Upcoming election
Tanzania will hold a general election on October 28, and the United States last month accused the country of seeking to "stifle democratic norms" ahead of the polls, with a string of arrests of opposition figures and the closure of a newspaper.
Lissu's return comes as the top opposition parties consider joining forces behind a single candidate to challenge Magufuli, who seeks a second five-year term.
In an interview with AFP news agency shortly before leaving for Tanzania, Lissu said he was "going back home to try and fight for the presidency".
"Whether we are going to have free and fair elections, that is not the question, we don't expect that. The issue is ... are we going to have our lives by the end of the electoral process?"
He said the opposition and his political party had "gone through hell during these five years".
"The biggest thing has been the untold suffering. Killings of political leaders, attacks on political leaders, abductions, disappearances, torture, illegal prosecution of opposition leaders and activists in courts of law, with trumped-up charges."
Lissu said his heath was good after his ordeal, in which he was shot at his home.
"You have to be aware of the fact that I was shot 16 times. All my limbs, my legs, my waist, my arms, my stomach were basically ripped apart by 16 bullet shots and therefore to mend me, to put me back on my feet, took a long time.
"Of course I'm not as I was three years ago: my leg is shorter by several centimetres (an inch or so). But otherwise, I'm fine."
Lissu told AFP that Magufuli's handling of the coronavirus pandemic had been "a national embarrassment" and raised concerns about the holding of the election.
Magufuli claims there are no more cases in the country, which last released official figures in April. However Tanzanian truck drivers regularly test positive in neighbouring countries.
"So we have total blackout on corona and because there is total blackout, the president wants the world to believe that there is no corona. It's a disaster."
Source: Tanzania opposition figure Tundu Lissu returns from exile
Kiukweli bila kupepesa macho maendeleo ya watu sifuri kabisa maendeleo ya vitu kidoogo tunaenda sie watu wa chini tunahitaji sana maendeleo yetu km watu yaan uhakika wa milo 3,niweze kumudu garama za matibabu niwe na makazi ya uhakika nk but asa ivi balaa hali ngumu mno kuliko wakati wowote nilioshuhudia kwa umri wangu,..,HAKUNA POLITICIAN MSAFI..KIAMA KIKIFIKA FIRST KUINGIA JEHANAM NI IBILISI MWENYEWE na WA PILI NI MWANASIASA hakikaSiasa na Utawala
Profesa Rwekaza Sympho Mukandala anazungumzia kigezo muhimu na kikubwa cha siasa na uongozi na kubaki madarakani kwa muda muafaka, Ni je wananchi wanafuraha?
Prof. Mukandala anasema haitoshi baba wa nyumba kuleta nyama, samaki na chakula kila siku nyumbani lakini familia yake inaishi bila furaha. Prof. Mukandala anataka utoe tathmini katika maeneo yao chini baada ya muhadhara wake na kutoa alama/ maksi juu ya utawala wa CCM
- Kiongozi kuongoza kwa hiyari, kushawishi na siyo kushurutisha
- Wakati wa janga kubwa kwa nchi, kiongozi kuwa mbele pamoja na wananchi kukabiliana na changamoto hiyo
- Kukithiri kwa Umasikini wa watu
- Maendeleo ya Vitu kuleta Umasikini ktk Maendeleo ya Watu
- Ajira na Viwanda
- Kilimo Kwanza na Masoko ya Kilimo , Mifugo, Uvuvi
- Wananchi kukosa kushirikishwa ktk kipi ni kipau-mbele kwao maana serikali haitoi nafasi wananchi kusema
- Sera za kiuchumi za serikali kukazania Maendeleo ya Vitu na kusahau kabisa Maendeleo ya Watu.
- Utawala wa sheria
- Uhuru wa Kujumuika na Kufanya Siasa
- Kupiga vita rushwa
- Kushindwa siasa za Ushawishi kubaki Siasa za Kushurutisha
- Tanzania kuelewa diplomasia ya kujinafasi ki Geopolitics ktk majukumu kikanda / Kimataifa : SADC , EAC , Africa Union , United Nations, WHO, Benki ya Dunia World Bank, Fuko la Fedha IMF
- Uwezo wa Mwenyekiti wa CCM kuzuia chama kisiwe na mpasuko si tu CCM Tanganyika na hata CCM Zanzibar kuelekea 2020
Kipimo cha kufanya vizuri CCM hakiwezi kupimwa kwa vile serikali yake imeweza kutengeneza miundombinu lukuki na kulazimisha watu waridhike wakati wananchi hawana furaha kutokana na ukata mifukoni mwao. Kipimo halisi ni hayo madokezo hapo juu.
Source :
Kiukweli bila kupepesa macho maendeleo ya watu sifuri kabisa maendeleo ya vitu kidoogo tunaenda sie watu wa chini tunahitaji sana maendeleo yetu km watu yaan uhakika wa milo 3,niweze kumudu garama za matibabu niwe na makazi ya uhakika nk but asa ivi balaa hali ngumu mno kuliko wakati wowote nilioshuhudia kwa umri wangu,..,HAKUNA POLITICIAN MSAFI..KIAMA KIKIFIKA FIRST KUINGIA JEHANAM NI IBILISI MWENYEWE na WA PILI NI MWANASIASA hakika
Kiukweli bila kupepesa macho maendeleo ya watu sifuri kabisa maendeleo ya vitu kidoogo tunaenda sie watu wa chini tunahitaji sana maendeleo yetu km watu yaan uhakika wa milo 3,niweze kumudu garama za matibabu niwe na makazi ya uhakika nk but asa ivi balaa hali ngumu mno kuliko wakati wowote nilioshuhudia kwa umri wangu,..,HAKUNA POLITICIAN MSAFI..KIAMA KIKIFIKA FIRST KUINGIA JEHANAM NI IBILISI MWENYEWE na WA PILI NI MWANASIASA hakika
Uko sahihi kabisa kwa nguvu za vyombo vya dola na HOJA YA NGUVU, lakini kama ni kupitia majukwaa ya siasa na ushawishi na NGUVU YA HOJA, mmhh sina uhakika sana na kauli yako!CCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
Mkandala namfahamu vizuri alinifundisha siasa Mlimani miaka mitatu nikawa nashangaa Professa anakuja lecture na tshirt na shingoni kavaa cheni na alikuwa anapenda sana sifa na kujidai!! nami leo napingana nae bila uoga!
1. Magu ni mtani wake na jirani yake kikabila hawezi mkubali hata mumuue!! yeye huona wahaya ni wasomi kuliko kabila lolote nchini na wanajua kila kitu zaidi kuliko mtu yoyote
2.Dhana yake Mkandala ni ile ile ya kati ya kuku na yai nini kilianza?? yaani anajifanya hajui kwa nchi maskini zenye income kiduchu Rais hubaki njiapanda kuchagua watu wawe na hela ila kusiwe na miundombinu au kinyume chake sababu lazima uchague kimoja pesa haitoshi kufanya yote mawili , je tujiulize kipi huendeleza kingine? welfare or infrastructure? ukiendeleza watu hakuna SGR wala Stiegler wanabaki maskini na maisha ya tabu na mahangaiko milele, ukijenga reli barabara vituo vya umeme vivuko kununua meli na ndege unatumia kodi yote na kuondoa mzunguko wa pesa mitaani watu wanakufa njaa je kipi cha kufanya?
3. Mukandala anakazia hoja ya Nape alipoongea bungeni huku akifurahiwa na Mr February pembeni kuwa Ilani ya uchaguzi ya kijani haisemi Rais apambane na miundombinu pekee bali inataka pia hali za maisha ya raia ziboreshwe na kuwa wanavyomaanisha miaka yote mitano Rais amefeli kwa kutofuata ilani ya chama! yaani amepuuza kuhudumia watu!!Mh Nape alisema wanamsubiri Rais kwenye kikao chama kumhoji kila kipengele cha ilani yao alikitekelezaje!!!
my take!
Mkandala ni debe tupu, litavuma siku zote hadi siku akipewa uteuzi! namsihi amuache Rais ajenge nchi sisi raia ni sugu tushazoea shida amuache Rais afanye yake tuumie sasa ili baadae tuishi kwa raha na wajukuu zetu wafurahie nchi yao!
Rais yuko sahihi hakuna muda sahihi wala shuruti katika ilani ya chama ya kujenga miundombinu na watangulizi wake hawakutoa kipaumbele sana katika miundombinu ambayo inapokamilika huleta neema na kurudisha furaha ya watu!!
Watu maskini wamezoea shida anawapigania ila wala hawako nae na hawajui maana ya furaha ni nini na wala hawajali Rais anawatesa na maisha magumu , furaha anaijua yeye na usomi wake!
Samahani sana my teacher Mkandala we are now equal , we now think differently na huwezi kunitishia kunipiga sup wala kunidisco tuko level moja kwenye elimu mitaani dot com!!
NatathiminiHizo 50m ni hewa
In God we Trust
Fuatilia majimbo ya upinzani utakuta walitangazwa baada ya kutokea fujo,au wapinzani kutolala masaa24 kuhofia wizi wa kura,angalia majimbo kama tanga mjini,kibamba,tume ii ya uchaguzi ndo imewatangaza wabunge zaidi ya 40 wa upinzani walipo shinda uchaguzi 2015.
ni tume huru na wala aingiliwi wala aipangiwi.anaeshinda anatangazwa.
kwaiyo acheni kujihami kwa uongo na uzushi
Sent using Jamii Forums mobile app