Professor kashindwa kutambua ccm siyo chama cha siasa tena bali ni genge la majambazi wa madaraka.
Kibaya zaidi kashindwa kujua ni upotofu kulinganisha vyama vya siasa vya tanzania na kenya, kenya haina vyama vya siasa bali ina magenge ya walanguzi wa madaraka tu
Japokuwa vyama vyetu vya upinzani kinachangamoto zake lakini siyo changamoto za kukosa filosofia na falsafa bali ni namna gani ya kujenga hiyo falsafa kwa wanachama wake.
Professor ameshindwa kutambua uchanga wa vyama vyetu na misingi vilivyojengwa kama mass movement ya kuondoa vyama tawala.
Hivi Professor hakuliona hili ?