Prof Sarungi: Mimi ni msafi

Mtoa hoja hii una matatizo ya akili nini,tulia na lete hapa hoja sio to attack mtu!na why umeiandika mada hii kwa hasira na haraka as if unafukuzwa?facts zitawale sio mihemko,Maria Sarungi ni mtu tofauti na baba yake why unawahusisha?na hili la watoto wa vigogo kunufaika na system's mbona wapo wengi tu kuanzia watoto wa maafisa wa jeshi hadi wanasiasa!mfano makamba family,kawawa family etc etc
 
Unafiki na unaa,hauna manufaa kwa taifa letu
 
Mi ninavyojua Lameck airo alikuwa mvuvi, na alikuwa na kundi lake likipola samaki na nyavu ndani ya ziwa Victoria. hivyo utajiri wa Lameck airo umetokana na uvuvi, sio Kama mleta mada unavyotaka kutuaminisha!! Kina airo na akina Kitana, hawa ni wazee wa gwasuma ndani ya Victoria.
 
Maria Sarungi ana matatizo ya saikolojia ya akili. Furaha yake ni kuona vita.

Ndio maana akiona hakuna cha maana serikalini, yuko tayari kuingilia vita hata ya PANZI ilimradi afurahi.

Yuko tayari kuitafuta vita hata huko Nigeria ilimradi aenjoi tu.
Pumbavu mkubwa wewe laiyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…