Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

Ona mnavyojianika kwa ujinga na upumbavu wenu hapa.
Kwan kutongoza Ni kosa kwa watu wazima?

Huyo Afisa asitongozwe yeye Ni Nan haswa?

Yaan watongozwe wakuu wa wilaya Kama Joketi alaf huyo kima Afisa Elimu Tena msingi asitongozwe?

Wakina joket tunawatongoza live live huko istagram na Kama hajakupenda anakwambia tu sipo tayal kwa Sasa.

Jibuni hoja achen utoto, huyo Afisa wenu lazima achunguzwe tu na mpaka Sasa uchunguz wa kimya kimya unaendelea
Hizi ni keleletu
 
Mkuu mleta uzi mbona hajasema aondolewe? yeye kamuomba waziri hamchunguze.
Tatizo vikosi vya utetezi wana hoja nyepesi kuliko karatasi.
Naona umekuja kujitetea mwenyewe ,wewe ni mpuuzi tu chamwino tunakufahamu vizuri
hako kalotto kajinga tu wanakatumia kama kondomu kanatumika kama kainformer kao soon nae faili lake linaanikwa hapa.
 
Binafsi najua hajaingia kwenye kumi na nane za Rais Magufuli lakini nakushauri mchunguze ikiwezekana Fanya ziara ongea na walimu wa Wilaya ya Chamwino, wanalilia mioyoni
Hebu msaidie prof kwa kumpatia angalau hadidu za rejea, kusema ukweli hujaonesha tuhuma yoyote ambayo inaweza kufanyiwa kazi
 
Ona mnavyojianika kwa ujinga na upumbavu wenu hapa.
Kwan kutongoza Ni kosa kwa watu wazima?

Huyo Afisa asitongozwe yeye Ni Nan haswa?

Yaan watongozwe wakuu wa wilaya Kama Joketi alaf huyo kima Afisa Elimu Tena msingi asitongozwe?

Wakina joket tunawatongoza live live huko istagram na Kama hajakupenda anakwambia tu sipo tayal kwa Sasa.

Jibuni hoja achen utoto, huyo Afisa wenu lazima achunguzwe tu na mpaka Sasa uchunguz wa kimya kimya unaendelea
Mkuu mbali na kujianika wanajifanya hawajui kwamba huyo afisa tangu afike 2018 toka kongwa ameigawa ofisi ya elimu kuna baadhi ya watu ndio anaofanya kazi nao nao waneanza kuiga tabia yake, nakumbuka madame Chacha alikuwa kiungo mzuri sana kati ya ofisi na walimu madame Chacha aliwaachia ofisi yao akasepa zake manisipaa ddma walimu wakabaki wapweke muda si mrefu tutaanika majina baadhi ya watu anaofanyanao kazi nao wanaiga tabia yake ya kunyanyasa walimu lakini pia tutaanika madudu ya ndani ya ofisi waje na utetezi tena.
 
Hebu msaidie prof kwa kumpatia angalau hadidu za rejea, kusema ukweli hujaonesha tuhuma yoyote ambayo inaweza kufanyiwa kazi
Hii serikali ya Magufuli ni tofauti na ulizozizoea wewe najua unajua hilo kama mlizoe kufanya ofisi za umma kama nyumba ndogo zenu mtaimba haleluya!!
 
Mwandishi wa hii makala ni mmoja wapo naona[emoji3][emoji3][emoji3]
tatizo hoja zenu za utetezi kwa huyo kima wenu ni dhaifu mno kwanini amnamtetea asichunguzwe kwani kwenye serikali hii? Kwa ufupi hafai kuwa kwenye nafasi hiyo eneo ambapo ipo ikulu yetu ya jamhuri ya muungano pana heshima yake.
 
hii serikali ya magufuri ni tofauti na ulizozizoea wewe najua unajua hilo kama mlizoe kufanya ofisi za umma kama nyumba ndogo zenu mtaimba haleluya!!
Kwahiyo umemuagiza Ndalichako afanyie kazi nyumba ndogo⁉️⁉️‼️‼️; kama ulizoea kuiona serikali ikifanyia kazi umbea basi awamu hii utajua maana ya jina "NDALICHAKO"
 
Kwahiyo umemuagiza Ndalichako afanyie kazi nyumba ndogo⁉️⁉️‼️‼️; kama ulizoea kuiona serikali ikifanyia kazi umbea basi awamu hii utajua maana ya jina "NDALICHAKO"
tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufikiria.
 
Mimi nadhani ungewekwa utaratibu wa kuruhusu wananchi wote tuwe 'usalama wa Taifa' tuwekewe utaratibu wa KUMPA 'UBUYU'(Umbea) Mh Rais mojakwamoja yaani awe na 'LAINI YA SIMU YA WANANCHI' ambayo tutatuma ujumbe wa tunayojua hayako sawa..maana kuna watu hawatishwi polisi wala takukuru
We unadhani hapa hasomi??
 
Sasa na yale mafile pale mezani atajibu sa ngapi.
Nyie endeleeni kuharibiana ugali rais muacheni adeal na hao mergez, stiglergorge na mambo makubwa nyie pigeni umbea.
 
Nimesoma thread yote bado sijaelewa tatizo la huyu mama anayelalamikiwa ni lipi. Mleta mada analalamika tu na wachangiaji hivyo hivyo.

Ni vyema mkajitahidi kusema tatizo lake ni nini ili muwarahisihie kazi wahusika mnaotaka wachukue hatua na sisi Wananchi watumiaji wa JF tuweze kufahamu hasa huyu mama kafanya nini huko Chamwino maana wengine makazi yetu ni huku Nakapanya Chamwino tunasikia tu kwenye nyimbo za CCM.
 
Namfahamu vema huyu Dada nilihama wilaya ya Chamwino kwa ajili yake,nakumbuka kuna siku kulikuwa na kikao nafikiri cha walimu wakuu kuna mwalimu alitoka kilometa zaidi ya 120 ilipo shule yake alimfukuza kama mbwa na alichelewa dakika 20 tu na changàmoto za Barabara za vijijini zinajulikana.
Mmhhh!!!!, Wanawake wengine (sio wote lkn) wakipata ka nafasi kidogo tu basi ni jeuri mwanzo mwisho.
 
Nimesoma thread yote bado sijaelewa tatizo la huyu mama anayelalamikiwa ni lipi. Mleta mada analalamika tu na wachangiaji hivyo hivyo.

Ni vyema mkajitahidi kusema tatizo lake ni nini ili muwarahisihie kazi wahusika mnaotaka wachukue hatua na sisi Wananchi watumiaji wa JF tuweze kufahamu hasa huyu mama kafanya nini huko Chamwino maana wengine makazi yetu ni huku Nakapanya Chamwino tunasikia tu kwenye nyimbo za CCM.
Ujeuri labda !

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mtu mwenye madaraka anaeweza kukujibu "Kafie mbele huko...afterall kila mtu atakufa" mtu wa aina hii unaona ni mtu timamu kweli au ethics za kazi huzijui?

She belongs to the streets anytime from now ajiandae. Wacha hili bango limfikie mkulu tuone kama hio kinga ya Professor flani itamsaidia.

Wanawake aina hii ukichunguza hata mume hawezi kuwa nae kabisa.
Zaina nimefundisha nae.

Labda uongozi ndiyo umbadilishe haiba Kiwango hiki.
Kabla ya hapo mbn ni Mwl mtaratibu mno, hata kuongea ni kazi.
Huu ukatili na kiburi vinaelezewa hapa mbona havifananii nae?

Na kuhusu Prof, mbona ni mumewe siku nying sana.
Kabla hata hawajahamia Dom?
 
Nimesoma thread yote bado sijaelewa tatizo la huyu mama anayelalamikiwa ni lipi. Mleta mada analalamika tu na wachangiaji hivyo hivyo.

Ni vyema mkajitahidi kusema tatizo lake ni nini ili muwarahisihie kazi wahusika mnaotaka wachukue hatua na sisi Wananchi watumiaji wa JF tuweze kufahamu hasa huyu mama kafanya nini huko Chamwino maana wengine makazi yetu ni huku Nakapanya Chamwino tunasikia tu kwenye nyimbo za CCM.
Hamna mashiko.
Hawana tu any tangible think wanaweza kusimama.

Ndio maana hawajaweza kufuata utaratibu husika wa kupeleka malalamiko.
 
Back
Top Bottom