Kwa bandiko hili Ni waz mleta mada yuko sahihi kwa alichokileta na inaonekana mnafahamiana vzr.
Mleta mada kaongea ukweli mchungu Sana .kwanza nikil tu kwakusema ww sio Mwalimu Bali Ni wewe mwenyew Afisa Elimu Kama sio ww basi Ni mtu uliyetumwa na huyo Afisa Elimu wako.
Comments kibao hapo juu zinaeleza jinsi huyo Afisa alivyo na tabia mbovu ,kwamba wote hao wanamwonea wivu?
Ushaur wa bure achen kuzifanya ofisi za serikal Kama nyumba zenu za milele ,hamjifunz kwa kina makonda na Nape saiz wanasugua benchi, hamjifunz kwa wanaotumbuliwa kila siku?
Ukiwa mtendaj mzur na ukiwa mtu wa watu sidhan Kama Kuna mtu atakuja kukuanika huku mitandaon kwa mabaya ,ukiona had mtu katika huku jua ww sio mtendaj mzur.
Kitendo tu Cha kuandikwa jf tayal Hilo Ni doa ,hujachelewa Anza kuishi vzr na walio chini yako.
Mbona watu mnapenda kujitafutia maadui kinguvu? Hao mnaowatendea unyama hamjui kesho yao watakuwa akina Nan coz maisha Ni duara.
Mfano Kuna mtu alijua Magufur atakuja kuwa Rais ? Je kama Afisa Elimu wa kipind Cha Magufur aliwah kumnyanyasa na saiz akawa hai unahis yuko na Hali gani?
Je hamkumbuk ya Jery muro kumdharirisha yule mbaba wa Tume ya uchaguz ? Saiz Nan ana cheo kikubwa kumzid mwenzie?
Plz jaman ofis vyeo vipo tu na tunapokezana ,bahat nzur huwez dumu milele hapo utatoka tu atakuja mwingine na unaowatendea ubaya hujui kesho watakuwa akina nan na mtakutana mazingira gani.
Hapa nilipo Kuna Afisa Elimu mmoja na Afisa utumishi wanapendwa balaa na watumish wao maana Ni watu wanaoheshim Sana watu walio chin yao ,wanawasaidia pale inapotakikana ,Wana customer care nzur sna. Watumish kibao wanawaombea wabak mielele ila kenge wengine wakishaachana na chak na kuanza kukalia viti vya kuzunguka wanajiona sijui akina Nan ,kumbe Ni ushamba tu unawasumbua ,alaf karne hii watu wanapiga kitabu kwa Sana tofaut na zaman ,saiz wasomi Ni kila Kona hivyo hizo nafas mzitendee haki kabla hamjapokwa na kubak na aibu