Msomi nguli wa Tanzania Prof Issa Shivji amelichambua dai la katiba mpya na kusema halina tija wala si mwarobaini wa matatizo yanayowakumba watanzania.
Prof Shivji amesema wanapenda madaraka na siyo siasa safi, ametolea mfano kwa vita ya madaraka inayoendelea nchini Kenya na Afrika Kusini licha ya kubadili katiba mara kwa mara.View attachment 1838690
nadhan kimeeleweka!
jamvi la habari wameandika alichosema pof.Source ya habari ni jamvi la habari!
umeonyeshwa africa ya kusini wana katiba bora lakini haijamaliza walichokuwa wanakifikiria hapa kilichopo siyo katiba mpya ni uchu wa madaraka tuKatiba Mpya itatupa Tume HURU ya Uchaguzi japokuwa sio Mwarobaini wa matatizo yetu ila itayapunguza kwa kiasi kikibwa.
Source ya habari ni jamvi la habari!
Msomi nguli wa Tanzania Prof Issa Shivji amelichambua dai la katiba mpya na kusema halina tija wala si mwarobaini wa matatizo yanayowakumba watanzania.
Prof Shivji amesema wanapenda madaraka na siyo siasa safi, ametolea mfano kwa vita ya madaraka inayoendelea nchini Kenya na Afrika Kusini licha ya kubadili katiba mara kwa mara.View attachment 1838690
Tume huru nini na inatatuaje matatizo ya watanzania?Katiba Mpya itatupa Tume HURU ya Uchaguzi japokuwa sio Mwarobaini wa matatizo yetu ila itayapunguza kwa kiasi kikibwa.
Tume huru ni nini na inatatuaje matatizo ya watanzania?Katiba Mpya itatupa Tume HURU ya Uchaguzi japokuwa sio Mwarobaini wa matatizo yetu ila itayapunguza kwa kiasi kikibwa.
Msomi nguli wa Tanzania Prof Issa Shivji amelichambua dai la katiba mpya na kusema halina tija wala si mwarobaini wa matatizo yanayowakumba watanzania.
Prof Shivji amesema wanapenda madaraka na siyo siasa safi, ametolea mfano kwa vita ya madaraka inayoendelea nchini Kenya na Afrika Kusini licha ya kubadili katiba mara kwa mara.View attachment 1838690
chadema wataelewa tu sasa maana kila mtu waliyemtegemea atawageuka wanaonekana hawana subira
Hayo ni maoni yake (mtazamo wake) haina maana kuwa ndio ukweli. Halafu sijajua ameshauri badala ya kudai katiba mpya tufanye nini.Asante professor
Yaani waheshimu kwa kuiba kura na kutangaza ambao hawakuchaguliwa na wananchi?Tume huru nini na inatatuaje matatizo ya watanzania?
Muhimu watawala waheshimu matakwa ya watu.
Matakwa ya watu yanawezaje kuheshimiwa ikiwa takwa la katiba mpya hamliheshimu? Hivi nyinyi mataga mbona huwa akili zenu mnapenda kushikiwa?Tume huru nini na inatatuaje matatizo ya watanzania?
Muhimu watawala waheshimu matakwa ya watu.
Hayo ni maoni yake (mtazamo wake) haina maana kuwa ndio ukweli. Halafu sijajua ameshauri badala ya kudai katiba mpya tufanye nini.
Mleta mada nadhani hiyo habari imeandikuwa kiundani zaidi hebu ilete hapa yote tusome mapendekezo yake labda tunaweza kumjua huyu ni professor au propessor.
Wewe machaga, matakwa ya watu huwa yanaheshimiwa kwa shinikizo la watu kwa umoja wao.Matakwa ya watu yanawezaje kuheshimiwa ikiwa takwa la katiba mpya hamliheshimu? Hivi nyinyi mataga mbona huwa akili zenu mnapenda kushikiwa?
jamvi la habari wameandika alichosema pof.