Wajumbe 442 wa Baraza Kuu wapiga kura :
Matokeo: Tundu Lissu 405 , Lazaro Samuel Nyalandu 36 na Dr. Mayrose Kavura Majinge 1.
Hayo ni maneno yamkosaji,CCM inashinda sbh tu na mkandala akiangalia kwa macho yake yote mawili kama anayo!!!!!!Prof. Rwekaza S. Mukandala amehitimisha kuwa hajui hatima ya Magufuli na CCM Mpya itakuwaje 2020 wananchi wakiamua.
Kikosi Kazi hiki cha upinzani chenye mkakati kabambe kuelekea 2020, CCM Mpya kwisha habari yake
21 Jun 2018
MSIGWA: "Simpongezi MAGUFULI, Serikali Imeleta maumivu makubwa kiuchumi, Pesa Hakuna" Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango.