Prof. Patrick Lumumba: Tanzania chama cha siasa ni CCM tu hivyo vingine ni vikundi vya wanaharakati visivyo na Filosofia wala Falsafa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.

Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.

Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.

Source: Medani za Siasa Star tv

Maendeleo hayana vyama!
 
CCM chama cha kijamaa Chenye wanachama wanaoamini na kuishi katika ubepari.

Chama cha kijamaa kinachoendesha nchi katika misingi yote ya ubepari.

Halafu kuna Professor mmoja kutoka huko anadai kuwa ndiyo chama Chenye itikadi inayoeleweka.

Chadema ni chama cha mlengo wa kati na kimeishi imani yake hiyo tangu kuanzishwa kwake mpaka leo halafu prof mmoja anasema itikadi yake haieleweki ?
 
Definition ya chadema inasema hivi_____Chadema is the political. Party which power belong to the people/

Sisi chadema kumsingiliza Mbwa tunasikia kelele tu.
chadema mnatabia ya kudharau ma professor na wasomi.yani unamwita msomi mbwa ?
professor safari na professor baregu mmeshindwa kuwatumia kuwaongoza mmewapuuza ndo maana chama kimekufa.
 
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.

Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.

Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.

Source: Medani za Siasa Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Huo ndio ukweli mchungu najua vijana wanadeki lami watakuja kulalamika hapa
 
Hahaha people hawa wanaosema mwenyekiti wenu ni dikteta
Definition ya chadema inasema hivi_____Chadema is the political. Party which power belong to the people/

Sisi chadema kumsingiliza Mbwa tunasikia kelele tu.
 
amani,utulivu uhuruna wa kujieleza ulionaosasa mpaka umepata nafasi ya kukaahapo ulipo unaandika kwa utulivu na amani ni kwa sababu ya serikali ya ccm.
Kwahiyo unataka nisiandike kwa amani ?
 
Unapoitaja CCM unaona watu

Lakini unapoitaja Chadema unaona mtu,!

Hiyo ndiyo tofauti kubwa iliyopo, Chadema Hadi iondokane na mfumo mtu ili kiwe Chama watu, ni miongo kadhaa ijayo, au huyo Chama mtu aitwe na Bwana, ndiyo kidooogo mambo yanaweza kujipa
 
chadema mnatabia ya kudharau ma professor na wasomi.yani unamwita msomi mbwa ?
professor safari na professor baregu mmeshindwa kuwatumia kuwaongoza mmewapuuza ndo maana chama kimekufa.

Mbwa ni lugha ya picha mtu ukiwa ccm hakuna neno zuri zaidi ya mbwa.
 
Back
Top Bottom