Prof. PLO Lumumba ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga nondo za kufamtu kuhusu African Dev. Agenda

Kumbe mtu akizungumza kizungu anakuwa yupo vizuri hadi ana wa inspire watu wanao msikiliza? [emoji23]
Prof. Lumumba, ameanza kwa kibwagizo cha "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Baada ya hapo amekuwa akihudumia kwa lugha ya Kizungu, nimeambulia kusikia neno "The Great Mwalimu Nyerere.

Huyu jamaa anaonekana amezisoma sana speeches za Mwalimu Nyerere, kila akiongea maneno mawili matatu, atamtaja Mwalimu Nyerere.
P
 
Yeah ni rahisi tu akiwa zimbabwe atamtaja Mugabe ni kusoma mazingira!
 
Mwambie huyo profesa hatuji kumsikiliza kwani kadi yake ya kutualika ameandika jina moja tu aandike majina yake yote matatu kama kwenye kitambulisho cha nida na cheo chake aandike kwa kirefu sio pro sisi tutafifikiri ni propagandist
 
Nilifulahi kule Zambia walivyo mtimua Airport ni mnafiki mkubwa sana
Prof. Lumumba, ameanza kwa kibwagizo cha "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Baada ya hapo amekuwa akihudumia kwa lugha ya Kizungu, nimeambulia kusikia neno "The Great Mwalimu Nyerere.

Huyu jamaa anaonekana amezisoma sana speeches za Mwalimu Nyerere, kila akiongea maneno mawili matatu, atamtaja Mwalimu Nyerere.
P
 
Prof. Lumumba, ameanza kwa kibwagizo cha "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Baada ya hapo amekuwa akihudumia kwa lugha ya Kizungu, nimeambulia kusikia neno "The Great Mwalimu Nyerere.

Huyu jamaa anaonekana amezisoma sana speeches za Mwalimu Nyerere, kila akiongea maneno mawili matatu, atamtaja Mwalimu Nyerere.
P
Babu usiniambie lugha ya malkia bado inakusumbua 😀😀, Nilibahatika kupitia hiki kitabu cha Africa's liberation the legacy of Nyerere wakina Prof. Issa G. Shivji wameelezea harakati za Mwalimu katika ukombozi wa Nchi za afrika pia maono yake, Hakika Hayati Mwl. J.K. Nyerere alikuwa zaidi ya binadamu.

Waweza kipakua hapa babu Pascal Mayalla ukapitisha macho kidogo Mkuu
 
Attachments

Inasikitisha kuwa bado kuna watanzania wachahe hawajaelewa falsafa ya "Magufulification of Africa" wakati Africa na dunia ime embrace hiyo philosophy...karibu Prof kufumbua macho baadhi ya vipofu!
Magufuli anavunja katiba left right and center.

Anasema atapiga mpaka shangazi za wapinzani.

Hana hata heshima ya mwanamme wa kawaida tu anayejiheshimu, sembuse rais.

Kaangusha mapato ya nje ya mazao ya kilimo Tanzania, kwa mwaka uliopita kuishia Agosti, kwa asilimia 55, ripoti ya BOT ya September imeonesha. Sehemu kubwa ya anguko hili ni kwa sababu kuangilia biashara ya korosho. Zao la kwanza la biashara Tanzania.

Kaingilia ATCL mpaka CAG kakatazwa kukagua na kaondolewa.

Kauzia ndugu yake na hawara wake nyumba za serikali kinyume na mchakato.

Hajali katiba, sheria wala staha za kawaida tu.

Hii ndiyo Magufulification unayoisema?
 
Babu usiniambie lugha ya malkia bado inakusumbua 😀😀, Nilibahatika kupitia hiki kitabu cha Africa's liberation the legacy of Nyerere wakina Prof. Issa G. Shivji wameelezea harakati za Mwalimu katika ukombozi wa Nchi za afrika pia maono yake, Hakika Hayati Mwl. J.K. Nyerere alikuwa zaidi ya binadamu.

Waweza kipakua hapa babu Pascal Mayalla ukapitisha macho kidogo Mkuu
Asante ila pia nilitaka kukasirika uliponiita Babu, kwasababu hatupendi kuzeeka, ila nilipokumbuka, my 1st born has a kid, my 2nd born has a kid and my 3rd born ni mama kijacho ndipo nika realize I'am indeed a Babu.
Ukubwa dawa, uzee Busara.
P
 
Back
Top Bottom