Uchaguzi 2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

Uchaguzi 2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

Tendwa: CCM hii inaweza kuanguka​

Sunday April 3 2016​

Tangu mwaka 1995 vyama vya upinzani vimekuwa vikisimamisha wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu bila ya mafanikio, lakini John Tendwa anawataka wasikate tamaa kwa kuwa CCM inaweza kuanguka.

ccm..jpg
Aliyekuwa Msajili wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa akizungumza na waandishishi wa gazeti hili, jijini, Dar es Salaam hivi karibuni. Picha na Said Khamis
BY Fidelis Butahe, Mwananchi gazeti

IN SUMMARY​

Tangu mwaka 1995 vyama vya upinzani vimekuwa vikisimamisha wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu bila ya mafanikio, lakini John Tendwa anawataka wasikate tamaa kwa kuwa CCM inaweza kuanguka.
Advertisement

Dar es Salaam. Tangu mwaka 1995 vyama vya upinzani vimekuwa vikisimamisha wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu bila ya mafanikio, lakini John Tendwa anawataka wasikate tamaa kwa kuwa CCM inaweza kuanguka.

Tendwa, ambaye alikuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, amesema demokrasia nchini inakuwa kwa kasi na hivyo kuna siku upinzani unaweza kushinda lakini itategemea na mahitaji ya wakati huo sambamba na kuibuka na hoja ambazo CCM watakuwa wameshindwa kuzitekeleza.

Mwanasheria huyo, ambaye alistaafu Agosti mwaka 2013, alitoa kauli hiyo katika mahojiano maalumu na waandishi wa gazeti hili ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

“Niwambieni ukweli kama CCM isingekuwa na mgombea mzuri anayeweza kujieleza na wasingekuwa na ilani nzuri ambayo wameweza kuiuza, huwezi kujua pengine Ukawa ingeweza kuchukua madaraka,” alisema Tendwa ambaye alishikilia nafasi ya Msajili wa Vyama kwa miaka 13.

Katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 mwaka jana, CCM ilimsimamisha Dk John Magufuli kugombea urais akipambana vikali na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa wa Chadema ambaye aliungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa.

Katika uchaguzi huo uliokuwa na msisimko mkubwa, Dk Magufuli alishinda kwa kupata kura milioni 8.8 (asilimia 58.47), akifuatiwa na Lowassa aliyepata kura milioni 6.07 (asilimia 39.97), zikiwa ni zaidi ya mara mbili ya kura ambazo wapinzani wamewahi kupata tangu uchaguzi wa vyama vingi urejeshwe mwaka 1995.

“Kama unataka kuzingatia demokrasia hakuna nchi duniani ambayo unakuta chama kinaongoza milele. Mfano Marekani kuna vyama vya siasa zaidi ya 53 ila vikubwa ni Democratic na Republican ambavyo licha ya kuungwa mkono na vyama vidogo, pia vyama hivyo vinapokezana kuongoza nchi,” alisema Tendwa.

“Kwa nini Dar es Salaam wabunge wengi wa CCM wameshindwa? Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa miaka 23 iliyopita, Jiji limekwenda upinzani na hivi karibuni Naibu Meya atachaguliwa na huenda akawa wa upinzani kwa sababu wana wapigakura wengi labda kuwe na ushirikiano.”

“Kama huo ndiyo mwanzo, nini kitafuata baadaye?” alihoji na kusisitiza kuwa ushindi huo wa upinzani katika jiji hilo ni somo tosha.

Tendwa alisema hayo wakati Rais Magufuli anaonekana kutekeleza mambo mengi ambayo wapinzani walikuwa wakipigia kelele kwenye serikali zilizopita, kama kuboresha bandari, kubana matumizi kwa punguza safari za nje za viongozi na kupambana na rushwa na uzembe kazini.

Hata hivyo, mbinu zake za kutekeleza hayo zimekuwa zikikosolewa, hasa utumbuaji majipu ambao wapinzani wamekuwa wakieleza kuwa haufuati taratibu, kubana matumizi kwa kufuta safari za nje na kupunguza mishahara ya vigogo wa taasisi kubwa za Serikali.

Pia, uamuzi wa hivi karibuni wa Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) kuinyima Tanzania mkataba wa miradi ya maendeleo kutokana na kuamini kuwa uchaguzi wa Zanzibar haukuwa shirikishi, umechukuliwa na wapinzani kama Serikali kushindwa kusimamia demokrasia.

Tendwa hakuacha kugusia sakata la uchaguzi wa meya wa Dar es Salaam ulioahirishwa mara tatu kabla ya Rais Magufuli kuingilia kati, akitaka CCM na Ukawa kutoendelea kuyumbisha na kushauri kila upande kuwa tayari kukubali matokeo.

“Ilikuwa vizuri rais kuingilia maana hii ni nchi yetu na hili ni jiji letu. Kama upinzani wamepita waache, wapite na tukubali kuwa hiyo ndiyo demokrasia. Kama CCM imeshindwa, mkubali,” alisema huku akibainisha kuwa CCM ndiyo chama chake.

Alisema baada ya Meya wa Jiji, Isaya Mwita kupatikana ni wazi kuwa Dar imepata meno na kuvitaka vyama vya siasa kuachana na dhana kuwa Serikali iliyopo madarakani ni ya CCM.

“Kila chama kina wajibu wa kushirikiana na wananchi katika kusukuma maendeleo na wasibweteke kwamba CCM wapo peke yao kwa kuwa upinzani kuna viongozi pia,” alisema Tendwa.

“Kwa sasa Jiji lipo upinzani hivyo wafanye kazi maana hii ndiyo serikali yao ya kwanza na waonyeshe umahili ili wakienda katika uchaguzi wawe na sera ya kusema.”

Alipoulizwa kuhusu viongozi kuhama vyama kama ilivyokuwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2015, Tendwa alisema: “Kuhama chama ni afya katika demokrasia. Nchi ya Marekani haina wanachama waanzilishi wa vyama na ndiyo nchi inayosifika kwa demokrasia duniani.”

Alisema watu wanabadilika kutokana na mambo wanayooona kuwa na manufaa kwao kwa wakati husika huku akitoa mfano wa vyama vikubwa viwili vya nchi hiyo.

Alikitoa mfano wa mbunge wa Bunda, Ester Bulaya aliyeihama CCM na kujiunga na Chadema, Tendwa alisema wanasiasa waliohama wameongeza ushindani wa kisiasa.

“Ni wakati wake (Bulaya) wa kufanya yale aliyokuwa akiyakosoa yaonekane kwamba ni sahihi na kweli wapigakura waseme kuwa ameyatekeleza,” alisema.
 
John Tendwa msajili wa vyama vya siasa Tanzania atoa maoni kuhusu kampeni za 2020

Source : wakili tv
 

Magufuli's grandiose projects become pet subject for criticism by opposition​

Tanzania's election campaigns are heading into the home stretch with candidates disagreeing on what infrastructure projects should matter most for the ordinary folk.

While President John Pombe Magufuli has been fighting back critics of his mega infrastructure projects, calling them "imperialists," his opponents say most of them are misplaced.

Opposition Chadema's Tundu Lissu told an audience on Tuesday that he would focus on socio-economic challenges facing ordinary citizens, rather than concentrating on projects he argued were detached from needy people.

"Flyovers, no matter how good; they do not have any impact on the 99 per cent of Tanzanians living in mainland regions and have infrastructure challenges," he said. Tanzania recently erected the Tanzania-Zambia railway flyover, funded by the government of Japan. It cost about $45 million.


Constructed at the junction of the busy Mandela Expressway and Julius Nyerere Road in the commercial capital of Dar, the facility was seen as a solution to motorists who endured hours stuck in traffic.

"These funds could have been used to implement national developmental projects, instead of benefiting a small portion of Tanzanians," Lissu said in a speech broadcast online.

He spoke at a campaign rally in Mbogwe District in Geita region on his way to Chato, the hometown of President John Magufuli. When he came to power in 2015, the President oversaw the construction of a new airport in Chato.

At a cost of TSh39 billion (KSh1.82 billion), government officials argued that it would open up local tourism, bringing new business opportunities to the local communities.

But Lissu says there is no impact yet from the facility completed in 2018 and which is run by the Tanzania Airports Authority.

"Who uses it? How is it helpful for a farmer living in Mbogwe and who faces the daily hassle of undeveloped roads?"

Questioning benefits​

It is not the first time Lissu has questioned the benefits of infrastructure projects put up by the current regime. Last month, the ruling CCM, however, rebutted his arguments, saying the opposition candidate was running on faulty information.

"When you have an international airport anywhere, you also need to have a strategic aerodrome. Now, Mwanza is an international airport and Chato is the alternative," argued Humphrey Polepole, CCM's Ideology and Publicity Secretary.

Magufuli, who holds a PhD in Chemistry and is nicknamed the ''bulldozer,'' has argued in the past that he wants to put up projects that benefit Tanzanians without burdening them with debt.

His government has renovated roads and started building a gas plant in Lindi, in Southern Tanzania's coast, an upgrade of the Dar Port to accommodate larger vessels and recently entered a deal to put up an oil pipeline with Uganda.
Source : Magufuli's grandiose projects become pet subject for criticism by opposition
forum.wordreference.com › threads
pet subject | WordReference Forums

16 May 2008 · 2 posts · 2 authors
Does the expression "pet subject" mean one's favourite subject? Thank you
 
08 October 2020
Tanzania general election 2020
An Interview with Humphrey Polepole, Ideology and publicity Secretary of Chama cha Mapinduzi (CCM) on achievements made in the past 5 years of John Magufuli leadership. Weighting development to the grandiose mega projects as opposed to what the opposition would argue for People centred projects ..

 

12 October 2020

Tanzania election: Government accused of political repression


12 Oct 2020
Al Jazeera spoke with the main opposition candidate Tundu Lissu of CHADEMA Party about his fears for the vote.
Human rights organisations and political opponents have accused the Tanzanian government of political oppression ahead of this month's general election. President John Pombe Magufuli has been accused of presiding over a government that is intolerant of dissent and has curtailed rights of expression and the media.
 
13 October 2020

Tanzania Election Watch​

Tanzania Election Watch: Conversation with Roland Ebole on human rights ahead 28th October Polls

 



CCM baba lao, ushindi ndio unakaribia watake wasitake .... .... Ding ... Dong.
 
Tupo macho hakuna kuwasubiri watapigwa juu kwa juu bila kutambua kwamba hii ni Tanzania mpya.
 



CCM baba lao, ushindi ndio unakaribia watake wasitake .... .... Ding ... Dong.


Kwa hivyo nyimbo za Kapteni John Komba kuwa wapinzani mtaisoma namba, 2020 haisomeki!
 

October 2020​

Tanzanians Will Throw Magufuli Out If He Refuses To Concede Defeat: Tundu Lissu

 

October 2020​

Tanzanians Will Throw Magufuli Out If He Refuses To Concede Defeat: Tundu Lissu


Day dreamer, khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ndio u-bogus wenyewe huo.
 
17 October 2020
Makao Makuu Dodoma
Tanzania

Mapokezi ya Tundu Lissu 17/10/2020 TunduLissu2020
Ripoti yawekwa hadharani baada ya miezi miwili ya kampeni za CHADEMA nchi nzima , na habari nzuri ni kuwa nchi ipo tayari kwa mabadiliko ya kumuondoa John Pombe Joseph Mafuguli na chama chake cha CCM 'Mpya' hapo 28 October 2020
 
17 October 2020
Makao Makuu Dodoma
Tanzania

Mapokezi ya Tundu Lissu 17/10/2020 TunduLissu2020


Wengine hawapati ma-supporter aibu! Kaa nayo hii mfukoni JPM anamalizia kampeni zake Idodomia uje ulinganishe.
 
UCHAGUZI MKUU 2020:
SERA ZA MAENDELEO YA WATU DHIDI YA MAENDELEO YA VITU ZANGARA 2020



Prof. Samwel Wangwe, Prof. Bernadeta Killian wazungumzia kauli ya Mwalimu Nyerere kusisitiza maendeleo ya watu .."kama mfano barabara au kiwanja cha ndege hakitumiki kwa Maendeleo ya Watu basi hayo ni Maendeleo ya Vitu".. mwisho wa kumnukuu Julius Kambarage Nyerere.

Na kama barabara au kiwanja cha ndege kinatumika kwa Maendeleo ya Watu basi barabara hiyo au kiwanja hicho ni kwa ajili ya Maendeleo ya Watu

Maana yake Vitu hivyo viwili vifunganishwe pamoja siyo kuwa na Maendeleo ya Vitu kwa kuviona kwa macho uzuri wake (fahari ya macho) bila kusaidia Maendeleo ya Watu ...

Maprofesa hao wakiTanzania wanasema kuwa ....uchumi wa kati ulioletwa na Maendeleo wa Vitu walengwa wake ni kina nani? Je Kuna juhudi za kuwalenga wale wengi wasiofaidika na kinachoitwa uchumi wa kati na wao wafaidi

Maendeleo jumuishi katika Maendeleo ya Vitu wananchi wanaona wanapelekewa vitu wasivyohitaji ....
 
21 October 2020

MCHAMBUZI WA SIASA NA UCHUMI JAWADU MOHAMED Afafanua Dakika za Mwisho kampeni za Tundu Lissu na John Magufuli


 
22 October 2020
Zanzibar, Tanzania

Umati wa Maelfu ya Watu Zanzibar wakitoka kampeni za ACT-Wazalendo 2020

Wananchi wakitoka mkutano wa jimbo la Mwera uliofanyika Zanzibar viwanja Garagara


Maelfu ya watu wakirejea toka viwanja vya kampeni wakiwa wamebeba bendera za ACT-Wazalendo, CHADEMA , mabango yenye jumbe ULIPO TUPO, NI YEYE na bendera za taifa la Zanzibar.
Source : Swahili Villa
 
22 October 2020

WATAZAMAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA UCHAGUZI NA MWONGOZO WA WATAZAMAJI



Source : NEC ONLINE TV - Tanzania
 
Back
Top Bottom