Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Katiba Mpya itatupa Tume HURU ya Uchaguzi japokuwa sio Mwarobaini wa matatizo yetu ila itayapunguza kwa kiasi kikibwa.
KabisaKama unataka tume huru tu wala hakuna haja ya katiba mpya hii hii tunabadili vifungu vichache
Umeshaamua kutoelewa na hata ukielezwa huwezi kuelewa.Nimekuuliza maswali unaniletea ngonjera. Eti nirudi kwenye rasimu, what is rasimu?? Si ni mikaratasi tu!
Taja hizo nchi zenye katiba nzuri na zinafanya vizuri
Huyo mzee huwa anaheshimiwa na Wakomunisti wenzake ndani ya CCM sisi kama Chadema huwa tunampuuza.chadema wataelewa tu sasa maana kila mtu waliyemtegemea atawageuka wanaonekana hawana subira
Sisi tunaopigania Katiba mpya kwa ajili ya vizazi vijavyo vya Watanzania,na wewe unaopigania legacy ya mzoga nani Kilaza?Chadema ni vilaza sana