Mtoa hoja hii una matatizo ya akili nini,tulia na lete hapa hoja sio to attack mtu!na why umeiandika mada hii kwa hasira na haraka as if unafukuzwa?facts zitawale sio mihemko,Maria Sarungi ni mtu tofauti na baba yake why unawahusisha?na hili la watoto wa vigogo kunufaika na system's mbona wapo wengi tu kuanzia watoto wa maafisa wa jeshi hadi wanasiasa!mfano makamba family,kawawa family etc etc