Prof. PLO Lumumba ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga nondo za kufamtu kuhusu African Dev. Agenda

Mayalla naangalia kwa Tv tuzo za Azaki Ukiwa Dom,Naona kulinoga sana huko
 
Asante ila pia nilitaka kukasirika uliponiita Babu, kwasababu hatupendi kuzeeka, ila nilipokumbuka, my 1st born has a kid, my 2nd born has a kid and my 3rd born ni mama kijacho ndipo nika realize I'am indeed a Babu.
Ukubwa dawa, uzee Busara.
P
Mayalla mie na wewe mara ya mwisho tumekutana Railway Gerezani pale wakati Father Kidevu Abdul Salvador anapiga Buzi pale .Ulikuwa matata sana. Ilikuwa 1998 na 1999
 
Mayalla mie na wewe mara ya mwisho tumekutana Railway Gerezani pale wakati Father Kidevu Abdul Salvador anapiga Buzi pale .Ulikuwa matata sana. Ilikuwa 1998 na 1999
Duh!. Asante kukumbushia 20 years ago!. Sijui siku hizi Father Kidevu yuko wapi?. Old guards ninao wasikia ni Zahir Ally na King Kikii.
Nice to hear from you Mkuu Alex Fredrick
Thanks
P
 
Hapana mkuu nina elimu ya hapa na pale ya Brunel University sema shida kumwelewa Prof Lumumba inabidi uwe na elimu ya Ivy League Universities
Kwani na wewe uligusa elimu ya korosho?
 
What's the alternative? Lazima tufanye mambo kama wazungu! Kwani ni kitu kibaya kujifunza kwa walio bora zaidi yetu? Tuache kauli na hasi! Tujifunze kwa wazungu mpaka kieleweke! Bila wazungu huenda Mimi na wewe tungekuwa viwete na karaha teleee!
Kwamaana hiyo kabla ya wazungu babu zako na Bibi zako walikuwa viwete? Jiweke huru achana na fikra zakitumwa!
 
Kwamaana hiyo kabla ya wazungu babu zako na Bibi zako walikuwa viwete? Jiweke huru achana na fikra zakitumwa!

Babu na Bibi ungewaacha tu pembeni kwa sababu walikutwa bado wanatembea uchi na mwisho wa siku walitawaliwa na hao hao wazungu? [emoji848]
 
Babu na Bibi ungewaacha tu pembeni kwa sababu walikutwa bado wanatembea uchi na mwisho wa siku walitawaliwa na hao hao wazungu? [emoji848]
Unaushahidi kuwa walitembea uchi? Au Aina ya mavazi yao ndio unaita kutembea uchi? Jiweke huru achana na fikra zakitumwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…