Prof.ndalichako amrisha watoto wote waliotimiza miaka 7 waingie shule walizo jirani nao.

Prof.ndalichako amrisha watoto wote waliotimiza miaka 7 waingie shule walizo jirani nao.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Matakwa ya rushwa ndogondogo za kipuuzi yametapakaa katika shule nyingi nchini kama njia ya kujipatia chochote Kwa wahusika,
N.b,matatizo yao au mapungufu madogo madogo yatatatuliwa polepole baadae!
 
Kama sitaki mwanangu asomee shule ya Tandale Uzuri nataka akasomee Bunge itakuaje.
 
Juz nilimpeleka mwanangu hapo shule ya msingi mtakuja vingunguti

MCHANGO was t-shirt na nembo n tsh 15k

Lakn sijaona tatizo kwangu mm Kwan wanapokea hata wale wasio na huo mchango

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hapo wanautii,kwingine unaambiwa no chance,kusudi unyooshe mkono!,hats mashule ya kanda ya segerea ndio tatizo kubwa.
 
Back
Top Bottom