Prof. Palamagamba Kabudi: Vikwazo vipate baraka ya Umoja wa Maraifa

Kikwete alituwekea viongozi washamba. Wamelewa madaraka

1. Ukiukwaji wa haki za binadamu, mtu anapigwa risasi hadharani akiwa kazini alafu hakuna hata mtuhumiwa mpaka leo
2. Viongozi wa chama Cha upinzani wote wanna kesi mahakamani, na wote wamewahi kufungwa jela.
3. Waandisha wa habari za ukweli wamebambikiwa kesi zisizokuwa na dhamana
4. Watu wanatekwa kila uchao
5. Idara ya police kujichukulia hukumu mkononi
6. Mahakama hazina meno
7. Bunge linaagizwa
8. Matumizi ya pesa za serikali anatumia mtu mmoja and no editorial

Yaani Ni uchafu mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli akimaliza muda wake,akihojiwa kwa nini serikali ya awamu ya tano ilifail,atasema "nilikpotoshwa na mawaziri maprofesa wenye mazero kichwani"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini tumuulize huyu Prof!!! Kwanini kuwe na vikwazo??? Asitufanye wote hapa Tz ni Wagogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sisi hatuna ka nchi ka kufanyia ubeberu, na sisi tuwe tunakawekea vikwazo? maana vitisho vimekuwa vingi sana..
 
BBC watoa maoni juu ya katazo kwa nchi kadhaa ikiwemo Tanzania

 
Ile nafasi ya Foreign Affairs ilipaswa aendelee nayo Mh.Augustine Mahiga kwa kuwa ndio Taaluma yake na pia ana uzoefu nao wa hali ya juu sana
Sure mkuu, inamaana US haiwezi kuamua mambo yake binafsi mpaka UN.. Inachofanya US in kuamua wao kwa maslahi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ius Gentium
 
Huyu jinga hajui US=UN, asubirie maana yeye atakuwa wa kwanza kupigwa ban ya kuingia USA soon, wanaanza na wakubwa na familia zao kwanza halafu bdae ndio kina sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…