Prof. Ndalichako ni kweli Serikali inazifaulisha makusudi shule za Serikali dhidi ya shule Binafsi?

Kwa hiyo lawama nazo ni sahihi kuzitumia kwenye awamu ya tano?
Siyo sahihi kwa sababu ni makosa kurithi ujinga.Awamu ya sita ilipaswa kurithi mazuri peke yake kutoka awamu ya tano(Ambayo hata hivyo hayapo) na siyo kurithi uchafu.Awamu ya sita tunawalaumu kwa sababu wamerithi uchafu kutoka awamu ya tano.
 
Tuliongea sana hili kipindi matokeo yanatoka
Sidhani kama inaishia kwenye kushusha shule binafsi, ni juhudi zile zile za kutengeneza wataalam vilaza..chain reaction yake ni mbleleni sio sasa.... hadi nashangaa shule ambazo hasina chochote zinafaulisha sayansi kuliko shule zenye maabara na reagent...

Kuna shule zipo top ten wanafunzi niliwah tembelea hata kiswahil hawajui vizur...

Ni swala la muda tu
 
Kwani huwa hawana miiko ya kutokutoa siri kama kazi zingine?
kuna miiko na huwa wanakula kiapo cha sheria ya usalama wa taifa ya mwaka 1978 na ukipatikana na hatia yaktoa siri ni miaka ishirini jela hata hivyo binadamu wachache wana uwezo wa kutunza siri hasa akiona siri hiyo ni yenye madhara kuliko faida atatafuta sehemu ya kuitoa apumue
 
Mh. Prof Ndalichako,

1. Kuna taarifa kuwa Serikali imekuwa kwa makusudi ikijitahidi kuziinua shule za Serikali/kata katika mitihani at the detrimwent of shule za binafsi hasa zinazofanya vizuri.

2. Kwa makusudi kabisa inasemekana shule za binafsi zinazofanya vizuri/zenye historia ya kufanya vizuri watahiniwa wanapunguziwa marks ili shule za serikali/Kata zionekane zinafanya vizuri.

3. Najua si rahisi kulikubali kuwa hilo linatendeka, lakini habari za ndani kabisa zinasema ni hivyo. Kumbuka kuwa wasahihishaji wanatoka kwenye jamii tunayokaa hivyo kunawez kukawa na kaukweli ka aina fulani.

4. Vijana kutoka shule binafsi wanalalamika kuwa haiwezekani wakafeli hivyo kama ilivyoonekana kwenye mitihani ya juzi kidato cha sita na wanachelea kuomba remarking/rufani maana hawana imani tena na usahihishaji.

5. Mh. Prof, unalisemeaje hili?

6. Naamini hili kama linafanyika lazima liwe na Baraka za wakubwa na LABDA wewe ukiwa mmoja wapo? (inawezekana pia hujui), lakini common sense inaniongoza kufikiri kuwa haliwezi kufanyika bila wewe kujua.

KWA NIA NJEMA NALILETA KWAKO
Nmegundua humu weng mmesomea magar ya njano lkn hat mm kuna rafik yangu alikuwa kiaz hatar mpak form two akahamia hzo st wee hyoo form 4 katupigia kijit saf[emoji848][emoji848] nyie wa st mnaiba Sanaa aisee
 
Sidhani shule za serikali zinaxofanya vizuri ziko vizuri hasa hivi unategemea shule kama Tabora boys na Girls na kibaha na Mzumbe wadhindwe kutoa ufaulu mkubwa kitaifa? Kuna shule za serikali hata private wanaziogopa na Sasa hivi wamebuni mbinu ya kutoa scholarship kusomesha vipanga wanaofaulu shule za serikali na kwenda kwao
wengine wanaesomesha bure wakiwa na uhakika watazipaisha shule zao

Pili tatizo la walimu shule nyingi za serikali kimetatuliwa asilimia kubwa Sasa ya walimu wa secondary O level Ni degree holders sio wale wa Diploma ufundishaji vizuri umeongezeka
Wakati private wengine walimu wanaofundisha Ni kidato Cha sita!!
 
Tuliongea sana hili kipindi matokeo yanatoka
Sidhani kama inaishia kwenye kushusha shule binafsi, ni juhudi zile zile za kutengeneza wataalam vilaza..chain reaction yake ni mbleleni sio sasa.... hadi nashangaa shule ambazo hasina chochote zinafaulisha sayansi kuliko shule zenye maabara na reagent...

Kuna shule zipo top ten wanafunzi niliwah tembelea hata kiswahil hawajui vizur...

Ni swala la muda tu
Asilimia za mwanafunzi wajua na mwalimua wajua usionge bila kufikili
 
Binafsi niliwahi hisi huenda shule za Serikali zinabebwa sana miaka hii.

2020 mdogo wangu alihitimu kidato cha nne shule ya Serikali na alikuwa ni zero brain kabisa ila cha kushangaza eti kapata division two, ukweli niliumia sana na kujiuliza ni wapi kuna tatizo.

!.kilichokuuma hasa ni nini hapo au ulitaka apate zero!.
Dah!..Mabraza wote tungekuwa kama wewe wadogo zetu wangeipata joto ya jiwe!.mkoloni sana wewe na una roho mbaya.
 
Guys kwa ALEVEL SERIKALI WAKO VIZURI KWANI WANACHUKUA WALIOFAULU KUTIKA HIZO PRIVATE NA UNAKUTA WAZAZI WENGI WAMEGAHARAMIA OLEVEL PRIVATE HARAFU A LEVEL WANAWAACHIA KWENDA SERIKALI HARAFU WALE WALIOFAURU KIDOGO OLEVEL NDO WANAKWENDA ALEVEL ZA PRIVATE. MATOKEO NDO HAYO..FUATILIANE MUONE
 
Binafsi niliwahi hisi huenda shule za Serikali zinabebwa sana miaka hii.

2020 mdogo wangu alihitimu kidato cha nne shule ya Serikali na alikuwa ni zero brain kabisa ila cha kushangaza eti kapata division two, ukweli niliumia sana na kujiuliza ni wapi kuna tatizo.
Mkuu wewe ni kapumbavu, eti lidogo lako li zero brain kabisa? Kama wewe?
 
Guys kwa ALEVEL SERIKALI WAKO VIZURI KWANI WANACHUKUA WALIOFAULU KUTIKA HIZO PRIVATE NA UNAKUTA WAZAZI WENGI WAMEGAHARAMIA OLEVEL PRIVATE HARAFU A LEVEL WANAWAACHIA KWENDA SERIKALI HARAFU WALE WALIOFAURU KIDOGO OLEVEL NDO WANAKWENDA ALEVEL ZA PRIVATE. MATOKEO NDO HAYO..FUATILIANE MUONE
Uko sahihi kabisa mkuu! Wangelalamikia matokeo ya form 4 hapo sawa lakini kwa A level serikali wako vizuri na asilimia kubwa wa kuingia huko ni kama ulivyosema division 0ne mpaka two ndio wanachukua nafasi huko!!
 
Binafsi niliwahi hisi huenda shule za Serikali zinabebwa sana miaka hii.

2020 mdogo wangu alihitimu kidato cha nne shule ya Serikali na alikuwa ni zero brain kabisa ila cha kushangaza eti kapata division two, ukweli niliumia sana na kujiuliza ni wapi kuna tatizo.
Yaani badala ya kuwapongeza na kuwashukuru Walimu mnao wakejeli kila siku kwa jitihada zao, wewe unamshangaa mdogo wako kufaulu!
 
Binafsi niliwahi hisi huenda shule za Serikali zinabebwa sana miaka hii.

2020 mdogo wangu alihitimu kidato cha nne shule ya Serikali na alikuwa ni zero brain kabisa ila cha kushangaza eti kapata division two, ukweli niliumia sana na kujiuliza ni wapi kuna tatizo.
[emoji2][emoji2] we jamaa mdogo wako kafaulu unaona kuna tatizo
 
Mh. Prof Ndalichako,

1. Kuna taarifa kuwa Serikali imekuwa kwa makusudi ikijitahidi kuziinua shule za Serikali/kata katika mitihani at the detrimwent of shule za binafsi hasa zinazofanya vizuri.

2. Kwa makusudi kabisa inasemekana shule za binafsi zinazofanya vizuri/zenye historia ya kufanya vizuri watahiniwa wanapunguziwa marks ili shule za serikali/Kata zionekane zinafanya vizuri.

3. Najua si rahisi kulikubali kuwa hilo linatendeka, lakini habari za ndani kabisa zinasema ni hivyo. Kumbuka kuwa wasahihishaji wanatoka kwenye jamii tunayokaa hivyo kunawez kukawa na kaukweli ka aina fulani.

4. Vijana kutoka shule binafsi wanalalamika kuwa haiwezekani wakafeli hivyo kama ilivyoonekana kwenye mitihani ya juzi kidato cha sita na wanachelea kuomba remarking/rufani maana hawana imani tena na usahihishaji.

5. Mh. Prof, unalisemeaje hili?

6. Naamini hili kama linafanyika lazima liwe na Baraka za wakubwa na LABDA wewe ukiwa mmoja wapo? (inawezekana pia hujui), lakini common sense inaniongoza kufikiri kuwa haliwezi kufanyika bila wewe kujua.

KWA NIA NJEMA NALILETA KWAKO
Hoja yako iko kihisia zaidi kuliko kiuhalisia! Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) ni moja ya Taasisi za Serikali ambazo zinafanya kazi zake kwa weredi mkubwa.

Siku moja nenda kawatembelee ili ujue namna wanavyofanya kazi zao! Naamini baada ya hapo utakuwa Balozi mzuri kama mimi. Zoezi la usahihishaji halifungamani kabisa na upendeleo! Na wanao enda huko ni mashahidi! Maana haki ya Mtahiniwa hulindwa kuanzia hatua ya awali, mpaka ile ya mwisho.

Kuhusu kufeli kwa Watahiniwa wa shule binafsi, kunaweza kuchangiwa na sababu nyingi! Mojawapo kubwa ni ile ya kudhibitiwa kwa vitendo vya udanganyifu kwa baadhi ya Watahiniwa na pia Wamiliki wa hizo shule.

Mfano mzuri ni kwenye suala la Practical kwa Watahiniwa wa masomo ya Sayansi! Siku hizi Baraza limewabana sana Walimu wasio waaminifu kwenye suala zima la Practical. Nenda kawaulize, watakupa majibu. Hakuna janja janja tena za kutoa majibu ya mtihani kama ilivyokuwa huko nyuma.
 
Back
Top Bottom