Uchaguzi 2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

Uchaguzi 2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

TUNDU LISSU : Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa tutashinda uchaguzi huu kwa asilimia 65 mpaka 75

 
27 .10.2020

THRDC YAWATAKIA WATANZANIA UCHAGUZI MWEMA

 
27 October 2020
Jimbo la Kawe
Dar es Salaam, Tanzania

🔴 LIVE : TUNDU LISU AKIFUNGA KAMPENI 2020, KAWE DAR ES SALAAM.​



Mubashara kabisa kutoka viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam Tanzania jukwaa Kuu tayari viongozi wagombea ubunge, viongozi wa kidini pamoja na halaiki kubwa ya wananchi wapo ktk kiwanja hiki maarufu kushuhudia na kushiriki kufungwa rasmi kwa kampeni za CHADEMA 2020.

Tayari Mgombea urais Tundu Lissu, mgombea mweza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John John Mnyika wapo jukwaani ....

Sheikh Issa Ponda anazungumza sasa katika utangulizi wa ufunguzi wa shughuli kubwa ya hitimisho la kampeni CHADEMA 2020 ...akigusia Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu..(shangwe zinatoka kwenye umati kusikia kauli mbiu hiyo)...

Askofu Mwamakula naye anasimama na kukemea kumwagika kwa damu leo 27.10.2020 na si dalili nzuri pia kutoa rai Maalim Seif na Viongozi wa ACT-WAZALENDO waachiwe mara moja ili kuruhusu uchaguzi Huru na wa Haki kufanyika. Askofu Mwamakula awaasa viongozi waandamizi wa TPDF na wale wa Jeshi la Polisi kutokubali kupokea amri haramu na kuamrisha maaskari na polisi kuzitekeleza maana lawama zitakuwa juu yao maofisa wanadhimu na makamanda waandamizi..(Kumradhi matangazo yakatika)
Source : WATETEZI TV
 
27 October 2020
Kawe jimbo
Dar es Salaam Tanzania

Kufunga Kampeni za CHADEMA 2020 (tumerudi hewani )
Muendelezo wa Live / Mubashara toka Kawe Dar es Salaam, wagombea Halima Mdee na Bonny wazungumza


Source : DarMpya TV
 
27 October 2020
Kawe jimbo
Dar es Salaam, Tanzania

CHADEMA KAMPENI YA MWISHO 2020
(Watetezi TV imerejea hewani live / mubashara)
Mfariji mkuu na Rais mtarajiwa Tundu Lissu na Mh. Salum Mwalimu mgombea-mwenza wanatoa mrejesho na majumuisho kwa waTanzania walichojionea ktk kampeni za CHADEMA za miezi miwili kote Tanzania na mwamko wa wananchi kuwachangia kwa hali na mali kuwezesha mabadiliko kuelekea 28.10.2020 na kuwaomba waTanzania kuipigia kura nyingi za ushindi wa kimbunga za Urais, ubunge na Udiwani
 
27 October 2020

KUELEKEA Uchaguzi MKUU Kesho, KATIBU MKUU wa BARAZA la MAASKOFU (TEC) Atoa TAMKO...UCHAGUZI Na MATOKEO YAWE HURU, HAKI NA HALALI

 
27 October 2020

MGOMBEA URAIS 2020 KUPITIA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI ATAINUA UCHUMI WA KILA MTU​


Mgombea urais nafasi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu Yeremia Maganja akihitimisha kampeni zake za kuwania Urais 2020 kupitia NCCR-MAGEUZI atilia mkazo mambo haya ili waTanzania waondokane na uduni...
 
25 October 2020
Copenhagen, Denmark
1:59:56

Tanzania’s 2020 elections: What’s at stake?



Published on 25 Oct 2020
Friday 23 October, 16.00-18.00 DIIS ∙ Danish Institute for International Studies Online via Zoom On Wednesday, 28 October, Tanzanians will go to the polls to elect a president, new Members of Parliament and new local government councilors.

The last elections in 2015 were the most competitive ever held in the country. In semi-autonomous Zanzibar, the elections were cancelled and rerun a year later under an opposition boycott.

This year’s elections are even harder to predict, as state-imposed restrictions have limited the activities of opposition parties, independent media and critical voices during the election period.

What is the true strength of the opposition, and how will the ruling party, CCM, react to the challenge? Tanzania had formerly acquired a reputation as East Africa’s most peaceful and stable democracy, but with a new administration taking office at the end of 2015 new signs of fragility emerged from 2016 onwards which put Tanzania at risk of democratic regression.

President John Pombe Magufuli has promised prosperity through state-led development in return for restrictions on democracy. The opposition parties reject such a tradeoff and have their own ideas about how to develop the country.

The question is how Tanzanian voters see this. This webinar brings together researchers working on various aspect of political life in Tanzania to discuss key electoral issues.

Speakers : Michaela Collord, Junior Research Fellow in Politics at New College, University of Oxford Dan Paget, Lecturer in Politics, Department of Politics and International Relations, University of Aberdeen Ahmed Rajab, Journalist and political analyst Rasmus Hundsbæk Pedersen, Senior Researcher, DIIS Thabit Jacob, Visiting Researcher, DIIS Programme
  • 16.00-17.05 Welcome and introduction,Rasmus Pedersen
  • 16.05-16.15 Brief overview,Thabit Jacob
  • 16.15-16.30 Power of the incumbent: Old vs. ‘new’ CCM,Michaela Collord
  • 16.30-16.45 Analyse, Ahmed Rajab
  • 16.45-17.00 How CHADEMA stands in 2020?Dan Paget
  • 17.00-18.00 Q&A - moderated by Rasmus Pedersen
Source : DIISpublish
 
Tanzania Decides 2020 : Political & Economic Prospects for Tanzania post Elections: October 2020

Guests : Lazaro Nyalandu CHADEMA party parliamentary aspirant Singida North constituency in Tanzania, Nick Westcott, ALy Khan Satchu of Richfrontier CEO, Boason Omofaye , Joseph Ochieng ex editor of New Africa magazine, correspondent of CNN Al Jazeera, Menzi Ndlovo and Agnes .
Source : Frontier AFR
 
28 October 2020

Tanzania Election Results: Expected Outcome​


Based on recent developments, the results of the Tanzanian elections are very predictable. John Pombe Magufuli of CCM the incumbent has given many signals that tell us what the result of his contest with Chadema's Tundu Lissu will be. What is wrong with Presidential elections that involve an incumbent in Africa?

 
28 October 2020

#LIVE ZOEZI LA KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2020​


Maalim Seif atoa maoni pia watangazaji toka Mwanza, Zanzibar, Lindi, Musoma etc. waelezea hali ya upigaji kura
Source : ZINJIBAR TV
 
28 October 2020
Dar es Salaam, Tanzania

UCHAGUZI MKUU 2020 Tanzania

Clouds TV inakuletea yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu unaofanyika nchini hivi leo 28 October 2020


kutoka kituo cha kupiga kura cha idara ya maji Chamwino, Dodoma pia mgombea wa CCM urais apiga kura na kutoa wito waTanzania wajitokeze kwa wingi kutumia haki yao kikatiba kuchagua viongozi .
Source : CLOUDSMEDIA
 
Mahufuri atashinda nimepata maono ndotoni tusaidie atuongoze kuelekea maendeleo mengi na mapya zaidi
 
Gagagara, Unguja
UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2020
Maalim Seif mgombea Urais 2020 kwa nafasi ya urais Zanzibar kupitia ACT-WAZALENDO apiga kura 28 October 2020
 
29 Oct 2020
Johannesburg
South Africa

Tanzanian elections | Over 20 million voters cast their ballot​


Accusations of fraud and internet resctrictions.The damaging claims in the last week of Tanzania's election season. We will know in a week's time who their new president is.
For more, Jane Dutton spoke to eNCA's Isabel Nakirya from Kampala in Uganda. DSTV403
Source : eNCA
 
29 October 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Matokeo Live ya Uchaguzi Mkuu 2020 Tanzania

LIVE : 2020 TANZANIA GENERAL ELECTIONS RESULTS FOR PRESIDENTIAL CANDIDATES



Keys observation made as presidential election results are streaming in from more than 80,155 polling station scattered around Tanzania's 29 regions at the Julius Nyerere International Conference Centre in Dar es Salaam, Tanzania:
  1. Total number of Tanzanians registered as eligible voters is 29,188,347 www.nec.go.tz
  2. So far out of results announced from few constituencies, the turnout at the polling stations is low around 50%
Source: CLOUDSMEDIA
Source: courtesy of CLOUDSMEDIA
 
29 October 2020
Tundu Lissu : Kilichotokea Jana Siyo Uchaguzi, Hatuwezi Kutambua Tangu Jana na Matokeo Yanayoendelea kutolewa ni batili

'Tanzania 2020 Elections Rigged': Opposition leader Tundu Lissu cries foul as he points out election malpractices


3
Source : weyani tv
 
29 October 2020
Maalim Seif atoa tamko baada ya uchaguzi wa jana na matokeo yanayotangazwa

 
29 October 2020
Dar es Salaam, Tanzania

'Tanzania 2020 Elections Rigged': Opposition leader Tundu Lissu cries foul as he points out election malpractices

 
Back
Top Bottom