johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CCM ina wahuni wachache au ni chama cha wahuni ?Tatizo ccm imeharibiwa na wahuni wachache...
chadema mnatabia ya kudharau ma professor na wasomi.yani unamwita msomi mbwa ?Definition ya chadema inasema hivi_____Chadema is the political. Party which power belong to the people/
Sisi chadema kumsingiliza Mbwa tunasikia kelele tu.
Ngoja aje Daudi Mchambuzi!Lakin ameongea points
amani,utulivu uhuruna wa kujieleza ulionaosasa mpaka umepata nafasi ya kukaahapo ulipo unaandika kwa utulivu na amani ni kwa sababu ya serikali ya ccm.CCM ina wahuni wachache au ni chama cha wahuni ?
Chadema wanamtegemea Sugu!chadema mnatabia ya kudharau ma professor na wasomi.yani unamwita msomi mbwa ?
professor safari na professor baregu mmeshindwa kuwatumia kuwaongoza mmewapuuza ndo maana chama kimekufa.
Huo ndio ukweli mchungu najua vijana wanadeki lami watakuja kulalamika hapaMchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.
Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.
Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.
Source: Medani za Siasa Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Mpinge kwa hoja bwashee!Huyu tapeli wa kisiasa amekuwa akikipigia upatu chama cha mapinduzi. Tapeli mkubwa
Definition ya chadema inasema hivi_____Chadema is the political. Party which power belong to the people/
Sisi chadema kumsingiliza Mbwa tunasikia kelele tu.
Kwahiyo unataka nisiandike kwa amani ?amani,utulivu uhuruna wa kujieleza ulionaosasa mpaka umepata nafasi ya kukaahapo ulipo unaandika kwa utulivu na amani ni kwa sababu ya serikali ya ccm.
chadema mnatabia ya kudharau ma professor na wasomi.yani unamwita msomi mbwa ?
professor safari na professor baregu mmeshindwa kuwatumia kuwaongoza mmewapuuza ndo maana chama kimekufa.