Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni mawazo ya waliorukwa na akili tuCCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
24 October 2020
Songea mjini, Ruvuma
Tanzania
KIMBUNGA CHA TUNDU LISSU LEO SONGEA ( CHADEMA2020 ) ,MJI WASIMAMA KWA MAPOKEZI YA KISHINDO ,UMATI MKUBWA WAJITOKEZA
Agano la Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu yapokewa vizuri na wanaLizombe wa Songea, Ruvuma
Eeee bhana eeee !!
Wamechelewa mno !Ndo maana baada ya kuweka limit vyombo vya media sasa serikali ya CCM Mpya ina weak kiwango cha data tunaweza kutupia ktk simu zetu ili vitu hivi kama vya Songea mjini leo 24/10/2020 vya kampeni ya kimbunga cha CHADEMA TunduLissu2020 NIYEYE visiweze kusambazwa.
kamanda Erythrocyte, makada wa chama kijani kongwe kilichojificha kwa jina la CCM Mpya wamejawa Woga tu uliopitiliza hawa .
Wenzetu wa mtaa wa Lumumba Ofisi za Buku7 chini ya Dr. Bashiru Ally Kakurwa na Humphrey Polepole ili waepuke hasira za mgombea wao asikumbane kwa macho yake kuona umati huu wameamua kubinya uhuru wa kupashana habari.
Furaha haipimwi kwa utajiri tu, hata kuijua kesho inaweza kukupa furaha. Kwenda kusikiliza au kucheza muziki pia inaweza kukupa furaha. Kwenda mikutano ya upinzani wanapoonyesha kujali maendeleo ya watu pia inaweza kukupa furaha na tumeona kampeni za MaalimSeif2020 , TunduLissu2020, mikutano ya wabunge na madiwani wa CHADEMA na ACT-Wazalendo watu wanajiachia kwa furaha mkutanoni na hata warejeapo maskani zao n.kMaprofesa bwana watu milioni 60 huwezi ukawafanya wote wakawa na furaha
Hata huko marekani na uingereza sio watu wote wanafuraha
Maskini sana wapo ,ombaomba wapo,vibaka wapo ,machangudoa wapo, maana wanatafuta kipato cha kujikimu angala mlo mmoja kwa siku
Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?
Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.
- John Pombe Magufuli 30 %
- Tundu Lissu 67 %
- Bernard Membe 2 %
Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?
- Hussein Mwinyi, Zanzibar 38 %
- Maalim Seif H. Shariff, Zanzibar 62%
Bado siku chache tu wananchi waamueProf. Rwekaza S. Mukandala amehitimisha kuwa hajui hatima ya Magufuli na CCM Mpya itakuwaje 2020 wananchi wakiamua.