Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ulikuwa hujui?Mmawia burudani kwelikweli [emoji23][emoji23]
Mbona wahaya wengi wananijua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa hujui?Mmawia burudani kwelikweli [emoji23][emoji23]
Mayalla naangalia kwa Tv tuzo za Azaki Ukiwa Dom,Naona kulinoga sana hukoProf. Lumumba, ameanza kwa kibwagizo cha "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Baada ya hapo amekuwa akihudumia kwa lugha ya Kizungu, nimeambulia kusikia neno "The Great Mwalimu Nyerere.
Huyu jamaa anaonekana amezisoma sana speeches za Mwalimu Nyerere, kila akiongea maneno mawili matatu, atamtaja Mwalimu Nyerere.
P
Mayalla mie na wewe mara ya mwisho tumekutana Railway Gerezani pale wakati Father Kidevu Abdul Salvador anapiga Buzi pale .Ulikuwa matata sana. Ilikuwa 1998 na 1999Asante ila pia nilitaka kukasirika uliponiita Babu, kwasababu hatupendi kuzeeka, ila nilipokumbuka, my 1st born has a kid, my 2nd born has a kid and my 3rd born ni mama kijacho ndipo nika realize I'am indeed a Babu.
Ukubwa dawa, uzee Busara.
P
Duh!. Asante kukumbushia 20 years ago!. Sijui siku hizi Father Kidevu yuko wapi?. Old guards ninao wasikia ni Zahir Ally na King Kikii.Mayalla mie na wewe mara ya mwisho tumekutana Railway Gerezani pale wakati Father Kidevu Abdul Salvador anapiga Buzi pale .Ulikuwa matata sana. Ilikuwa 1998 na 1999
Kwani na wewe uligusa elimu ya korosho?
Ana mshinda proof. MajalalniMoja ya Maprofesa bora kuwai kutokea Africa.
Kwamaana hiyo kabla ya wazungu babu zako na Bibi zako walikuwa viwete? Jiweke huru achana na fikra zakitumwa!What's the alternative? Lazima tufanye mambo kama wazungu! Kwani ni kitu kibaya kujifunza kwa walio bora zaidi yetu? Tuache kauli na hasi! Tujifunze kwa wazungu mpaka kieleweke! Bila wazungu huenda Mimi na wewe tungekuwa viwete na karaha teleee!
Kwamaana hiyo kabla ya wazungu babu zako na Bibi zako walikuwa viwete? Jiweke huru achana na fikra zakitumwa!
Unaushahidi kuwa walitembea uchi? Au Aina ya mavazi yao ndio unaita kutembea uchi? Jiweke huru achana na fikra zakitumwa!Babu na Bibi ungewaacha tu pembeni kwa sababu walikutwa bado wanatembea uchi na mwisho wa siku walitawaliwa na hao hao wazungu? [emoji848]