Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu andaa kisherehe flani si unaona mzee mwenzako Mohamed Said hadi leo ni Expert member... Tena alijiunga kabla yako ye ni Nov 2, we ni Dec 2, mwezi mmoja kamili.....
Vigezo vya kuwa platnam member ni vpHeshima sana wana jamvi.
Napenda kuwajuza kwamba Ngongo sasa ni Platinum Member.
Mnapojadiliana na Prof Ngongo heshima iwepo.
Ngongo kwasasa Kizimkazi
Mwenzako kaandika vitabu vinasomwa hadi huko US, yule kiukweli nimesoma bandiko zake humu ana exposure kubwa,Unajua Mohamed Said ukiondoa dini na vutongoji vya kariakoo ni mweupe sana.Itamchukua muda mrefu sana kusogea hapo alipo.
Nipo Kizimkazi na team ya watu watano tunavuta rahaa balaa.
😅Heshima iwepo au siyo? Ila hujatuambia wewe ni profesa wa kitu gani?Heshima sana wana jamvi.
Napenda kuwajuza kwamba Ngongo sasa ni Platinum Member.
Mnapojadiliana na Prof Ngongo heshima iwepo.
Ngongo kwasasa Kizimkazi
Heshima Yako mkuu..Heshima sana wana jamvi.
Napenda kuwajuza kwamba Ngongo sasa ni Platinum Member.
Mnapojadiliana na Prof Ngongo heshima iwepo.
Ngongo kwasasa Kizimkazi
Sasa kama Hitler aliyetikisa dunia alikuwa mchoraji nashangaa vipi wacheza bao kuleta uhuru Tanganyika? Nyerere mwenyewe alikuwa mcheza bao mzuri sana...Kwahiyo unataka kuamini uhuru wa Tanganyika uliletwa na wacheza bao wa Tandamti ?.
Malizia. Ni maviWewe...jamaa
Huyu mzee udini ni mwingi sana......Mkuu andaa kisherehe flani si unaona mzee mwenzako Mohamed Said hadi leo ni Expert member... Tena alijiunga kabla yako ye ni Nov 2, we ni Dec 2, mwezi mmoja kamili.....
Hmm sio kila jambo unalichukulia siriasi mzee hii dizain ime ku uma kwa upande wakoMshamba sana haujui kwamba watu wana IQ kuliko wewe ila waliona wasiusumbue ubongo wao Hadi kuwa profesa ,na WAtu hao wengi wana masters bachelor degree first class acha ushamba
Sema prof una majungu 😂Sidhani unajua moderator wanatazama vitu vingi sana,kitu cha kwanza ni nyuzi zilizoenda shule,matusi hakuna,uchawa ndio huwezi kupata kabisa u Platinum.
Kuna yule chawa mkuu Lucas Mwashambwa atasubiri sana.