Nyanje
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 763
- 680
Kuna jamaa mmoja muhehe nae anatabia ya kujikomba bila sababu kama weweAmbia hicho chanzo chako, Muache gubu na wivu tafuteni na nyie njia za Panya mpate hiyo nafasi kama mnadhani ni upatikanaji wake ni wa hovyo namna hiyo[emoji3][emoji3]
Walimu msipoacha majungu mtaendelea kutumikishwa sana inji hii.
Kada yenu kubwa ila hamjitambui!