Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Siyo sahihi kwa sababu ni makosa kurithi ujinga.Awamu ya sita ilipaswa kurithi mazuri peke yake kutoka awamu ya tano(Ambayo hata hivyo hayapo) na siyo kurithi uchafu.Awamu ya sita tunawalaumu kwa sababu wamerithi uchafu kutoka awamu ya tano.Kwa hiyo lawama nazo ni sahihi kuzitumia kwenye awamu ya tano?
Ukiona hivo ujue usahihishaji ulikuwa makini.Historia inaonesha kuwa rufani zote huwa zinapigwa chini(matokeo hayabadiliki). Ikitokea ni kama 0.000001% so to say!
Kuweni na uelewa watanzania msahihishaji kazi yake ni kusahihisha na si kutoa matokeo mambo ya uchakataji matokeo ni suara la necta officials tu.Nimeongea na msahihishaji mmoj akaniambia nilichokiandika hapo.
kuna miiko na huwa wanakula kiapo cha sheria ya usalama wa taifa ya mwaka 1978 na ukipatikana na hatia yaktoa siri ni miaka ishirini jela hata hivyo binadamu wachache wana uwezo wa kutunza siri hasa akiona siri hiyo ni yenye madhara kuliko faida atatafuta sehemu ya kuitoa apumueKwani huwa hawana miiko ya kutokutoa siri kama kazi zingine?
Aah wapi ....Kusimamia uchaguzi
Nmegundua humu weng mmesomea magar ya njano lkn hat mm kuna rafik yangu alikuwa kiaz hatar mpak form two akahamia hzo st wee hyoo form 4 katupigia kijit saf[emoji848][emoji848] nyie wa st mnaiba Sanaa aiseeMh. Prof Ndalichako,
1. Kuna taarifa kuwa Serikali imekuwa kwa makusudi ikijitahidi kuziinua shule za Serikali/kata katika mitihani at the detrimwent of shule za binafsi hasa zinazofanya vizuri.
2. Kwa makusudi kabisa inasemekana shule za binafsi zinazofanya vizuri/zenye historia ya kufanya vizuri watahiniwa wanapunguziwa marks ili shule za serikali/Kata zionekane zinafanya vizuri.
3. Najua si rahisi kulikubali kuwa hilo linatendeka, lakini habari za ndani kabisa zinasema ni hivyo. Kumbuka kuwa wasahihishaji wanatoka kwenye jamii tunayokaa hivyo kunawez kukawa na kaukweli ka aina fulani.
4. Vijana kutoka shule binafsi wanalalamika kuwa haiwezekani wakafeli hivyo kama ilivyoonekana kwenye mitihani ya juzi kidato cha sita na wanachelea kuomba remarking/rufani maana hawana imani tena na usahihishaji.
5. Mh. Prof, unalisemeaje hili?
6. Naamini hili kama linafanyika lazima liwe na Baraka za wakubwa na LABDA wewe ukiwa mmoja wapo? (inawezekana pia hujui), lakini common sense inaniongoza kufikiri kuwa haliwezi kufanyika bila wewe kujua.
KWA NIA NJEMA NALILETA KWAKO
Asilimia za mwanafunzi wajua na mwalimua wajua usionge bila kufikiliTuliongea sana hili kipindi matokeo yanatoka
Sidhani kama inaishia kwenye kushusha shule binafsi, ni juhudi zile zile za kutengeneza wataalam vilaza..chain reaction yake ni mbleleni sio sasa.... hadi nashangaa shule ambazo hasina chochote zinafaulisha sayansi kuliko shule zenye maabara na reagent...
Kuna shule zipo top ten wanafunzi niliwah tembelea hata kiswahil hawajui vizur...
Ni swala la muda tu
Binafsi niliwahi hisi huenda shule za Serikali zinabebwa sana miaka hii.
2020 mdogo wangu alihitimu kidato cha nne shule ya Serikali na alikuwa ni zero brain kabisa ila cha kushangaza eti kapata division two, ukweli niliumia sana na kujiuliza ni wapi kuna tatizo.
Guys kwa ALEVEL SERIKALI WAKO VIZURI KWANI WANACHUKUA WALIOFAULU KUTIKA HIZO PRIVATE NA UNAKUTA WAZAZI WENGI WAMEGAHARAMIA OLEVEL PRIVATE HARAFU A LEVEL WANAWAACHIA KWENDA SERIKALI HARAFU WALE WALIOFAURU KIDOGO OLEVEL NDO WANAKWENDA ALEVEL ZA PRIVATE. MATOKEO NDO HAYO..FUATILIANE MUONE!.kilichokuuma hasa ni nini hapo au ulitaka apate zero!.
Dah!..Mabraza wote tungekuwa kama wewe wadogo zetu wangeipata joto ya jiwe!.mkoloni sana wewe na una roho mbaya.
Mkuu wewe ni kapumbavu, eti lidogo lako li zero brain kabisa? Kama wewe?Binafsi niliwahi hisi huenda shule za Serikali zinabebwa sana miaka hii.
2020 mdogo wangu alihitimu kidato cha nne shule ya Serikali na alikuwa ni zero brain kabisa ila cha kushangaza eti kapata division two, ukweli niliumia sana na kujiuliza ni wapi kuna tatizo.
Uko sahihi kabisa mkuu! Wangelalamikia matokeo ya form 4 hapo sawa lakini kwa A level serikali wako vizuri na asilimia kubwa wa kuingia huko ni kama ulivyosema division 0ne mpaka two ndio wanachukua nafasi huko!!Guys kwa ALEVEL SERIKALI WAKO VIZURI KWANI WANACHUKUA WALIOFAULU KUTIKA HIZO PRIVATE NA UNAKUTA WAZAZI WENGI WAMEGAHARAMIA OLEVEL PRIVATE HARAFU A LEVEL WANAWAACHIA KWENDA SERIKALI HARAFU WALE WALIOFAURU KIDOGO OLEVEL NDO WANAKWENDA ALEVEL ZA PRIVATE. MATOKEO NDO HAYO..FUATILIANE MUONE
Hata mimi nimecheka badala ya kufurahia mdogo wake kabahatisha pepa akatoboa yeye anasikitikaYaani nimecheka sana na comment
Yaani badala ya kuwapongeza na kuwashukuru Walimu mnao wakejeli kila siku kwa jitihada zao, wewe unamshangaa mdogo wako kufaulu!Binafsi niliwahi hisi huenda shule za Serikali zinabebwa sana miaka hii.
2020 mdogo wangu alihitimu kidato cha nne shule ya Serikali na alikuwa ni zero brain kabisa ila cha kushangaza eti kapata division two, ukweli niliumia sana na kujiuliza ni wapi kuna tatizo.
wajinga Tanzania ni 99.999999% uko sahihi kabisaIle ilikuwa ni Serikali ya propaganda pamoja na populism ili kukamata wajinga ambao ndiyo wengi Tanzania.
[emoji2][emoji2] we jamaa mdogo wako kafaulu unaona kuna tatizoBinafsi niliwahi hisi huenda shule za Serikali zinabebwa sana miaka hii.
2020 mdogo wangu alihitimu kidato cha nne shule ya Serikali na alikuwa ni zero brain kabisa ila cha kushangaza eti kapata division two, ukweli niliumia sana na kujiuliza ni wapi kuna tatizo.
Lazima usikitike maana siyo sawa kufanya hivyo, na ukijua ndugu yako ni jinga halafu linapewa marks za bureHata mimi nimecheka badala ya kufurahia mdogo wake kabahatisha pepa akatoboa yeye anasikitika
Hoja yako iko kihisia zaidi kuliko kiuhalisia! Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) ni moja ya Taasisi za Serikali ambazo zinafanya kazi zake kwa weredi mkubwa.Mh. Prof Ndalichako,