Prof. Patrick Lumumba: Tanzania chama cha siasa ni CCM tu hivyo vingine ni vikundi vya wanaharakati visivyo na Filosofia wala Falsafa

Prof. Patrick Lumumba: Tanzania chama cha siasa ni CCM tu hivyo vingine ni vikundi vya wanaharakati visivyo na Filosofia wala Falsafa

Professor kashindwa kutambua ccm siyo chama cha siasa tena bali ni genge la majambazi wa madaraka.

Kibaya zaidi kashindwa kujua ni upotofu kulinganisha vyama vya siasa vya tanzania na kenya, kenya haina vyama vya siasa bali ina magenge ya walanguzi wa madaraka tu

Japokuwa vyama vyetu vya upinzani kinachangamoto zake lakini siyo changamoto za kukosa filosofia na falsafa bali ni namna gani ya kujenga hiyo falsafa kwa wanachama wake.

Professor ameshindwa kutambua uchanga wa vyama vyetu na misingi vilivyojengwa kama mass movement ya kuondoa vyama tawala.

Hivi Professor hakuliona hili ?
Aliweka ukada mbele na sio mizania wakati wa uchambuzi
 
Hapa kamchongea msajiri wa vyama vya siasa.kwa hali hiyo anatakiwa avifute kibaki kimoja tu CCM
 
Huyo mbwa akawashauri wakenya wenzake mambo yetu atuachie wenyewe
 
Back
Top Bottom