TANZIA Prof. Nkunya wa TCU afariki dunia

😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Mnatutisha wenzenu inamaana ww umesoma chuo zamani sana.
Yes, ndiyo maana JF naonaga kuna chekechea wengi tu na maandishi yao unaona kabisa kuwa hawa ni wa Jalalani enzi za KabudiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Usiogope, kila mtu ana mpango wake. mimi amenifundisha chemistry UDSM....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…