa katika kumuekea sijui mkurugenzi alimjibu nini, humo humo akamkwida mkurugenzi, na bahada ya pale akakimbia kituo Cha police, huku amechana blauzi akafungua kesi ya kutaka kubakwa na mkurugenzi, yaliisha, lakini sidhani Kama huyu mgurugenzi atakuja sahau ,na sijui Kama huyu mwanamama bado yupo
Ha ha hahaa.. bibie akaamua kubambikizia kesi kabisa!!!
 
Kwanza kabisa nipende kusema "MAJI HUJITENGA NA MAFUTA"
ni vema kwanza kuijua historia ya wilaya ya chamwino, kabla ya kuandika utumbo na ujinga mkubwa hapo juu, nawaza tu hivi hii halmashauri haina mkurugenzi? kama yupo na mambo yapo hivi na yeye hajielewi na inawezekana yeye ndio tatizo kubwa hapa chamwino.

naifahamu halmashauri hii vzr tangu ikiwa Dodoma vijijini na mpk sasa nikiwa mwalimu tena wa shule ya msingi.

naomba niseme ukweli na Mungu anisaidie, kwani nipo hapa tangu mwaka 2006.

1. Kilichoandikwa hapo juu ni majungu, unafiki, ujinga, uzandiki na upumbafu na fitina uzuri mwandishi mwandishi umetumwa na anajulikana vema tu kwani amekuwa akitangaza vita dhidi ya afisa elimu huyo kwa sababu za kijinga tu (mbona yeye anawataka watumishi kinguvu na hakuna anayemfatilia?) mfano aliwahi kwenda centre ya marking akiwa na gari ya serikali saa tatu usk kumfata mwalimu x ili aache kazi ya kusahihisha aende naye lodge, kama anabisha ajitokeze hapa akane kwamba hakumpa mwalimu sh 20000 akale chipsi na mwalimu akamrushia hizo pesa.
2. Tangu huyu afisa elimu amekuja Chamwino matokeo ya ufaulu yamekuwa mazuri na mahusiano kazini yamekuwa mazuri sana, walimu wanazikilizwa na hakuna mwalimu amewahi hata kuandikishwa barua ya mashtaka yoyote yale.
3. amenunua photocopy mashine inayotumiwa na shule zote za wilaya ya chamwino.
4. kama yeye ni mwonevu TSC wako wapi? wanafanya nini? CWT je wapo? wanafanya nini kutetea walimu unaosema wanaonewa? acha majungu kijana kama umenunuliwa kwa pesa walizozulumiwa ma (ARO-KATA) SEMA TU! Mwisho wako umefika.
5. Kukuwa kwa kiwango cha ufaulu tangu afisa huyu aje, 2018 wastani 64, 2019 wastani 74, na 2020 wastani wa 76, sasa tujiulize maswali? je kama yupo hivyo ni kwa nini ufaulu unaongezeka?
jibu jepesi mtoa posti umenunuliwa na wajinga wenzako.
6. pia kama taarifa zako ni za kweli hebu taja hata jina moja la mwalimu aliyenyanyaswa na afisa huyo.

MWISHO ALIYEKUTUMA MWAMBIE AJIANDAA KWA HILI, SERIKALI HAILALI INAFAHAMU UCHAFU WOTE ANAOFANYA NA HATA HUYO MJINGA ANAYEMTETEA KISA POSHO NA NYAMA ZA CHALINZE NA WINE ZA MPUNGUZI, ACHA BIA ZA TANGO.
UKWELI UPO KARIBU SANA KUFAHAMIKA NA BALAA LIPO JIRANI SANA NA WEWE! AJIANDAE KURUDI MASJALA ALIPOZOEA KUFANYA KAZI
 
Komenti nyingi hapo juu ni za kumlalamikia Tabia zake ,.

Ni meseji MOJA tu iliyomtetea.
 
Back
Top Bottom