TANZIA Prof. Nkunya wa TCU afariki dunia

Inawezekana kama mlifundsha wote, then wewe ni mwalimu wangu. Prof Khan/Ndaalio/Kapuya etc etc ..Khan wa organc chemistry unamkumbuka?,
Wengine hapo wakubwa zangu. Prof. Ndaalio lecturer wangu physical chemistry (marehemu)
 
Kutuandikia kiarabu..kwani nani alimwambia humu kuna waarabu...vitu vingine upuuzi sana.

Anyway apumzike kwa amani prof.

#MaendeleoHayanaChama
Unaogopa kiarabu,kiarabu ni lugha kama lugha nyingine,acha kuogopa ogopa.
 
Umesema kweli tupu.
 
Mbona huyu jamaa jina kama la kwao na mwendazake? Mayunga??
 
Humu najitahidi kupunguza masihara, nilishangaa kuna jaji mstaafu humu na anapendelea mijadala ya siasa balaa. Siku moja wakati tunapiga stori ghafla tukajikita tunajadili jf na wote ni member[emoji1][emoji1]
Yaani hizi fake ID zinatudanganya sana,kweli jitahidi kuwa positive unapomkosoa mtu tumia maneno ya staha bila kumvunjia heshima
 
LiCCM eheee sura nzito kama pasi ya mkaa.
Siipendi MiCCM ikifa nafurahi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…