Prof. PLO Lumumba ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga nondo za kufamtu kuhusu African Dev. Agenda

he is already obsoleted
 
Ina maana umeenda kwenye hilo tukio ukiwa hujui key speakers ni akina nani? Kwa ueledi wako unaniangusha mkuu wangu.

PLO kuwepo wala siyo breaking news kwani toka mwanzo ilijulikana atakuwepo.

View attachment 1256854


Unforgetable

Umekalili vibaya mkuu Mayalla kasema yuko ukumbi wa pspf wewe unaleta kakipeperush ka chuoni kwenu hizo ni event mbili tofauti kwa simple observation tu nadhan umesoma title tu ya uzi ukakimbilia kukoment
 


Mzee wa Philosophy of Law.
 
Sure,he is still in the same view

Well, I have not heard him talk about Magulification of Africa lately and thought may be he has changed his mind. Sources privy to the civil society meeting in Dodoma suggest that this time round Nyerere appears to be his role model. Methinks Prof. Lumumba made a serious academic mistake by not allowing himself enough time to study the new leadership in this country before glorifying it.
 
Methinks Prof. Lumumba made a serious academic mistake by not allowing himself enough time to study the new leadership in this country before glorifying it.

This is acedemical unacceptable and disobedience.
Why trying to put words on Professor Lumumba!
 
Mkuu, tunakuomba useme chochote kuhuse uchaguzi wa serikali za mitaa. Tunaona umekuwa kimya sana kwenye jambo muhimu kama hili!
 
What's the alternative? Lazima tufanye mambo kama wazungu! Kwani ni kitu kibaya kujifunza kwa walio bora zaidi yetu? Tuache kauli na hasi! Tujifunze kwa wazungu mpaka kieleweke! Bila wazungu huenda Mimi na wewe tungekuwa viwete na karaha teleee!
Tumeleweshwa na kasumba ya ukoloni mambo leo, kila Waafrika tukifanya jambo zuri, hatujiamini tunaona sifa kufanya mambo kama wazungu.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…