Mna,uhakika maana mnafahamu Tume ya Uchaguzi mnaimiliki wenyewe na hampo tayari ihojiwe uhalali wake.CCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
HakikaCCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
Kishindo cha wiziCCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
Kishindo cha wiziCCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
Hua napata changamoto sana kuwasikiliza hawa watu naona bora Mbs zangu niangalie XXL13 Julai 2020
Dodoma, Tanzania
Polepole : Mabango au Vipeperushi viwe vya ktk nguzo au mtandaoni haviruhusiwi na CCM Mpya...
Hapo kwenye "kubeberusha" hapo wasije wakabeberusha kweli....!20 Julai 2020
7 warudisha fomu za kutia nia Urais CHADEMA
Watia nia kugombea urais sasa wamebaki 7 kati ya 11 waliochukua fomu. Ni baada ya 4 kutorudisha fomu ofisi ya Makao Makuu CHADEMA na miongoni mwa ambao hawajarudisha fomu ni Mh. Freeman Mbowe na Mch. Peter Msigwa.
Mkutano mkuu wa CHADEMA utafanyika tarehe 29 Julai 2020 kupitia na kuchagua miongoni mwa watia nia 7 wanaowania kubeberusha bendera ya CHADEMA ngazi ya Urais hapo Oktoba 2020.