TANZIA Prof. Nkunya wa TCU afariki dunia

TANZIA Prof. Nkunya wa TCU afariki dunia

Gwiji wa Chemiatry pale UD...mungu ampe pumziko jema
IMG-20210720-WA0094.jpg
 
Kutuandikia kiarabu..kwani nani alimwambia humu kuna waarabu...vitu vingine upuuzi sana.

Anyway apumzike kwa amani prof.

#MaendeleoHayanaChama
Wewe bwegee kiarabu ni lugha kama lugha nyengie na top ten lugha zenye watumiaji wengi haifiki no 5
Isitosha ukitaka usitake ww mjinga zaid ya 50% maneno ya kiswahili yametoholewa toka lugha ya kiarabu chukua mifano ifuatayo ww kifuu

1- SAHANI صحن
2- SAKAFU سقف
3- SIRI سر
4-KABURI قبر
5-، KALAMU قلم
6- DAFTARI دفثر
7- KITABU كتاب
8- SAMAKI سمك
9-MAITI ميت
10- RAIS راس
11- WAZIR وزير
12-ARDHI ارض
13-DHAMMB ذمب
14-MWALIMU معلم
15-AKARI اسكر
16-DHULMA ظلمة
17-KHOFU خوف
18- SHUJA شجاع
19- SIHA صحة
20-،MARADHI مرض
21-TIBA طب
Kiarabu ukishukuru usikitukane kengee weee
 
Poleni wafiwa, Poleni wana taaluma...academicians/scholars alinifundisha Chemistry miaka hiyo.......99% ya vijana wa humu JF hamjazaliwa
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Mnatutisha wenzenu inamaana ww umesoma chuo zamani sana.
 
Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Prof. Mayunga Habibu Hemedi Nkunya amefariki dunia leo Julai 20, 2021 katika Hosp ya Taifa, Muhimbili.

RIP

Hii ni hasara sana bora angekufa prfs nani hii hana faida.
Lakini ni kazi yake mola mola ailaze roho ya marehemu panakostaili
 
Delta inakimbiza tu kimya kimya...badae ndio mtaelewa
 
Back
Top Bottom