Tathmini siku zote ni mtazamo binafsi na si lazima wengine waukubaliEti tathimini huna lolote.
Vikwazo mlivyowekea upinzani vilijadiliwa na nani? Kiburi hakina macho
Huyu anashindwa kutofautisha kuwa siasa haina ukomo na uchaguzi ni sehemu ya siasa.Hapo mkuu umenena maneno mazito sijui serikali ya CCM inakumbuka hilo.
Mfano mmoja kati ya mingi ya vikwazo vya CCM kwa upinzani : Maalim Seif akienda Pemba wanamuwekea vikwazo visivyo vya kiungwana bila kuzingatia sheria ya vyama vingi, katiba au baraza la vyama vingi kuafiki. Serikali ya CCM hutoa matamko huku ikikiuka sheria, katiba na vikao halali vilivyoruhusu vyama vingi
Marekani na wingereza ndio Umoja wa Mataifa yenyewe huyu mimacho yake sijui yukoje.October 25, 2019
Dar es Salaam, Tanzania
Prof. Palamagamba Kabudi: Vikwazo vipate baraka ya Umoja wa Mataifa
Prof. Palamagamba Kabudi asema kuwa Vikwazo vinavyowekewa nchi za kiAfrika lazima vipitie kwanza Umoja wa Mataifa na kujadiliwa ktk Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kupata baraka za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa.
Prof. Kabudi anakosoa nchi mmoja au chache kubwa beberu kuamua kuweka vikwazo bila kushirikisha jumuiya ya kimataifa ni njia batili na haikubaliki. Amekosoa vikwazo kuamuliwa na nchi moja beberu maana huathiri kina mama, watoto na wananchi wanyonge zaidi
Vikwazo vinaenda kinyume na mila na desturi za uungwana kwa nchi moja kutangaza vikwazo bila kuhusisha Umoja wa Mataifa au Jumuiya za Kikanda kujadili pendekezo la vikwazo kabla havijatekelezwa.
Kama Marekani na Uingereza wangekuwa na hoja za msingi kuhusu Zimbabwe wangepeleka azimio kwenye Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa".Prof. Kabudi.
Source: ITV Tanzania
Hahahaaa hao akina mama na watoto hata hiyo US hawaijui. Huku wanashindia viazi na maharage tu wanamshukuru Mungu. kukiwa hakuna vikwazo haya ndio maisha yao. Hata vikwazo vikiwekwa watu maskini hatuba cha kupoteza.Waliopo madarakani wakitangaziwa Vikwazo hukimbilia kulia kuwa kina mama na watoto watakuwa waathirika wakubwa.
Ukweli vigogo watawala wanatumia 'kina mama na watoto' kama ngao ya kujinusuru na vikwazo. Kutumia nguvu yao kama watawala kukusanyika ktk Baraza la Usalama Umoja wa Mataifa kuunda makundi ya kisiasa kupinga mswada wa vikwazo na ndiyo maana Marekani na Umoja wa Ulaya wanajua janja ya hawa wanasiasa na kuamua kujitangazia vikwazo bila kutumia Umoja wa Mataifa.
Wakati anasema hayo yale macho yalikuwa kwenye mtizamo upi.
huyu jina lake ni Propesa Pumbavu Kaibuliwa Jalalani.October 25, 2019
Dar es Salaam, Tanzania
Prof. Palamagamba Kabudi: Vikwazo vipate baraka ya Umoja wa Mataifa
Prof. Palamagamba Kabudi asema kuwa Vikwazo vinavyowekewa nchi za kiAfrika lazima vipitie kwanza Umoja wa Mataifa na kujadiliwa ktk Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kupata baraka za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa.
Prof. Kabudi anakosoa nchi mmoja au chache kubwa beberu kuamua kuweka vikwazo bila kushirikisha jumuiya ya kimataifa ni njia batili na haikubaliki. Amekosoa vikwazo kuamuliwa na nchi moja beberu maana huathiri kina mama, watoto na wananchi wanyonge zaidi
Vikwazo vinaenda kinyume na mila na desturi za uungwana kwa nchi moja kutangaza vikwazo bila kuhusisha Umoja wa Mataifa au Jumuiya za Kikanda kujadili pendekezo la vikwazo kabla havijatekelezwa.
Kama Marekani na Uingereza wangekuwa na hoja za msingi kuhusu Zimbabwe wangepeleka azimio kwenye Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa".Prof. Kabudi.
Source: ITV Tanzania
Kwanza baraka hutolewa katika mambo mazuri ya heri, mambo ya kuwekeana vikwazo yanahitaji kulaaniwa na si kubarikiwa.October 25, 2019
Dar es Salaam, Tanzania
Prof. Palamagamba Kabudi: Vikwazo vipate baraka ya Umoja wa Mataifa
Prof. Palamagamba Kabudi asema kuwa Vikwazo vinavyowekewa nchi za kiAfrika lazima vipitie kwanza Umoja wa Mataifa na kujadiliwa ktk Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kupata baraka za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa.
Prof. Kabudi anakosoa nchi mmoja au chache kubwa beberu kuamua kuweka vikwazo bila kushirikisha jumuiya ya kimataifa ni njia batili na haikubaliki. Amekosoa vikwazo kuamuliwa na nchi moja beberu maana huathiri kina mama, watoto na wananchi wanyonge zaidi
Vikwazo vinaenda kinyume na mila na desturi za uungwana kwa nchi moja kutangaza vikwazo bila kuhusisha Umoja wa Mataifa au Jumuiya za Kikanda kujadili pendekezo la vikwazo kabla havijatekelezwa.
Kama Marekani na Uingereza wangekuwa na hoja za msingi kuhusu Zimbabwe wangepeleka azimio kwenye Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa".Prof. Kabudi.
Source: ITV Tanzania
Na ni kinyume na UN charter,nchi moja kuamua kuweka vikwazo nchi nyingine kwa visingizio visivyo na mashiko.October 25, 2019
Dar es Salaam, Tanzania
Prof. Palamagamba Kabudi: Vikwazo vipate baraka ya Umoja wa Mataifa
Prof. Palamagamba Kabudi asema kuwa Vikwazo vinavyowekewa nchi za kiAfrika lazima vipitie kwanza Umoja wa Mataifa na kujadiliwa ktk Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kupata baraka za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa.
Prof. Kabudi anakosoa nchi mmoja au chache kubwa beberu kuamua kuweka vikwazo bila kushirikisha jumuiya ya kimataifa ni njia batili na haikubaliki. Amekosoa vikwazo kuamuliwa na nchi moja beberu maana huathiri kina mama, watoto na wananchi wanyonge zaidi
Vikwazo vinaenda kinyume na mila na desturi za uungwana kwa nchi moja kutangaza vikwazo bila kuhusisha Umoja wa Mataifa au Jumuiya za Kikanda kujadili pendekezo la vikwazo kabla havijatekelezwa.
Kama Marekani na Uingereza wangekuwa na hoja za msingi kuhusu Zimbabwe wangepeleka azimio kwenye Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa".Prof. Kabudi.
Source: ITV Tanzania
Kama ndivyo,Watangazie ulimwengu kuwa waliuadaa kwa nusu karne sasa la sivyo umoja huo hauna maana yeyote ya kuuita umoja wa mataifa.Umoja wa Mataifa ni mali ya Marekani hivyo ikiwa itagundua ukiukwaji wa sheria za kimataifa lazima ikushughulikie bila kupata ushauri kwa ye yote.
Mahiga ni mwana diplomatic wa hali ya juu sanaIle nafasi ya Foreign Affairs ilipaswa aendelee nayo Mh.Augustine Mahiga kwa kuwa ndio Taaluma yake na pia ana uzoefu nao wa hali ya juu sana