Prof Ngongo sasa ni Platinum Member

Prof Ngongo sasa ni Platinum Member

Mkuu andaa kisherehe flani si unaona mzee mwenzako Mohamed Said hadi leo ni Expert member... Tena alijiunga kabla yako ye ni Nov 2, we ni Dec 2, mwezi mmoja kamili.....

Unajua Mohamed Said ukiondoa dini na vitongoji vya kariakoo ni mweupe sana.Itamchukua muda mrefu sana kusogea hapo alipo.

Nipo Kizimkazi na team ya watu watano tunavuta rahaa balaa.
 
Mshamba sana haujui kwamba watu wana IQ kuliko wewe ila waliona wasiusumbue ubongo wao Hadi kuwa profesa ,na WAtu hao wengi wana masters bachelor degree first class acha ushamba
Una wivu povu la nini !.
 
Heshima sana wana jamvi.

Napenda kuwajuza kwamba Ngongo sasa ni Platinum Member.

Mnapojadiliana na Prof Ngongo heshima iwepo.

Ngongo kwasasa Kizimkazi
😅Heshima iwepo au siyo? Ila hujatuambia wewe ni profesa wa kitu gani?
 
Kwahiyo unataka kuamini uhuru wa Tanganyika uliletwa na wacheza bao wa Tandamti ?.
Sasa kama Hitler aliyetikisa dunia alikuwa mchoraji nashangaa vipi wacheza bao kuleta uhuru Tanganyika? Nyerere mwenyewe alikuwa mcheza bao mzuri sana...
images
 
Mshamba sana haujui kwamba watu wana IQ kuliko wewe ila waliona wasiusumbue ubongo wao Hadi kuwa profesa ,na WAtu hao wengi wana masters bachelor degree first class acha ushamba
Hmm sio kila jambo unalichukulia siriasi mzee hii dizain ime ku uma kwa upande wako
 
Unafikiaje hii status? Ina faida zozote? Maana kwa muda wote nilioishi humu sijaona tofauti ya expert member na member.
 
Back
Top Bottom