Nimeelewa sasa!Maadili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeelewa sasa!Maadili.
Kwa hilo jina hapindui anachukuliwa hatua, namjua huyo mama ana aleji na majina hayoNianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa, nikupongeze pia kwa kuimudu vema wizara yako kwani unamsaidia vema mh Rais wetu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli.
Niende sasa kwenye mada yangu lengo kubwa ni kutaka kujua hivi unajua kwamba Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili hata dakika moja nafasi hiyo kwenye wilaya ambapo ndio Makao ya Ikulu ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania?
Mbali na kashfa kubwa ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2020 iliyopelekea baadhi ya wenzake kubebeshwa msalaba wakati yeye ndie muhusika wa hiyo michezo miaka yote, tunajiuliza ni nani anamlinda Dada huyu?
Dada anaamini walimu wake ni kama mbwa tu! Mama Ndalichako kwa unyenyekevu fanya uchunguzi wa kina, mchunguze huyu Dada ni jeuri nani anamlinda huyu (japo kuna tetesi kwamba kuna kigogo pale Manisipaa Dodoma) huyu mama akiharibu anapenyapenya juu kuzima kashfa zake.
Binafsi najua hajaingia kwenye kumi na nane za Rais Magufuli lakini nakushauri mchunguze ikiwezekana Fanya ziara ongea na walimu wa Wilaya ya Chamwino, wanalilia mioyoni.
Tafadhali Mama wilaya yetu ilipo Ikulu yetu pendwa weka MTU muwajibikaji Wa aina yako kwa ufupi afisa elimu huyu haendani na kasi ya Rais Magufuli. Naomba nikusisitize mchunguze kwa manufaa ya wilaya ya Chamwino ikulu.
Duu uzao wake na ...nda una mahusiano gani na elimu ya utawala ambayo anaikosa !Binafsi najiulizaga hiki cheo cha uafisa elimu tena wilaya nyeti, alipewaje maana hata haiba ya ualimu hana kwa sasa rafiki yake ni mwalimu mmoja amehamia kutoka Kigoma miaka ya karibuni huyo tangu ahamie hapa wilaya ya Chamwino tangazo lake kubwa ni kuwa amezaa na Pinda ikapelekea ofisi moja nyeti ikamwita kumuhoji ndipo akakanusha tangazo lake.
Baadhi yao wakishapata vyeo/pesa basi ni shidaHapo Tamisemi ndio inahusika na si Ndalichako.
Hao Maafisa Elimu wanapatikanaje? Huku kwetu Singida kuna wilaya moja mwanadada naye ni shida tupu!
Ishia tu hapo mama tutaambiwa tuna wivu, lakini hawa watu ni matatizo sana wanakwamisha maendeleo.Daaah hapa umesema kweli.. Yaani huyu ni tabu mnoo.... Tuna mradi tunafanya yaani kawa ni kipingamizi kikubwa sana... Mmmmh niishie hapa
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Sure my dear... Yaani mmmmhIshia tu hapo mama tutaambiwa tuna wivu, lakini hawa watu ni matatizo sana wanakwamisha maendeleo.
Kama changamoto za barabara za vijijini zinajulikana basi hamna udhuru wa kuchelewa, wahi kuondoka au hama huko uliko kilomita 120 mbali na kazi. Kumbe hapendwi kwa vile anawatia disiplini wasiowajibika? Dada Zainab tuko pamoja!alichelewa dakika 20 tu na changàmoto za Barabara za vijijini zinajulikana.
Wazo zuri sana, maana kwa madudu kama haya mpaka Rais aje kuona mambo haya JF sio leo,Mimi nadhani ungewekwa utaratibu wa kuruhusu wananchi wote tuwe 'usalama wa Taifa' tuwekewe utaratibu wa KUMPA 'UBUYU'(Umbea) Mh Rais mojakwamoja yaani awe na 'LAINI YA SIMU YA WANANCHI' ambayo tutatuma ujumbe wa tunayojua hayako sawa..maana kuna watu hawatishwi polisi wala takukuru
Wewe unaogopa nini kubadilisha uongozi kama unafanya madudu, watabadilishwa tu mpaka apatikane anaefaa, usiangalie historia haikusaidi, haiwezekana malalamiko kila mtu amlalamikie, kuna shida hapoWAPIKA MAJUNGU!
Mnayo Maswali kadhaa ya Kujiuliza kama sio kujibu!
1. Mnafahamu Mamlaka ya Uteuzi wa Afisa Elimu ni nani?
2. Mnazo justification za majina ya hao Walimu walioonwa mbwa na Huyo Dada?
3. Mnaifahamu vizuri Historia ya Uongozi Chamwino tangu kuingia kwa awamu ya Tano ya Dr. JPM?
4. Kama (kweli) huyo Dada hafai, Matatizo yake kiutendaji ni yapi?.
5. INAWEZEKANAJE KILA KIONGOZI ANAELETWA CHAMWINO NI MBOVU?
MLIANZA NA WALE, WAKAONDOKA KWA DHULMA,
SASAHIVI MMEKUJA NA HUYU, ATAONDOKA (DHULMA!),
MKIMALIZA MTAENDA KWA MWINGINE!
WATENDEENI WATU HAKI, MUWE WAKWELI!
Unawaza kitoto, lazima awe anatenga muda kusikiliza kero za wananchi, mbona linawezekanaDuu kazi ya Rais itakua ni kupokea simu tu
Inaumiza kweliKama ni huyu dada kwakweli ni zaidi ya shetani kuna siku nilifika ofisi za elimu wilaya Chamwino nilimkuta mwalimu Wa kiume anatokea vijijini kwa muonekano kisukari kimemtafuna haswa, nikamuhoji mbona unalia?
Akaniambia nammukuu,nimekuja kumuomba afisa elimu anisogeze angalau karibu na huduma kule Kijijini vyakula na huduma hususani tatizo langu la kisukari nateseka ntakufa afisa elimu akanijibu ondoka kafie hukohuko mbona kila MTU atakufa mwisho Wa nukuu, huyo mwalimu alijitambulisha ni MTU Wa bukoba nilisikia uchungu sana nikahisi idara inaongozwa na shetani.
Lotto acha upuppet walimu wote wanakufahamu kuwa wewe ni informer Wa hao mbweha wako,dawa yako inapoa utainywa soon!Narudia tena walimu wa chamwino wanaujua ukweli na sijui kwa nini watu wa maslahi yao binafsi wanaamua kumchafua mama wa watu, jiulize tu kama yupo hivyo je CWT wako wapi? TSC wako wapi? na lazima ufaulu ungeshuka ni vema kuacha chuki na kusema mambo ya kweli
😂😂😂😂 nguvu ya umma itamnyoosha soon.Lotto acha upuppet walimu wote wanakufahamu kuwa wewe ni informer Wa hao mbweha wako,dawa yako inapoa utainywa soon!
Nimefanyanae kazi vizuri tu hapa Kongwa, na kaenda huko chamwino akitokea hapa.
Kwa ninavyomfahamu, hayuko hivyo anavyoandikwa!
Nasisitiza wewe ni MTU Wa kujikomba mnafiki mkubwa ndiye informar wao,Wa kuwapeleka taarifa walimu wote wanakujua na pengine hujatumwa kutetea ni tabia yako ya kujikomba ukombolewe unajitahidi kubadil ID lakini kwakuwa mshamba na mbumbumbu,anaepaswa kusema huyo mwajuma ndala ndefu wako anaonewa ni waziri anaeombwa amchunguze sio wewe mla mbwa Wa Iringa.sasa kanusha kama si kweli yule mwalimu anaejitangaza kazaa na pinda ni shoga na afisa elimu wako imefikia mahali anamsumbua Mwl Mkuu wake anaenda kazini muda anaotaka kisa shoga wa afisa elimu ukipata muda kamuulize Mwl Mkuu Buigiri mission Fanya kazi kijana acha nidhamu ya kujikomba.Hata ukinitukana mimi Mbwa hakuna neno! kama ni kweli kwa nini mtoa post uamue kuwa na matusi kiasi hicho?
Hoja yangu ndogo sana kwa nini uandike uongo huu? unakusaidia nini?
Kama ni kweli yupo hivyo hivi hata CWT wameshindwa kukemea hayo? mwogope Mungu na tujifunze kuwa wakweli uongo hauna faida yoyote kwetu nakuhakikishia.
Na nikukumbushe malipo ni hapa hapa duniani
Kazi unayojipa ambayo haina mshahara utaiona chungu muda c mrefu nafikili umezimis Boda Boda.kwa sasa wilaya ya Chamwino inahitaji nidhamu ya kiwango cha juu kwa heshima ya ikulu yetu ya jamuhuri ya muungano Wa Tanzania, walimu Wa Chamwino wanafanya kazi kwa hali na kujituma kwa heshima ya Rais na amir jeshi Mkuu sio huyo ngedere wako na watafanya vizuri zaidi hata asipokuwepo.Nawahakikishia afisa elimu huyu hayupo kama mnavyosema na majungu hayana nafasi kwa kiongozi huyu.