Kwanza kabisa nipende kusema "MAJI HUJITENGA NA MAFUTA"
ni vema kwanza kuijua historia ya wilaya ya chamwino, kabla ya kuandika utumbo na ujinga mkubwa hapo juu, nawaza tu hivi hii halmashauri haina mkurugenzi? kama yupo na mambo yapo hivi na yeye hajielewi na inawezekana yeye ndio tatizo kubwa hapa chamwino.
naifahamu halmashauri hii vzr tangu ikiwa Dodoma vijijini na mpk sasa nikiwa mwalimu tena wa shule ya msingi.
naomba niseme ukweli na Mungu anisaidie, kwani nipo hapa tangu mwaka 2006.
1. Kilichoandikwa hapo juu ni majungu, unafiki, ujinga, uzandiki na upumbafu na fitina uzuri mwandishi mwandishi umetumwa na anajulikana vema tu kwani amekuwa akitangaza vita dhidi ya afisa elimu huyo kwa sababu za kijinga tu (mbona yeye anawataka watumishi kinguvu na hakuna anayemfatilia?) mfano aliwahi kwenda centre ya marking akiwa na gari ya serikali saa tatu usk kumfata mwalimu x ili aache kazi ya kusahihisha aende naye lodge, kama anabisha ajitokeze hapa akane kwamba hakumpa mwalimu sh 20000 akale chipsi na mwalimu akamrushia hizo pesa.
2. Tangu huyu afisa elimu amekuja Chamwino matokeo ya ufaulu yamekuwa mazuri na mahusiano kazini yamekuwa mazuri sana, walimu wanazikilizwa na hakuna mwalimu amewahi hata kuandikishwa barua ya mashtaka yoyote yale.
3. amenunua photocopy mashine inayotumiwa na shule zote za wilaya ya chamwino.
4. kama yeye ni mwonevu TSC wako wapi? wanafanya nini? CWT je wapo? wanafanya nini kutetea walimu unaosema wanaonewa? acha majungu kijana kama umenunuliwa kwa pesa walizozulumiwa ma (ARO-KATA) SEMA TU! Mwisho wako umefika.
5. Kukuwa kwa kiwango cha ufaulu tangu afisa huyu aje, 2018 wastani 64, 2019 wastani 74, na 2020 wastani wa 76, sasa tujiulize maswali? je kama yupo hivyo ni kwa nini ufaulu unaongezeka?
jibu jepesi mtoa posti umenunuliwa na wajinga wenzako.
6. pia kama taarifa zako ni za kweli hebu taja hata jina moja la mwalimu aliyenyanyaswa na afisa huyo.
MWISHO ALIYEKUTUMA MWAMBIE AJIANDAA KWA HILI, SERIKALI HAILALI INAFAHAMU UCHAFU WOTE ANAOFANYA NA HATA HUYO MJINGA ANAYEMTETEA KISA POSHO NA NYAMA ZA CHALINZE NA WINE ZA MPUNGUZI, ACHA BIA ZA TANGO.
UKWELI UPO KARIBU SANA KUFAHAMIKA NA BALAA LIPO JIRANI SANA NA WEWE! AJIANDAE KURUDI MASJALA ALIPOZOEA KUFANYA KAZI