Prof. PLO Lumumba ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga nondo za kufamtu kuhusu African Dev. Agenda

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda.

Andamana nami nikudondolee, baadhi ya hizi nondo.


Karibu.

Paskali.
 
Prof. Lumumba, ameanza kwa kibwagizo cha "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Baada ya hapo amekuwa akihudumia kwa lugha ya Kizungu, nimeambulia kusikia neno "The Great Mwalimu Nyerere.

Huyu jamaa anaonekana amezisoma sana speeches za Mwalimu Nyerere, kila akiongea maneno mawili matatu, atamtaja Mwalimu Nyerere.
P
 
Mpenyezee kamemo mwambie agusie
Mpenyezee kamemo mwambie pale kwenye mengineyo basi agusie pie "the reintroduction of monoparty system in Tanzania"
 
Habari ya mujini kwa sasa ni chama cha ukweli cha upinzani Tanzania [emoji1241] kuususia uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Inasikitisha kuwa bado kuna watanzania wachahe hawajaelewa falsafa ya "Magufulification of Africa" wakati Africa na dunia ime embrace hiyo philosophy...karibu Prof kufumbua macho baadhi ya vipofu!
Kipofu ni wewe na ukoo wenu wote wa mapanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…