Uchaguzi 2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

Uchaguzi 2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

..kwanini IGP Sirro hasisitiza Nec na Wasimamizi watende HAKI na kufuata SHERIA?

..kwanini hawaonyi watumishi wa tume na wasimamizi wasijiingize ktk UHALIFU?
 
22 October 2020
Mbeya, Tanzania

MWANACCM MBEYA AIKUBALI CHADEMA NI MOTO 2020, WAPEWE NCHI



Mwanzoni wao kama CCM miaka ya nyuma walikuwa hawaamini kuwa upinzani unaweza kuongoza lakini baada ya kuwatazama wameona umefika muda CHADEMA ipewe nchi.

MwanaCCM huyo aliyefuatilia utendaji wa upinzani toka mwaka 1995 anasema waliamua kuwaachia serikali za mitaa na Vijiji waone kama wanaweza, CHADEMA ikaonesha umahiri ngazi hiyo. 2000 wakawatizama ngazi ya udiwani CHADEMA wakafanya vyema. Wananchi na CCM 2010 - 2020 wakaamua kuchagua wabunge wa CHADEMA, pia upinzani ukadhihirisha wapo vizuri.

WanaCCM Mbeya wanasema mwaka huu pia nchi imekaa vizuri kwa upinzani kuchukua nchi 2020 hata nafasi za juu kabisa kwani kule Zanzibar wanaCCM wanaona Maalim Seif yupo vizuri na kwa upande wa Jamhuri ya Muungano ni kuwa Tundu Lissu ameshamaliza mchezo kwa kuonesha ubora wa CHADEMA nafasi ya urais.
 
23 Oct 2020

CCM, CHADEMA WAJIKUTA PAMOJA KIVUKONI​



Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHEDEMA) Abbas Mayala, baada ya kukutana kwenye kivuko cha MV Kome wakielekea katika shughuli zao za kampeni kisiwani humo

Source : mwananchi digital
 
24 October 2020
Songea mjini, Ruvuma
Tanzania

KIMBUNGA CHA TUNDU LISSU LEO SONGEA ( CHADEMA2020 ) ,MJI WASIMAMA KWA MAPOKEZI YA KISHINDO ,UMATI MKUBWA WAJITOKEZA



Agano la Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu yapokewa vizuri na wanaLizombe wa Songea, Ruvuma
 
24 October 2020
Songea mjini, Ruvuma
Tanzania

KIMBUNGA CHA TUNDU LISSU LEO SONGEA ( CHADEMA2020 ) ,MJI WASIMAMA KWA MAPOKEZI YA KISHINDO ,UMATI MKUBWA WAJITOKEZA



Agano la Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu yapokewa vizuri na wanaLizombe wa Songea, Ruvuma

Eeee bhana eeee !!
 
Eeee bhana eeee !!

Ndo maana baada ya kuweka limit vyombo vya media sasa serikali ya CCM Mpya ina weak kiwango cha data tunaweza kutupia ktk simu zetu ili vitu hivi kama vya Songea mjini leo 24/10/2020 vya kampeni ya kimbunga cha CHADEMA TunduLissu2020 NIYEYE visiweze kusambazwa.

kamanda Erythrocyte, makada wa chama kijani kongwe kilichojificha kwa jina la CCM Mpya wamejawa Woga tu uliopitiliza hawa .

Wenzetu wa mtaa wa Lumumba Ofisi za Buku7 chini ya Dr. Bashiru Ally Kakurwa na Humphrey Polepole ili waepuke hasira za mgombea wao asikumbane kwa macho yake kuona umati huu wameamua kubinya uhuru wa kupashana habari.
 
Maprofesa bwana watu milioni 60 huwezi ukawafanya wote wakawa na furaha
Hata huko marekani na uingereza sio watu wote wanafuraha
Maskini sana wapo ,ombaomba wapo,vibaka wapo ,machangudoa wapo, maana wanatafuta kipato cha kujikimu angala mlo mmoja kwa siku

Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
 
Ndo maana baada ya kuweka limit vyombo vya media sasa serikali ya CCM Mpya ina weak kiwango cha data tunaweza kutupia ktk simu zetu ili vitu hivi kama vya Songea mjini leo 24/10/2020 vya kampeni ya kimbunga cha CHADEMA TunduLissu2020 NIYEYE visiweze kusambazwa.

kamanda Erythrocyte, makada wa chama kijani kongwe kilichojificha kwa jina la CCM Mpya wamejawa Woga tu uliopitiliza hawa .

Wenzetu wa mtaa wa Lumumba Ofisi za Buku7 chini ya Dr. Bashiru Ally Kakurwa na Humphrey Polepole ili waepuke hasira za mgombea wao asikumbane kwa macho yake kuona umati huu wameamua kubinya uhuru wa kupashana habari.
Wamechelewa mno !
 
Maprofesa bwana watu milioni 60 huwezi ukawafanya wote wakawa na furaha
Hata huko marekani na uingereza sio watu wote wanafuraha
Maskini sana wapo ,ombaomba wapo,vibaka wapo ,machangudoa wapo, maana wanatafuta kipato cha kujikimu angala mlo mmoja kwa siku

Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
Furaha haipimwi kwa utajiri tu, hata kuijua kesho inaweza kukupa furaha. Kwenda kusikiliza au kucheza muziki pia inaweza kukupa furaha. Kwenda mikutano ya upinzani wanapoonyesha kujali maendeleo ya watu pia inaweza kukupa furaha na tumeona kampeni za MaalimSeif2020 , TunduLissu2020, mikutano ya wabunge na madiwani wa CHADEMA na ACT-Wazalendo watu wanajiachia kwa furaha mkutanoni na hata warejeapo maskani zao n.k

Mfano video hii nini kimesababisha watu hawa wa maisha ya kawaida wakajawa na furaha
 
Kwa hisani kubwa ya Roving Journalist
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo aliandika barua kujiondoa rasmi kugombea nafasi hiyo. Hata hivyo, barua yake ilil

Barua ambayo imesambaa mtandaoni imeonyesha hivyo na Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe ameithibitishia JamiiForums kuwa ni barua ya kweli na kuwa iliandikwa baada ya kuafikiana kama chama juu ya kugombea nafasi ya Urais tangu mwishoni mwezi Septemba mwaka huu.

Hata hivyo, baada ya kumtafuta Ndg. Bernard Membe, amekiri barua aliiandika kweli lakini ilikataliwa.

556485FC-01A3-48AD-8D40-7702916170B1.jpeg



Tumemtafuta Bernard Membe na amesema atatoa ufafanuzi mwenyewe kupitia akaunti yake ya Twitter.

UPDATE:

DED6BDA5-FE8A-4EEB-9130-8D00DD33894E.jpeg
 
John Shibuda ,Mwenyekiti wa Baraza la Vyama Vya Siasa aasa kuhusu ahadi za kisiasa ambazo ni uongo 2020



Ushwari wa bahari siyo maana kuwa kina cha bahari ni kifupi.
 
25 October 2020
Singida, Tanzania

Wananchi wa Vyama Vyote Mpigie Kura CHADEMA 2020 - Tundu Lissu2020



Source : ITV Tanzania
 
25 October 2020

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

source :
www.voaswahili.com

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?​

  • John Pombe Magufuli 30 %
  • Tundu Lissu 67 %
  • Bernard Membe 2 %
Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?​

  • Hussein Mwinyi, Zanzibar 38 %
  • Maalim Seif H. Shariff, Zanzibar 62%
 

25 October 2020​

Pretoria, Republic of South Africa

Tundu Lissu campaign reinvigorates Tanzania poll despite threats of assassination​


By Phillip Van Niekerk• 25 October 2020
Phillip-TanzaniaElection-1600x800.jpg

Tanzanian President John Magufuli.
Read:
As Lissu’s campaign has moved across the country, the governing party has grown increasingly panicky, as can be seen by stepped-up attempts by security forces to attack and tear-gas rallies, a week-long suspension of his campaign on specious charges of making objectionable comments and a huge uptick in troll activity on social media.
International media and Africa analysts long ago declared no contest. Africa Confidential predicted that “years of restrictions and violence against the opposition make President Magufuli a shoo-in for re-election in October”. But the Tanzanian people in their hundreds of thousands have begged to differ, showing that resistance to Magufuli and the spirit of the opposition is thriving.

The spark that ignited the opposition is the “back from the dead” campaign of Tundu Lissu, candidate of the Chama Chama Cha Demokrasia (Chadema) Party.

Read more :
 
25 October 2020
Washington DC USA

Coverage of Tanzania Wednesday’s election will be restricted

Coverage of Wednesday’s election will be restricted after the government amended laws to require international radio and television broadcasters to have licensed local partners to get the regulatory body’s permission to air content, Amnesty International has said.

“It’s quite clear if the election is free and fair, it’s going the Lissu way,” Kabwe said. “However, the playing field is not favorable to the opposition. There are a lot electoral gimmicks and the like.”

Lissu was banned from campaigning for a week earlier this month by authorities. The National Electoral Commission, whose members are appointed by Magufuli, said the suspension was punishment for making what was deemed seditious statements. Lissu was accused of claiming that Magufuli had convened a meeting with election officials.
Source : https://www.washingtonpost.com/world/africa/observers-say-tanzanias-presidential-vote-is-already-flawed/2020/10/25/
 
25 October 2020
Toronto, Canada

Observers say Tanzania's presidential vote is already flawed​

Some high-profile international election observers won’t be watching the vote. “Unlike 2010 and 2015, the national authorities have not invited the EU to do it,” said Emilio Rossetti with the European Union delegation to Tanzania.

Other groups, including the Catholic church, have been denied accreditation, said Abubakar Zein Abubakar, a former legislator with the region’s East African Legislative Assembly: “Those who seem to be independent have been denied the opportunity.”

“This is going to be an election without observers,” opposition leader Kabwe told an online event last month. “As we have seen, the election has already been stolen before the voting day.”
source : Read more Observers say Tanzania's presidential vote is already flawed - CityNews Toronto
 
25 October 2020

NEC Watoa ONYO KALI kwa WANAOZUIA WAGOMBEA kufanya KAMPENI - "WAACHENI"



Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi (NEC) Imewataka Wasimamizi Wa uchaguzi, pamoja na Jeshi la polisi kuacha tabia ya kuzuia mikutano ya wagombea urais ambayo imefuata taratibu za ratiba za NEC ...
Toleo la Sita mwaka 2020 ratiba ya Uchaguzi Mkuu kwa wagombea Urais na makamu wake : NEC Website
 
Back
Top Bottom