Uchaguzi 2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

Uchaguzi 2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

28 July 2020
Dar es Salaam, Tanzania

UCHAGUZI 2020 TANZANIA : MAPOKEZI KABAMBE YA TUNDU LISSU DAR-ES-SALAAM 27.07.2020

TANZANIA 2020 ELECTIONS : DAR GIVES TUMULTOUS WELCOME TO OPPOSITION PRESIDENTIAL ASPIRANT TUNDU LISSU





Source: jenerali online
 
More info:

27 July 2020
Dar-es-Salaam, Tanzania

Tanzania opposition figure Tundu Lissu returns from exile


Lissu, who was shot 16 times in a 2017 attack, says he intends to contest October's presidential election.
21 hours ago



Lissu, a former politician with the Chadema main opposition party, was welcomed by hundreds of supporters


Tanzanian opposition politician and presidential hopeful Tundu Lissu has returned from exile in Belgium where he underwent treatment after he was shot multiple times three years ago.

Lissu, a former politician with the Chadema main opposition party, was welcomed by hundreds of supporters, who clamoured around his car as he waved from an open sunroof on Monday.

A critic of President John Magufuli, Lissu was shot 16 times in an attack by unknown gunmen in the administrative capital, Dodoma, in September 2017.

At the time, Magufuli condemned the shooting and ordered security forces to investigate, but no one has been arrested.

Lissu was arrested eight times in the year leading up to his attack and charged with incitement, among other alleged offences. His most recent arrest was in August 2017 - two weeks before he was shot.
READ MORE BELOW source : Tanzania opposition figure Tundu Lissu returns from exile
Upcoming election
Tanzania will hold a general election on October 28, and the United States last month accused the country of seeking to "stifle democratic norms" ahead of the polls, with a string of arrests of opposition figures and the closure of a newspaper.

Lissu's return comes as the top opposition parties consider joining forces behind a single candidate to challenge Magufuli, who seeks a second five-year term.

In an interview with AFP news agency shortly before leaving for Tanzania, Lissu said he was "going back home to try and fight for the presidency".

"Whether we are going to have free and fair elections, that is not the question, we don't expect that. The issue is ... are we going to have our lives by the end of the electoral process?"

He said the opposition and his political party had "gone through hell during these five years".

"The biggest thing has been the untold suffering. Killings of political leaders, attacks on political leaders, abductions, disappearances, torture, illegal prosecution of opposition leaders and activists in courts of law, with trumped-up charges."

Lissu said his heath was good after his ordeal, in which he was shot at his home.

"You have to be aware of the fact that I was shot 16 times. All my limbs, my legs, my waist, my arms, my stomach were basically ripped apart by 16 bullet shots and therefore to mend me, to put me back on my feet, took a long time.

"Of course I'm not as I was three years ago: my leg is shorter by several centimetres (an inch or so). But otherwise, I'm fine."

Lissu told AFP that Magufuli's handling of the coronavirus pandemic had been "a national embarrassment" and raised concerns about the holding of the election.

Magufuli claims there are no more cases in the country, which last released official figures in April. However Tanzanian truck drivers regularly test positive in neighbouring countries.

"So we have total blackout on corona and because there is total blackout, the president wants the world to believe that there is no corona. It's a disaster."

Source: Tanzania opposition figure Tundu Lissu returns from exile
 
Mitano inatosha
Screenshot_2020-07-28-15-34-12-58.jpg
 
28 Julai 2020
Columbia, South Carolina na Washington DC
United States of America

Mafuriko ya Kumpokea Tundu Lissu yajadiliwa

Dr. Patrick Nhigula mhadhiri wa chuo Kikuu cha University of South Carolina (USC) Columbia Marekani akikazia katika fani ya sayansi ya utawala anaangazia shauku ya diaspora ktk kufuatilia tukio la ujio wa Tundu Lissu



HOTUBA NZIMA YA TUNDU LISSU
Hotuba nzima ya Mwanasheria na mwanasiasa mashuhuri wa kambi ya upinzani nchini Tanzania Tundu Antipas Lissu azungumza na wanachama wa Chadema baada ya kuwasili nchini Tanzania Julai 27, 2020 .


Source: Swahili Villa
 
28 Julai 2020

Shauku ya Diaspora ya Tanzania kuhusu hali ya kisiasa Tanzania

Aliyekuwa Meya wa Ubungo jijini Dar es Salaam Boniface Jacob (CHADEMA) akisimulia maana ya ujio wa Tundu Lissu na hasahasa watu kujitokeza kwa wingi bila hofu kuonesha ushiriki wao katika siasa za Tanzania bila kujali vyama. Na pia hali ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 2020 na masuala mengi yanayowagusa waTanzania bila kujali vyama , itikadi za kisiasa na makubwa mazuri yaliyofanywa ktk utawala wa awamu ya tano ....



Source : Swahili Villa
 
Maendeleo ya vitu uleta umasikini Mkubwa sana kwa watu, umasikini uleta chuki na mtawala aletae umasikini katu huwa apendwi only kwa wanufaika kina aongezewe mda.
 
28 July 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Tanzanian opposition leader returns from exile



Tundu Lissu, Tanzania's opposition leader and potential presidential candidate, arrived home on Monday having left the country three years following a gun attack.
Source : Reuters
 
30 Julai 2020
Ikwiriri, Rufiji
Tanzania

" Kuna matatizo makubwa katika kutatua changamoto za wananchi " - Mh. Magufuli

Hayo yalibainika wakati wananchi walipomuambia Mh. Rais John Pombe Magufuli wakati akiwa njiani Ikwiriri akirejea Dar es Salaam kwa njia ya barabara kutoka katika mazishi ya hayati Rais wa Awamu ya Tatu marehemu Benjamin William Mkapa huko kijijini Lupaso wilaya ya Masasi mkoani Mtwara kusini mwa Tanzania.



Waziri Mkuu Mh Majaliwa na waziri wa ardhi William Lukuvi wameagizwa kwenda mkoani Pwani kutatua migogoro ya muda mrefu baina ya wakulima na wafugaji, ambayo Mh. John Magufuli amesema makundi hayo ya kijamii ya watanzania wote wanahitaji kufanya shughuli zao za ufugaji na kilimo bila bugudha au mapigano.

Wananchi wamedai kuwa mifugo inayokula mazao ya wakulima ni mali ya watu wanaosemekana ni wakubwa na hivyo wameamua kufikisha kilio chao kwa mkubwa kabisa yaani Mh. Rais.

Mkurugenzi wa wilaya amekiri hakuna maeneo maalum yaliyotengwa kwa wafugaji na wakulima katika wilaya ya Ikwiriri bonde la Rufiji na suala hilo lipo Mahakamani baada ya makundi hayo yote mawili kuwasilisha kesi ya madai ya haki za kuwepo maeneo hayo.

Huduma ya maji Ikwiriri ingawa wana mto karibu lakini hawayapati na wanatumia maji ya kutoboa ya visima. Mradi mkubwa wa maji una changamoto kwani motor ya kuvuta maji katika mradi huo wa maji wenye gharama ya milioni 91 iliharibiwa na mafuriko makubwa yaliyoikumba sehemu hiyo ya Ikwiriri.

Mh. Rais ameshangaa DC, DED, Mamlaka ya Maji Safi na Taka Rufij kukubali mabomba na mitambo kuharibiwa na mafuriko huku mpaka sasa hawajaweza kutatua tatizo na kurejesha huduma ya maji safi na salama kwa wananchi. Pia ahadi ya barabara ya lami iliyoahidiwa ktk ilani ya CCM ya mwaka 2015 imeshindikana maana serikali haijaanza Ujenzi wa kipande chochote cha barabara ya lami huko Utete.

Huduma za afya Ikwiriri kama X-Ray na vifaa-tiba muhimu hakuna, watoto hutozwa gharama za matibabu pia gari la kubeba wagonjwa kwa Ambulance aina la Land Cruiser limesimama kutokana na kuwepo gereji huko Utete kwa muda mrefu.

Hivyo mh. Rais akaagiza gari la mkurugezi wa wilaya kuanza mara moja kutoa huduma ya kubeba wagonjwa kama ambulance mpaka hapo gari maalum la ambulance litakapofanyiwa matengenezo ili liliweze kurejea kutoa huduma. Hivyo mkurugenzi wa wilaya ametakiwa kutafuta usafiri mwingine au kutembea kwa miguu ili kwenda kutekeleza kazi zake.

Rais Magufuli aamrisha wananchi kwenda kujisaidia kwa mkurugenzi na DC

Rais Magufuli awataka wananchi kutolipa ushuru wa soko maana hakuna huduma muhimu za usafi kama huduma za choo na maji, badala yake wakatumie vyoo vya mkurugezi wa wilaya DED na DC mpaka choo cha umma kwa ajili ya wananchi kitapojengwa.

 
Siasa na Utawala
Profesa Rwekaza Sympho Mukandala anazungumzia kigezo muhimu na kikubwa cha siasa na uongozi na kubaki madarakani kwa muda muafaka, Ni je wananchi wanafuraha?

Prof. Mukandala anasema haitoshi baba wa nyumba kuleta nyama, samaki na chakula kila siku nyumbani lakini familia yake inaishi bila furaha. Prof. Mukandala anataka utoe tathmini katika maeneo yao chini baada ya muhadhara wake na kutoa alama/ maksi juu ya utawala wa CCM


  • Kiongozi kuongoza kwa hiyari, kushawishi na siyo kushurutisha
  • Wakati wa janga kubwa kwa nchi, kiongozi kuwa mbele pamoja na wananchi kukabiliana na changamoto hiyo
  • Kukithiri kwa Umasikini wa watu
  • Maendeleo ya Vitu kuleta Umasikini ktk Maendeleo ya Watu
  • Ajira na Viwanda
  • Kilimo Kwanza na Masoko ya Kilimo , Mifugo, Uvuvi
  • Wananchi kukosa kushirikishwa ktk kipi ni kipau-mbele kwao maana serikali haitoi nafasi wananchi kusema
  • Sera za kiuchumi za serikali kukazania Maendeleo ya Vitu na kusahau kabisa Maendeleo ya Watu.
  • Utawala wa sheria
  • Uhuru wa Kujumuika na Kufanya Siasa
  • Kupiga vita rushwa
  • Kushindwa siasa za Ushawishi kubaki Siasa za Kushurutisha
  • Tanzania kuelewa diplomasia ya kujinafasi ki Geopolitics ktk majukumu kikanda / Kimataifa : SADC , EAC , Africa Union , United Nations, WHO, Benki ya Dunia World Bank, Fuko la Fedha IMF
  • Uwezo wa Mwenyekiti wa CCM kuzuia chama kisiwe na mpasuko si tu CCM Tanganyika na hata CCM Zanzibar kuelekea 2020

Kipimo cha kufanya vizuri CCM hakiwezi kupimwa kwa vile serikali yake imeweza kutengeneza miundombinu lukuki na kulazimisha watu waridhike wakati wananchi hawana furaha kutokana na ukata mifukoni mwao. Kipimo halisi ni hayo madokezo hapo juu.


Source :

Kiukweli bila kupepesa macho maendeleo ya watu sifuri kabisa maendeleo ya vitu kidoogo tunaenda sie watu wa chini tunahitaji sana maendeleo yetu km watu yaan uhakika wa milo 3,niweze kumudu garama za matibabu niwe na makazi ya uhakika nk but asa ivi balaa hali ngumu mno kuliko wakati wowote nilioshuhudia kwa umri wangu,..,HAKUNA POLITICIAN MSAFI..KIAMA KIKIFIKA FIRST KUINGIA JEHANAM NI IBILISI MWENYEWE na WA PILI NI MWANASIASA hakika
 
sasa ulitaka watu wajae mifukoni vipi ila heavy investments? are you ok mentally
 
Kiukweli bila kupepesa macho maendeleo ya watu sifuri kabisa maendeleo ya vitu kidoogo tunaenda sie watu wa chini tunahitaji sana maendeleo yetu km watu yaan uhakika wa milo 3,niweze kumudu garama za matibabu niwe na makazi ya uhakika nk but asa ivi balaa hali ngumu mno kuliko wakati wowote nilioshuhudia kwa umri wangu,..,HAKUNA POLITICIAN MSAFI..KIAMA KIKIFIKA FIRST KUINGIA JEHANAM NI IBILISI MWENYEWE na WA PILI NI MWANASIASA hakika

thats not the government work, uwe maskini uwe tajiri haihusiani na serikali bali jitihada zako katika kutumia miundo mbinu iliowekwa
 
Kiukweli bila kupepesa macho maendeleo ya watu sifuri kabisa maendeleo ya vitu kidoogo tunaenda sie watu wa chini tunahitaji sana maendeleo yetu km watu yaan uhakika wa milo 3,niweze kumudu garama za matibabu niwe na makazi ya uhakika nk but asa ivi balaa hali ngumu mno kuliko wakati wowote nilioshuhudia kwa umri wangu,..,HAKUNA POLITICIAN MSAFI..KIAMA KIKIFIKA FIRST KUINGIA JEHANAM NI IBILISI MWENYEWE na WA PILI NI MWANASIASA hakika

Pamoja na makada wa CCM Mpya kujazwa kila mkoa ktk ngazi zote kuanzia Mkuu wa Mkoa- RC, Mkuu wa Wilaya -DC, Mkurugenzi wa wilaya -DED, Mwenyekiti wa Halmashauri, Makatibu / Wenyeviti wa Mikoa wa CCM, viongozi wa serikali za vijiji na Mitaa lakini kuna matatizo makubwa ya kiuongozi kwa CCM Mpya upande wa Maendeleo ya Watu.

Fedha za Halmashauri zinakusanywa na kupelekea kwanza makao makuu ya Serikali Kuu idara ya Hazina Dar es Salaam au Dodoma halafu hazirudi kwa wakati maeneo husika na hivyo kukwamisha Maendeleo ya Watu ktk maeneo husika kufuatana na mahitaji yao au vipaumbele vya maeneo ya wananchi wanapoishi.

Hela yote kwanza inapelekwa ktk miradi ya Maendeleo ya Vitu madaraja ya baharini, flyovers DSM, Stendi za Mabasi mithili ya airport, bombardier Dreamliner n.k ambavyo hayawagusi wakazi wa Ikwiriri, Masasi , Kasulu , Songwe au Momba na sehemu nyingi za nchi hii kubwa ya Tanzania.
 
31 Julai 2020

BAADA YA SIMU YA MAGUFULI, JAFO ATINGA MAENEO YENYE KERO



Selemani Jafo waziri wa Ofisi ya Rais - Serikali ya Mitaa na Tawala za Mikoa TAMISEMI mara baada ya swala ya Eid ul Adha ( ya kuadimisha sikukuu Idd el Haj ya mwezi kumi toka mwandamo wa mwezi , aenda moja kwa moja kazini

afika kukagua miradi ambayo wananchi walibaini ni yenye kero na kumuambia Mh. Rais John Magufuli. Miradi hiyo ipo maeneo ya Vikindu, Kisiju, Mkamba, Mkuranga, Ikwiriri Utete, Nangulukuru, Kilwa Masoko..

Source : Huwa TV
 
Julai 2020
Utete, Rufiji

Wananchi wa Utete walia kuhusu Mradi wa Mwalimu Nyerere
Walioajiriwa wengi ni watu wa kutoka kanda ya Ziwa, watu wa Human Resources HR wote ni kanda ya Ziwa kinyume na ilani ya CCM Mpya kuwa watu wanaoishi ktk maeneo ya miradi nao wafaidike na uwepo wa miradi hiyo

Matangazo ya kazi, fursa na interview yamefanyika Rufiji ofisi ya DC lakini wanaopata kazi ni watu wasioishi karibu na mradi wa Umeme wa Stiegler's Gorge amebainisha mwana CCM wa Utete Rufiji.
Source : Ngwenje TV
 
CCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
Uko sahihi kabisa kwa nguvu za vyombo vya dola na HOJA YA NGUVU, lakini kama ni kupitia majukwaa ya siasa na ushawishi na NGUVU YA HOJA, mmhh sina uhakika sana na kauli yako!
 
Hoja yako hapo Mimi niliokuelewa ni kwamba masikini wamezoea shida.na huo ndio mtaji wenu
Mkandala namfahamu vizuri alinifundisha siasa Mlimani miaka mitatu nikawa nashangaa Professa anakuja lecture na tshirt na shingoni kavaa cheni na alikuwa anapenda sana sifa na kujidai!! nami leo napingana nae bila uoga!

1. Magu ni mtani wake na jirani yake kikabila hawezi mkubali hata mumuue!! yeye huona wahaya ni wasomi kuliko kabila lolote nchini na wanajua kila kitu zaidi kuliko mtu yoyote

2.Dhana yake Mkandala ni ile ile ya kati ya kuku na yai nini kilianza?? yaani anajifanya hajui kwa nchi maskini zenye income kiduchu Rais hubaki njiapanda kuchagua watu wawe na hela ila kusiwe na miundombinu au kinyume chake sababu lazima uchague kimoja pesa haitoshi kufanya yote mawili , je tujiulize kipi huendeleza kingine? welfare or infrastructure? ukiendeleza watu hakuna SGR wala Stiegler wanabaki maskini na maisha ya tabu na mahangaiko milele, ukijenga reli barabara vituo vya umeme vivuko kununua meli na ndege unatumia kodi yote na kuondoa mzunguko wa pesa mitaani watu wanakufa njaa je kipi cha kufanya?

3. Mukandala anakazia hoja ya Nape alipoongea bungeni huku akifurahiwa na Mr February pembeni kuwa Ilani ya uchaguzi ya kijani haisemi Rais apambane na miundombinu pekee bali inataka pia hali za maisha ya raia ziboreshwe na kuwa wanavyomaanisha miaka yote mitano Rais amefeli kwa kutofuata ilani ya chama! yaani amepuuza kuhudumia watu!!Mh Nape alisema wanamsubiri Rais kwenye kikao chama kumhoji kila kipengele cha ilani yao alikitekelezaje!!!

my take!
Mkandala ni debe tupu, litavuma siku zote hadi siku akipewa uteuzi! namsihi amuache Rais ajenge nchi sisi raia ni sugu tushazoea shida amuache Rais afanye yake tuumie sasa ili baadae tuishi kwa raha na wajukuu zetu wafurahie nchi yao!

Rais yuko sahihi hakuna muda sahihi wala shuruti katika ilani ya chama ya kujenga miundombinu na watangulizi wake hawakutoa kipaumbele sana katika miundombinu ambayo inapokamilika huleta neema na kurudisha furaha ya watu!!

Watu maskini wamezoea shida anawapigania ila wala hawako nae na hawajui maana ya furaha ni nini na wala hawajali Rais anawatesa na maisha magumu , furaha anaijua yeye na usomi wake!

Samahani sana my teacher Mkandala we are now equal , we now think differently na huwezi kunitishia kunipiga sup wala kunidisco tuko level moja kwenye elimu mitaani dot com!!
 
tume ii ya uchaguzi ndo imewatangaza wabunge zaidi ya 40 wa upinzani walipo shinda uchaguzi 2015.
ni tume huru na wala aingiliwi wala aipangiwi.anaeshinda anatangazwa.
kwaiyo acheni kujihami kwa uongo na uzushi

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia majimbo ya upinzani utakuta walitangazwa baada ya kutokea fujo,au wapinzani kutolala masaa24 kuhofia wizi wa kura,angalia majimbo kama tanga mjini,kibamba,
Majimbo kama kigamboni ccm hawakushinda walitumia ujanja kabisa,
 
Back
Top Bottom