Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Option iliyopo si kuleta zetu tu. Kuna utafiti huru au hata wa kutumia wataalamu wengine.
W A S I L I S H A huo utafiti wako,, hadi sasa report zipo mbili... na zote inaonekana zina ukakasi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Option iliyopo si kuleta zetu tu. Kuna utafiti huru au hata wa kutumia wataalamu wengine.
Mkuu una uhakika na uchoongea ?, Kumbuka hao wanaongea forage (yaani nutritious forage yenye) na hio kwa wewe unayewalisha its to your advantage kuwapa as less as possible...
Sasa kama wanakula makapi (garbage in garbage out) huenda ikahitajika content nyinzi zaidi ya makapi ili kupata nutrient ile ile...., Sasa tukija kwenye how much kgs can an average cow excrete ?, Ngoja ni-contact google kama ulivyofanya...., na hapo utaona figure iliyotolewa sio ya ajabu...,
Cow In and Out
Fun Cow Facts. Hard Bargain Farm Environmental Center, Alice Ferguson Foundationfergusonfoundation.org
EnviroStats, Winter 2008, vol. 2 no. 4
A geographical profile of livestock manure production in Canada, 2006. EnviroStats, Winter 2008, vol. 2 no. 4. EnviroStats.www150.statcan.gc.ca
W A S I L I S H A huo utafiti wako,, hadi sasa report zipo mbili... na zote inaonekana zina ukakasi...
Na mi kila mara najiuliza ina maana hao ng'ombe walikuwa milioni ngapi au laki ngapi. Wanye na kukojoa kilo gram billion zile zote?Hii ripoti hata Mimi wa darasa la 3B naiona imechangamshwa yaani ng'ombe anye mpaka maji yageuke sumu yaue samaki[emoji3][emoji3] acha waendelee kuwabeba wawekezaji kwa uongo kwenye maisha ya watu
Na mi kila mara najiuliza ina maana hao ng'ombe walikuwa milioni ngapi au laki ngapi. Wanye na kukojoa kilo gram billion zile zote?
Profesa at work
Hao wao wanaweka kinyesi kiasi gani lorry zima kwenye ukubwa wa Bwawa la Wastani ?
Kumbuka samaki wanachokula ni algae, kinyesi ni mbolea ya hao algae..., ukiweka kingi kupita kiasi na algae waka-bloom kuliko consumption wakati hakuna photosynthesis na algae wana-consume oxygen hivyo kinachopelekea ni less dissolved oxygen hapo ukiamka asubuhi unakuta samaki wote matumbo juu Also Known As Belly - Up, AKA Dead....
Hatari sanaBackground check zinaleta mrejesho huu muhimu:
Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Atakuwa angalipo kwenye hiyo department kwenye ambayo sasa ni shule ya Uhandisi Jalalani hapo.
View attachment 2158001
Prof. Samuel Manyele alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali katika serikali ya Rais Kikwette na pia mwanzoni mwa serikali ya JPM.
Kwa highlights hizi ninashawishika kwenda mdogo mdogo kuhusiana na ripoti yake.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Prof. Samuel Manyele yumkini hawezi kuwa mtu reja reja kama tulio wazowea kutokea jalalani.
Umezungumza kisayansi na hivo ni muhimu watu wakaeleweshwa kisayansi inavyotokea. Hapa umesema wingi wa kinyesi kulinganisha na eneo. Still kuna facts ambazo zinatakiwa kujibiwa. Why has it happened so abruptly? Pengine wanyama waliongezeka kwa ghafla au kunaweza kukawa na sumu nyingine. Hivi ndivo wadau wanajaribu tu kudodosa maana hapo awali palikuwa na ripoti ya maprofesa kuhusu makenikia ambayo hadi sasa inatia shaka. Only that.Hao wao wanaweka kinyesi kiasi gani lorry zima kwenye ukubwa wa Bwawa la Wastani ?
Kumbuka samaki wanachokula ni algae, kinyesi ni mbolea ya hao algae..., ukiweka kingi kupita kiasi na algae waka-bloom kuliko consumption wakati hakuna photosynthesis na algae wana-consume oxygen hivyo kinachopelekea ni less dissolved oxygen hapo ukiamka asubuhi unakuta samaki wote matumbo juu Also Known As Belly - Up, AKA Dead....
Kabla hatujafika mbali kumbuka mimi sikubaliani na matokeo ya hio reportUmezungumza kisayansi na hivo ni muhimu watu wakaeleweshwa kisayansi inavyotokea. Hapa umesema wingi wa kinyesi kulinganisha na eneo. Still kuna facts ambazo zinatakiwa kujibiwa. Why has it happened so abruptly?
Naam na mimi hii report ilivyokuja ndio swali nililouliza ila watu wakaanza kupinga sijui iweje kinyesi kikawa sumu n.k. Hapo ndio maana nikasema tukiachana na Professor accumulation ya Mbolea ni Uchafuzi wa mazingira na sio kwenye maji tu bali hata global warmingPengine wanyama waliongezeka kwa ghafla au kunaweza kukawa na sumu nyingine.
Naam na mimi nina shaka na hii report ukizingatia tabia ya watu kula kwa urefu wa kamba zaoHivi ndivo wadau wanajaribu tu kudodosa maana hapo awali palikuwa na ripoti ya maprofesa kuhusu makenikia ambayo hadi sasa inatia shaka. Only that.
Naam ufugaji wanaweka kiasi kidogo ili algae wazaane kwa kiwango ambacho samaki (tilapia / sato) aweze kula henceKuhusu ufugaji wa samaki ni kweli maana kinyesi huwekwa kwenye viroba na kutumbukizwa bwawani kisha inapooza ndipo huzalisha wadudu ambao ni chakula cha samaki.
Mkuu inategemea bei, ukifika bei basi kila.kitu tz kinawezekanaBackground check zinaleta mrejesho huu muhimu:
Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Atakuwa angalipo kwenye hiyo department kwenye ambayo sasa ni shule ya Uhandisi Jalalani hapo.
View attachment 2158001
Prof. Samuel Manyele alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali katika serikali ya Rais Kikwette na pia mwanzoni mwa serikali ya JPM.
Kwa highlights hizi ninashawishika kwenda mdogo mdogo kuhusiana na ripoti yake.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Prof. Samuel Manyele yumkini hawezi kuwa mtu reja reja kama tulio wazowea kutokea jalalani.
Kwa hili ya huyu professor na yule mwingine Kabudi, bora mtu asisome hapo mana ni jalalani kweli wamethibitisha wenyewe.Huna uwezo wa kusoma UDSM!
Ndo mana!!!Yes, anatokea Sumbawanga huyu jamaa, tulikua nae kipindi fulani nikiwa UDSM.
Ana mambo ya utamaduni mno hasa imani za kishirikina japo ni msomi.
Hapana mkuu! Mimi ni raia mwema mwenzako tu!😁😁😂😂Kwani wewe ni wale wasiojulikana uko kwenye kutafuta ID za watu?
Refer Musukuma bungeni ndipo utajua maprof. wetu wakojeBackground check zinaleta mrejesho huu muhimu: