Prof Sarungi: Mimi ni msafi

Maria Sarungi akae akijua babake amekalia kaa la moto,ajue shughuli zake na mabeberu hazitamuacha salama kamwe. Ni suala la muda
 
Maria Sarungi akae akijua babake amekalia kaa la moto,ajue shughuli zake na mabeberu hazitamuacha salama kamwe. Ni suala la muda
Anaewafuatilia hao wezi yupo safi? Isije kuwa ni mzee wa kivuko na meli ya samaki wa magufuli?
 
haha kumbe ndio maana Kelele ni nyingi sana toka kwa maria
 
Ameamua kupiga kelele mapema ili Mzee Sarungi akiguswa aseme "Ni vile me ni mkosoaji mkubwa wa utawala wa Magufuli "
 
Unaweza kukuta kajitu kamefaidika na ufisadi, kamesomeshwa na hela za ufisadi, kanalala kwenye nyumba ya baba yake inayotokana na ......na vitenda vya mzee kuuzia jeshi viatu akiwa waziri wa ulinzi.

Mwambie baba azirudishe, Lakairo hotel pale mwanza mwambie baba auze arudishe hela ya umma, hapo utakuwa safi kufanya ukosoaji

Lameck Airo ni alikuwa mbunge wa Rorya, makampuni yake familia ya Maria wana hisa kubwa, na ilikuwa tenda moja tu ya viatu vya jeshi
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Maria Sarungi ana matatizo ya saikolojia ya akili. Furaha yake ni kuona vita.

Ndio maana akiona hakuna cha maana serikalini, yuko tayari kuingilia vita hata ya PANZI ilimradi afurahi.

Yuko tayari kuitafuta vita hata huko Nigeria ilimradi aenjoi tu.
 
Hii nchi shida sio Maria Sarungi, shida ni CCM.

Angalia Tanganyika tunaongozwa na mtu wa taifa lingine wazi wazi kabisa.

Sijawahi kuona nchi ina chama kinaleta mtu wa taifa lingine kuongoza taifa lao.
 
Maria Sarungi ana matatizo ya saikolojia ya akili. Furaha yake ni kuona vita.

Ndio maana akiona hakuna cha maana serikalini, yuko tayari kuingilia vita hata ya PANZI ilimradi afurahi.

Yuko tayari kuitafuta vita hata huko Nigeria ilimradi aenjoi tu.
Hana mume
 
Hilo halina mjadala. Maria Sarungi ni tunda la ufisadi. Hata Fatma Karume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…