Prof. Patrick Lumumba: Tanzania chama cha siasa ni CCM tu hivyo vingine ni vikundi vya wanaharakati visivyo na Filosofia wala Falsafa

Hili sengerema mbona linapenda kufuatilia Tanzania???ya kwao kimya nyambafu
 
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.

Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.

Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.

Source: Medani za Siasa Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Patrick lumumba,Walter Rodney nk ni muathirika wa ujamaa sababu ni moja ya wasomi wa Zamani sawa na wale wa UD Hawa wote walisoma silabus za zamani ambazo akili zao hazikuwa huru zilifungwa kwenye itikadi za ukomunist hivo awajui chochote kuhusu modern world dunia ya Sasa tofauti na silabus za Sasa ambazo uwaweka vijana watu huru kuijua dunia.Wote waliosoma kuanzia miaka ya 80 kushuka chini walipandikiziwa sumu ya ujamaa ya kuwachukia watu waliofanikiwa yaani matajiri wakipewa elimu ya kuwachukia wazungu kwa kuwaita mabeberu.Kumchukia beberu hakuwezi mfanya mwafrika kuwa tajiri.
 
Profesa anasema,

Flosofia inajumisha kuelimika, kutumbua thamani , fikra, akili na lugha unayozungumza.

falsafa anamaanisha kwamba njia za filosofia ambazo mtu anapaswa kuzitumia katika kuhoji, kuanzisha mjadala wa kina, uwezo wa kuuliza masuali ambayo wewe mwenyewe muulizaji unaweza kuyajibu kwa utetezi wa vielelezo na uwezo wa kuwa na mfumo maalum wa kuwasilisha hoja au mada.

Sasa CCM waliweza kuwa na filosofia na falsafa kutokana na siasa za Hayati Mwalimu Nyerere na ni utashi tu wa wanasiasa walopikwa Kivukoni ndo wamejaribu kutofuata kwa makusudi aina hizi mbili za mwelekeo wa kisiasa.

Lakini tangu CHADEMA waanze siasa ulipoanzishwa mfumo wa siasa za vyama mwaka 92, bado hawajakuwa na uwezo wa niliyoyaeleza hapo juu.

Na hii ni kwa vyama vingine vyote vya siasa ambayo kwa sasa vinaisaidia CCM kujiimarisha zaidi na wao kuporomoka badala ya kuwa wapinzani wa kweli kutokana na kukosa misingi ya filosofia na falsafa.

Ni prpfesa wa siasa hivyo tukubali uchambuzi wake au tuupinge kwa hoja.

Ila kabla hujajibu hoja hizo, watakiwa kujipanga kwanza.
ccm kinaishi katika falsafa ipi ?
 
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.

Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.

Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.

Source: Medani za Siasa Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Kazungumza Kama kada wa ccm ajazungumza Kama mchambuzi wa siasa mizania.
 
Lakin ameongea points
Aandae mdaharo na vijana hata Nondo tu anamtoa out na uprofesele wake.Anashindwa kujua waliohama Kanu ndo wakaenda Narc,Suala la kuhamahama ni itikadi ya mtu binafsi kufata maslai Bora.Labda amesahau kuhusu upepo wa lowasa uliowahamisha Wana ccm kwenda upinzani
 
ccm kinaishi katika falsafa ipi ?
Ya kutegemea dola.
Huwezi ukaijiita chama cha siasa Hali falsafa yako ni kubebwa na dola yaani huna mtaji wa hoja ni lzm ubebwe ili ubaki hai.Hicho sio chama cha siasa,siasa ni nguvu ya ushawishi.ccm ilishakataliwa na wananchi inaishi kwa nguvu ya dola na si hoja
 
Professor kashindwa kutambua ccm siyo chama cha siasa tena bali ni genge la majambazi wa madaraka.

Kibaya zaidi kashindwa kujua ni upotofu kulinganisha vyama vya siasa vya tanzania na kenya, kenya haina vyama vya siasa bali ina magenge ya walanguzi wa madaraka tu

Japokuwa vyama vyetu vya upinzani kinachangamoto zake lakini siyo changamoto za kukosa filosofia na falsafa bali ni namna gani ya kujenga hiyo falsafa kwa wanachama wake.

Professor ameshindwa kutambua uchanga wa vyama vyetu na misingi vilivyojengwa kama mass movement ya kuondoa vyama tawala.

Hivi Professor hakuliona hili ?
 
Johnthepstist

Ni ipi tofauti ya filosofia na falsafa.
Kuhusu Chadema sio chama kichanga kwa namna anavyoongelea. Ni chama kikubwa sana kipo tayari kuchukua madaraka. Viongozi wengi wanowania nafasi za uongozi sio wanataka madaraka bali ni watu wanasukumwa na uchu wa kuwatumikia wananchi/wanachama. Hili lipo wazi kabisa.
Sikatai na siamini kirahisi.
1. Fukiria kitendo cha Lowasa kuenguliwa kwao na kuchukuliwa cdm je huo kinaonyesha kile walisema hawakuwa wakweli?

2. Fikiria sasa kitendo cha kutamani tena BCM kachero mbobezi na kumsema mazuri ili hali amekuwa ccm na tena mginbea urais . Je BCM hakuona kuwa wamesimama ktk chama chenye sera na usimamizi mbovu?

3. Fikiria kitendo cha kuwa na wabunge na madiwani ambao aidha wananunuliwa au wasaliti, au wasaka tonge je haitoshi kuonyesha kuna lundo la watu wasio makini ndani ya chama na wamekymbatiwa na ndio wapanga sera?

Naamini bado hakuna chama kilichojipanga ila wanaharakati wasio makini au wako kwa masilahi
 
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.

Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.

Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.

Source: Medani za Siasa Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Ili kuthibitisha maelezo yake waweke tume huru
 
Muulizen

Kwanin Kenya walishampuuza, ni kwa sababu walishamuona mpumbavu ukizingatia Kenya wanajitambua kuliko mapoyoyo yaliyopo Tanzania yaliyokalia kusifu ujinga ikiwemo huu uliouleta hapa kama unabishi muulize akwambie kuhusu kupuuzwa kwake Kenya.
 
amani,utulivu uhuruna wa kujieleza ulionaosasa mpaka umepata nafasi ya kukaahapo ulipo unaandika kwa utulivu na amani ni kwa sababu ya serikali ya ccm.
Staki kuamini kama upo chini ya miaka 35 hizi mambo anatakiwa aongee mtu wa miaka 60 maana mtu anapozeeka akili inarudi utotoni
 
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.

Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.

Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.

Source: Medani za Siasa Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Kati ya viumbe wawaili waliokuwa wanapendwa na Mwalimu Nyerere hapa duniani, wa kwanza ni kiumbe anaitwa TANZANIA, halafu wa pili ni huyu Profesa. Nilishuhudia hili mwaka 1997 kwenye mkutano wa REFLECTION OF LEADERSHIP IN AFRICA, uliofanyika UDSM. Mwalimu alikuwepo FULL TIME kwenye mkutano huo, na Profesa Lumumba naye alikuwepo, ila kipindi hicho alikuwa bado hajawa Perofesa. Huyu mtu alikuwa napendwa na Nyerere hakuna mfano!
 
Kati ya viumbe wawaili waliokuwa wanapendwa na Mwalimu Nyerere hapa duniani, wa kwanza ni kiumbe anaitwa TANZANIA, halafu wa pili ni huyu Profesa. Nilishuhudia hili mwaka 1997 kwenye mkutano wa REFLECTION OF LEADERSHIP IN TANZANIA, uliofanyika UDSM. Mwalimu alikuwepo FULL TIME kwenye mkutano huo, na Profesa Lumumba naye alikuwepo, ila kipindi hicho alikuwa bado hajawa Perofesa. Huyu mtu alikuwa napendwa na Nyerere hakuna mfano!
Hata mimi professor Lumumba nealewa sana maandiko yake lakini kuna mambo ambayo sikubaliani naye pia.
 
Hivi filosofia na falsafa ni maneno tofauti eeh au ni mimi tu ndo sijaelewa ?
 
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.

Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.

Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.

Source: Medani za Siasa Star tv

Maendeleo hayana vyama!

Sie wengine tukisema, mnatuona tuna chuki binafsi na CHADEMA au CUF etc afadhali outsider mmoja amesemea kwa uwazi jinsi siasa zao zilivyo hawa Wapinzani wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom